Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,406
- 9,830
Hivi kile kiwanda cha rostam alichokaenda kuzindua JPM kinafanya tu kazi?kiboko gani? jamaa aliingia kwenye 18 zake kizembe sana
Hivi kile kiwanda cha rostam alichokaenda kuzindua JPM kinafanya tu kazi?kiboko gani? jamaa aliingia kwenye 18 zake kizembe sana
Hivi kile kiwanda cha rostam alichokaenda kuzindua JPM kinafanya tu kazi?
Kosa la JPM ni kudhani kuwa wapinzani hasa chadema ndio watu wabaya nchi hii...kumbe watu wabaya na washenzi wa tabia wapo ccccm kwasababu wazee wote wa dili chafu hutumia mwavuli wa cccccm kujilindaUko sahihi kabisa, rostam aliingia siasa km dalali, alitumia upenyo wa ccm dhoofu kifedha na kifikra kuiteka kwa kuwapa pesa kdg kdg, wezi wa tiss wakaona wamtumie kwa kumpa tenda kwenye madin, kwenye nishati na kwenye mawasiliano..deal zinapikwa na wao tiss rostam mbele wao wanakuwa nyuma yake..then mataifa ya hapo kati yakaona yamtumie vile tayar alishaiweka ccm mfukoni, ajenda ya hayo mataifa mf. Iran na misri ni kuifanya tanzania isitumie rasilimali zake km maji(ziwa victoria), gesi ya kusini kujiletea maendeleo..wanamtumia rostam kupitia ccm/tiss kufreeze juhudi zozote za kutaka kutumia rasilimali hizi kikamilifu..rostam alishapewa tenda kujenga bomba la mafuta kutoka dar kwenda mwanza ili afanye maigizo..lengo nchi iendelee kuwa watumwa wa mafuta ya waarabu!
Amechukua hata jina la tiss (usalama wa taifa) "TAIFA" kuanzisha taifa group..
Kifupi ni dalali, hajawahi kuwa na biashara zenye msingi wa uwezo, maarifa na ujuzi wake kufanya zifanikiwe, biashara zake zote msingi wake ni mbeleko ya serikali kupitia ufisadi na rushwa! Magufuli alikuwa na nafasi nzr kbs nchi kuachana na huyu dalali, lkn ulimbukeni ulimponza..lini adui yako unamsamehe ajirekebishe? Principle iko wazi malizana na adui zako mapema! alikubali kupumbazwa na vitoto vya tiss kwa sifa za kitoto..matokeo ndio hayo yaliyompata! Kafa yeye, wao bado wapo!
Sifa anazopewa rostam ni kwa vile nchi inaongozwa na majuha..na yuko inclined na dini pia ili atetewe kila anapowekwa kwenye spoti light!
Kweli JPM alikuwa mtu wa kijijiniyawezekana kazi yake imeshamaliza
Ilipaswa usikitike mkuu badala ya kucheka. Au ndio kicheko Cha huzuni?Aliwahi kusema mahakama za Tanzania ni mtu anapiga simu moja tu na hukumu inabadilishwa. Nilicheka nilivyosikia alivyozungumza hivi.
Au wewe ndiye Rstam.Hapa Tanzania ni taarifa chache sijui sema Rostam anatumia ubovu wenu kujipatia fedha.Kuna sehemu nimeona eti mnasema Rostam ni agent wa CIA.Hivi vichwa vyenu viko sawa kweli?
CIA bongo wanatafuta taarifa zipi ambazo zinahitaji kuwa na agent hapa?au kitu gani cha ajabu US atahitaji asikipate kupitia Embassy yao hapa bongo?
Je mtu kma huyo atakaaa kwa miake yoteee dunia au nae atakufa maaana naona kma kwamba wanafanya mambo hayo wao ni wa millenniumSio nchini tu Afrika nzima, Mtoto wa museven alifungia vyombo vyake vya habari na alisema kua havitafunguliwa kamwe jamaa alisafiri na mtoto wake kwenda kuonana na mkuu wa majeshi kilichofuata ni historia.
Ulitaka kusema nini? Yani mtu mmiliki wa migodi, makampuni house media, hisa sehemu mbalimbali na ameinunuwa powerful media house ya Kenya National Media bado unataka kukaa hapa kujadijili how powerful Rostam Aziz?Nimekuwa nikikutana na maneno meni mtandaoni kuwa Rostam ni Master Mind, Ni mtu powerful zaidi nchini, Viongozi wakubwa tunaowaona nyuma yao yupo yeye, Ana connections nzito sana kimataifa, Anatajwa kuwa miongoni mwa watu wenye utajiri mkubwa zaidi nchini, wengine wamefikia kusema kwamba hata wale tunaowana ni watata wanaijua mipaka yao,
Hata hivyo, wengi pia wanasema kuwa hapendi kelele kabisa, hupenda kufanya mambo yake kimya bila attention.
Pichani nikifikiria naweza kumuona kama tajiri tu lakini kwa jinsi anavyopambwa inakuwa kama fiction.
Kuna Ukweli wowote ?
Wewe huna akili kichwani, CIA ina maajenti wake mpaka Marais wa nchi na viongozi waandamizi.Hapa Tanzania ni taarifa chache sijui sema Rostam anatumia ubovu wenu kujipatia fedha.Kuna sehemu nimeona eti mnasema Rostam ni agent wa CIA.Hivi vichwa vyenu viko sawa kweli?
CIA bongo wanatafuta taarifa zipi ambazo zinahitaji kuwa na agent hapa?au kitu gani cha ajabu US atahitaji asikipate kupitia Embassy yao hapa bongo?
Kazi kweli kweli.Rostam kwao Igunga sijui na asili yake huko middle east(Iran kitu kama hicho).Kwetu sio Igunga na mimi asili yangu sio huko jamaa yangu.Au wewe ndiye Rstam.
AlibugiKosa la JPM ni kudhani kuwa wapinzani hasa chadema ndio watu wabaya nchi hii...kumbe watu wabaya na washenzi wa tabia wapo ccccm kwasababu wazee wote wa dili chafu hutumia mwavuli wa cccccm kujilinda
Wewe unajua nini dunia hii.Acha upumbavu basi CIA Tanzania hawana agent kama Rostam tuliza kichwa najua nachosema.Taarifa US akitaka kuhusu uozo wenu kuna embassy yao hapa.Eti mtu kama wewe unataka unifundishe mimi.CIA anapeleka siraha DRC kwa waasi? Are you stupid?Kwa hizi akili zenu acha Rostam kweli azidi kuharibu taifa lenu.Hamna akiliWewe huna akili kichwani, CIA ina maajenti wake mpaka Marais wa nchi na viongozi waandamizi.
Umeshawahi kujiuliza Congo Drc silaha zinafikaje na haziwaishii?
Wakikusikia unasema hivi watacomment una "poverty mentality" wasijue kwamba utajiri ni multi-dimensional concept 😀Je mtu kma huyo atakaaa kwa miake yoteee dunia au nae atakufa maaana naona kma kwamba wanafanya mambo hayo wao ni wa millennium
Kma watakufa basi hakuna jipya chini ya jua vyote ni batili kabsaaa atapita
Zantel ilinunuliwa na tigo 2010s,labda ulikua bado unaoga nje kipindi hichoMmiliki wa Yas ni nani? Ikumbukwe mitandao ya Tigo na Zantel ilinunuliwa kwa siku moja (yani kama wewe unavyoenda sokoni kununua nyanya na vitunguu kwa pamoja) na sasa imeunganishwa inaitwa Yas.
Alisema pia kelele dhidi ya dp world ni udini tu unasumbua,hii hukucheka?Aliwahi kusema mahakama za Tanzania ni mtu anapiga simu moja tu na hukumu inabadilishwa. Nilicheka nilivyosikia alivyozungumza hivi.
Anaweza akawa hana kumbukumbu vizuri lakini kimantiki yupo sawa.Zantel ilinunuliwa na tigo 2010s,labda ulikua bado unaoga nje kipindi hicho
Mental case.Wewe huna akili kichwani, CIA ina maajenti wake mpaka Marais wa nchi na viongozi waandamizi.
Umeshawahi kujiuliza Congo Drc silaha zinafikaje na haziwaishii?
Zantel ilishakua mali ya tigo hivyo rostam alivyoinunua tigo alinunua hadi zantelAnaweza akawa hana kumbukumbu vizuri lakini kimantiki yupo sawa.
Zantel na Tigo zote ni mali ya Rostam na sasa Yas sijui kama ameuza au bado yumo?
Ubalozi maofisa,hawawezi kuwa na jasusi humo sana sana wanakua ma-handler, CIA, MI 6 nk hawawezi kosa majasusi Tanzania hasa ukizingatia jiografia ya Tanzania maziwa makuuWewe unajua nini dunia hii.Acha upumbavu basi CIA Tanzania hawana agent kama Rostam tuliza kichwa najua nachosema.Taarifa US akitaka kuhusu uozo wenu kuna embassy yao hapa.Eti mtu kama wewe unataka unifundishe mimi.CIA anapeleka siraha DRC kwa waasi? Are you stupid?Kwa hizi akili zenu acha Rostam kweli azidi kuharibu taifa lenu.Hamna akili