Rostam Aziz ni powerful kiasi hicho kama anavyopambwa mitandaoni?

Kwa mujibu wa Polepole anasema JPM alipokwenda kutembelea tu kiwanda cha Rostam, ndipo alipotoka ikawa mwisho wake... kwa mujibu wa maelezo yake kuna mazingira yaliandaliwa..

Rostam anaweza kuwa ni muwakilishi wa serikali flani ama kikundi flani ambapo wanatafuta connections za ndani hasa kwenye nchi zenye rasilimali na kisha kunufaika...

Serikali ya Iran inafahamiana na matajiri wengi sana hapo Dubai na nchi zingine, Serikali inatumia individuals kuwekeza kwenye biashara nchi nyingine, halafu ile biashara faida yake inapelekwa kwenye serikali, we unaona tajiri mkubwa Dubai ama Tanzania kumbe anaitumikia serikali ya Iran, hivyo ndivyo namna Iran ime survive kwa takribani miaka 50 ya vikwazo vikali...

Wana watu wanaanzisha sheli za mafuta nchi nyingine ama biashara ya gas(front companies), bidhaa inakuwa branded kivingine na pesa zinarudi Iran...

Si Iran pekee inafanya hii michezo...

Hivyo hawa matajiri kama kina Rostam utakuta wana vikundi nyuma, yeye amekaa mbele kama mmiliki...
 
Uko sahihi kabisa, rostam aliingia siasa km dalali, alitumia upenyo wa ccm dhoofu kifedha na kifikra kuiteka kwa kuwapa pesa kdg kdg, wezi wa tiss wakaona wamtumie kwa kumpa tenda kwenye madin, kwenye nishati na kwenye mawasiliano..deal zinapikwa na wao tiss rostam mbele wao wanakuwa nyuma yake..then mataifa ya hapo kati yakaona yamtumie vile tayar alishaiweka ccm mfukoni, ajenda ya hayo mataifa mf. Iran na misri ni kuifanya tanzania isitumie rasilimali zake km maji(ziwa victoria), gesi ya kusini kujiletea maendeleo..wanamtumia rostam kupitia ccm/tiss kufreeze juhudi zozote za kutaka kutumia rasilimali hizi kikamilifu..rostam alishapewa tenda kujenga bomba la mafuta kutoka dar kwenda mwanza ili afanye maigizo..lengo nchi iendelee kuwa watumwa wa mafuta ya waarabu!
Amechukua hata jina la tiss (usalama wa taifa) "TAIFA" kuanzisha taifa group..
Kifupi ni dalali, hajawahi kuwa na biashara zenye msingi wa uwezo, maarifa na ujuzi wake kufanya zifanikiwe, biashara zake zote msingi wake ni mbeleko ya serikali kupitia ufisadi na rushwa! Magufuli alikuwa na nafasi nzr kbs nchi kuachana na huyu dalali, lkn ulimbukeni ulimponza..lini adui yako unamsamehe ajirekebishe? Principle iko wazi malizana na adui zako mapema! alikubali kupumbazwa na vitoto vya tiss kwa sifa za kitoto..matokeo ndio hayo yaliyompata! Kafa yeye, wao bado wapo!
Sifa anazopewa rostam ni kwa vile nchi inaongozwa na majuha..na yuko inclined na dini pia ili atetewe au kusifiwa kila anapowekwa kwenye spoti light!
 
RostamAziz ndiyo kirusi kinachoiangamiza Tanganyika kwa mgongo wa ccm.
 
Uko sawa 100%
 
Ni kweli kwa asilimia mia Moja . connection yake nje ya nchi, kimataifa ni kubwa mno
1.Ana uwezo wa kuzuia jambo kimataifa lenye madhara na akasikilizwa na
Kiufup ni back up kubwa na ni msaada pia ndani na nje ya nchi .usipuuze
Mpaka vyombo vya habari vya Kenya amevinunua na kuviweka mfukoni ili awe salama zaidi.Afrika bwana tuna shida sana.
 
Rostam Aziz ni kirusi kikubwa nchini Tanzania
Rostam sio kirusi sema mifumo yetu ndio shida.Unadhani kila kitu kingekuwa kinafanyika kwa uwazi na uwajibikaji upo unadhani Rostam angekuwa na maajabu gani.

Rostam ndio pesa anayo lakini sio ya kufanya serikali iogope.Hizi ni taarifa tu huwa tunakaa tunajazana ujinga.Utajiri huu mnaosema Rostam anao kaupata kimagendo kwa sababu ya mifumo mibovu ya nchi sasa maajabu yake ni nini?.Shida ni wananchi na serikali yao
 
Wewe hujui kitu chanzo cha uchawa Tanzania ni Rostam Aziz
 
Wewe hujui kitu chanzo cha uchawa Tanzania ni Rostam Aziz
Hapa Tanzania ni taarifa chache sijui sema Rostam anatumia ubovu wenu kujipatia fedha.Kuna sehemu nimeona eti mnasema Rostam ni agent wa CIA.Hivi vichwa vyenu viko sawa kweli?

CIA bongo wanatafuta taarifa zipi ambazo zinahitaji kuwa na agent hapa?au kitu gani cha ajabu US atahitaji asikipate kupitia Embassy yao hapa bongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…