Rostam Aziz ni powerful kiasi hicho kama anavyopambwa mitandaoni?

Kosa la JPM ni kudhani kuwa wapinzani hasa chadema ndio watu wabaya nchi hii...kumbe watu wabaya na washenzi wa tabia wapo ccccm kwasababu wazee wote wa dili chafu hutumia mwavuli wa cccccm kujilinda
..yeye mwenyewe magufuli na ujinga wake, miaka zaid ya 20 ndani ya ccm nini ambacho hukijui? Mara ngp unatishiwa kufa na watu hao hao halafu unajazwa ujinga kuchukia watu ambao wangekusaidia kuwajua wabaya wako..alipata stahiki yake, yeye ndio ameingiza nchi shimoni gizani kbs..kutoka humo ni nguvu ya wananchi tu ndio inatakiwa.
 
Nimekuwa nikikutana na maneno meni mtandaoni kuwa Rostam ni Master Mind, Ni mtu powerful zaidi nchini, Viongozi wakubwa tunaowaona nyuma yao yupo yeye, Ana connections nzito sana kimataifa, Anatajwa kuwa miongoni mwa watu wenye utajiri mkubwa zaidi nchini, wengine wamefikia kusema kwamba hata wale tunaowana ni watata wanaijua mipaka yao,

Hata hivyo, wengi pia wanasema kuwa hapendi kelele kabisa, hupenda kufanya mambo yake kimya bila attention.

Pichani nikifikiria naweza kumuona kama tajiri tu lakini kwa jinsi anavyopambwa inakuwa kama fiction.

Kuna Ukweli wowote ?
Kishawanunua wote
 
Kuna baadhi ya connections zinahitaji zaidi ya pesa.

pesa ni kigezo mojawapo lakini levels za hio mitandao hujengwa zaidi na uaminifu, historia, loyalty, n.k. huwezi kuzinunua tu kwa kumtuma house boy apeleke gunia la pesa.
Watabisha ila ndio ukweli.
Kuna elements ni za kuzaliwa/kupewa na maulana huwezi kufunzwa wala kujifunza .
 
..yeye mwenyewe magufuli na ujinga wake, miaka zaid ya 20 ndani ya ccm nini ambacho hukijui? Mara ngp unatishiwa kufa na watu hao hao halafu unajazwa ujinga kuchukia watu ambao wangekusaidia kuwajua wabaya wako..alipata stahiki yake, yeye ndio ameingiza nchi shimoni gizani kbs..kutoka humo ni nguvu ya wananchi tu ndio inatakiwa.
Kwa kweli.
 
Ubalozi maofisa,hawawezi kuwa na jasusi humo sana sana wanakua ma-handler, CIA, MI 6 nk hawawezi kosa majasusi Tanzania hasa ukizingatia jiografia ya Tanzania maziwa makuu
Jasusi wa nchi nje ya nchi hafiki kwenye ubalozi wao,na mara nyingi huwa na moles ndani ya security apparatuses za hiyo nchi
Kachizi hako, kaignore.
 
Hata TAL unakumbuka alipokamatiwa na mkutano wake wa mwisho kabla ya kukamatwa alizungumzia kuhusu kusafirishwa makaa ya mawe kwa mamia ya malori nadhani ilikuwa RUVUMA huko kilichofuata kila mtu anakiona
Kule Ruvuma wilaya ya Mbinga mji mdogo wa Ruanda kuna migodi ya makaa ya Mawe.

Rostam ndio anamiliki mgodi mkubwa wenye PIT 9 kupitia kampuni yake ya Caspian na Ccm ni ya pili inamiliki mgodi mkubwa wenye PIT 7 kupitia kampuni yao ya Jitegemee holdings company Limited.

Makampuni mengine yanafuatia.
 
Nimekuwa nikikutana na maneno meni mtandaoni kuwa Rostam ni Master Mind, Ni mtu powerful zaidi nchini, Viongozi wakubwa tunaowaona nyuma yao yupo yeye, Ana connections nzito sana kimataifa, Anatajwa kuwa miongoni mwa watu wenye utajiri mkubwa zaidi nchini, wengine wamefikia kusema kwamba hata wale tunaowana ni watata wanaijua mipaka yao,

Hata hivyo, wengi pia wanasema kuwa hapendi kelele kabisa, hupenda kufanya mambo yake kimya bila attention.

Pichani nikifikiria naweza kumuona kama tajiri tu lakini kwa jinsi anavyopambwa inakuwa kama fiction.

Kuna Ukweli wowote ?
amezidi hata unavyofikiria inawezekana ana nguvu kuliko Samia
 
Kule Ruvuma wilaya ya Mbinga mji mdogo wa Ruanda kuna migodi ya makaa ya Mawe.

Rostam ndio anamiliki mgodi mkubwa wenye PIT 9 kupitia kampuni yake ya Caspian na Ccm ni ya pili inamiliki mgodi mkubwa wenye PIT 7 kupitia kampuni yao ya Jitegemee holdings company Limited.

Makampuni mengine yanafuatia.
Kazi na UTU unakuta hiyo jitegemee inajitegemea kweli kweli yani hawailishi hata TRA fedha zinaishia lumumba
 
Kuna mabingwa wa mifumo ya hesabu, wanailisha TRA lakini siyo vile inavyostahili, yani kampuni kubwa kama hiyo lazima iwe na documentation za kikodi.
TAL alivyogusia tu kuwa huko RUVUMA makaa ya mawe yanasafirishwa kwa mamia ya Malori na kuwaacha wanachi wa RUVUMA wakiishia kula vumbi na umaskini ghafla akakamatwa.

Hii nchi switch inachezewa Wallah
 
Yusuf Mahboub M was killed kisa ule mtandao unabadilishwa majina kila muda, kutoka Tritel, Mobitel na sijui nani ni nani now.

Mtikila, Slow but Sure wote wamepitia maumivu ya mwamba.
 
Nimekuwa nikikutana na maneno meni mtandaoni kuwa Rostam ni Master Mind, Ni mtu powerful zaidi nchini, Viongozi wakubwa tunaowaona nyuma yao yupo yeye, Ana connections nzito sana kimataifa, Anatajwa kuwa miongoni mwa watu wenye utajiri mkubwa zaidi nchini, wengine wamefikia kusema kwamba hata wale tunaowana ni watata wanaijua mipaka yao,

Hata hivyo, wengi pia wanasema kuwa hapendi kelele kabisa, hupenda kufanya mambo yake kimya bila attention.

Pichani nikifikiria naweza kumuona kama tajiri tu lakini kwa jinsi anavyopambwa inakuwa kama fiction.

Kuna Ukweli wowote

Huyu jamaa mimi namjua sana,toka udogo wake na actually tumecheza wote udogoni.Sifa zake kubwa ni hizi:
1.Ni mjanja sana na mbunifu sana kwenye utafutaji wa fedha
2.Yes ni tajiri mkubwa sana hivi sasa,ameishapenya nchi nyingi sana na kwa sasa ameiweka kenya mfukoni
3.Viongozi wengi wamepita mikononi mwake na inampa urahisi sana kufanya biashara kubwa kubwa.Hivi karibuni ana expand into airline yake.
 
Taja shule alizosoma rostam hapa tanzania..
 
Kwa mujibu wa Polepole anasema JPM alipokwenda kutembelea tu kiwanda cha Rostam, ndipo alipotoka ikawa mwisho wake... kwa mujibu wa maelezo yake kuna mazingira yaliandaliwa..

Rostam anaweza kuwa ni muwakilishi wa serikali flani ama kikundi flani ambapo wanatafuta connections za ndani hasa kwenye nchi zenye rasilimali na kisha kunufaika...

Serikali ya Iran inafahamiana na matajiri wengi sana hapo Dubai na nchi zingine, Serikali inatumia individuals kuwekeza kwenye biashara nchi nyingine, halafu ile biashara faida yake inapelekwa kwenye serikali, we unaona tajiri mkubwa Dubai ama Tanzania kumbe anaitumikia serikali ya Iran, hivyo ndivyo namna Iran ime survive kwa takribani miaka 50 ya vikwazo vikali...

Wana watu wanaanzisha sheli za mafuta nchi nyingine ama biashara ya gas(front companies), bidhaa inakuwa branded kivingine na pesa zinarudi Iran...

Si Iran pekee inafanya hii michezo...

Hivyo hawa matajiri kama kina Rostam utakuta wana vikundi nyuma, yeye amekaa mbele kama mmiliki...
Mwenye masikio na asikie, hii comment imemaliza Kila kitu.
 
Je mtu kma huyo atakaaa kwa miake yoteee dunia au nae atakufa maaana naona kma kwamba wanafanya mambo hayo wao ni wa millennium
Kma watakufa basi hakuna jipya chini ya jua vyote ni batili kabsaaa atapita
Mkuu hao watu hawafagi! Utasubili sana wafe! Ukitaka kuwaua haribu mfumo tofauti na hapo twendelee kujiliza
 
Back
Top Bottom