Rostam Aziz ni powerful kiasi hicho kama anavyopambwa mitandaoni?

Kosa la JPM ni kudhani kuwa wapinzani hasa chadema ndio watu wabaya nchi hii...kumbe watu wabaya na washenzi wa tabia wapo ccccm kwasababu wazee wote wa dili chafu hutumia mwavuli wa cccccm kujilinda
 
Au wewe ndiye Rstam.
 
Sio nchini tu Afrika nzima, Mtoto wa museven alifungia vyombo vyake vya habari na alisema kua havitafunguliwa kamwe jamaa alisafiri na mtoto wake kwenda kuonana na mkuu wa majeshi kilichofuata ni historia.
Je mtu kma huyo atakaaa kwa miake yoteee dunia au nae atakufa maaana naona kma kwamba wanafanya mambo hayo wao ni wa millennium
Kma watakufa basi hakuna jipya chini ya jua vyote ni batili kabsaaa atapita
 
Ulitaka kusema nini? Yani mtu mmiliki wa migodi, makampuni house media, hisa sehemu mbalimbali na ameinunuwa powerful media house ya Kenya National Media bado unataka kukaa hapa kujadijili how powerful Rostam Aziz?

Wewe itakuwa ni mtoto wa juzi.
 
Wewe huna akili kichwani, CIA ina maajenti wake mpaka Marais wa nchi na viongozi waandamizi.

Umeshawahi kujiuliza Congo Drc silaha zinafikaje na haziwaishii?
 
Wewe huna akili kichwani, CIA ina maajenti wake mpaka Marais wa nchi na viongozi waandamizi.

Umeshawahi kujiuliza Congo Drc silaha zinafikaje na haziwaishii?
Wewe unajua nini dunia hii.Acha upumbavu basi CIA Tanzania hawana agent kama Rostam tuliza kichwa najua nachosema.Taarifa US akitaka kuhusu uozo wenu kuna embassy yao hapa.Eti mtu kama wewe unataka unifundishe mimi.CIA anapeleka siraha DRC kwa waasi? Are you stupid?Kwa hizi akili zenu acha Rostam kweli azidi kuharibu taifa lenu.Hamna akili
 
Je mtu kma huyo atakaaa kwa miake yoteee dunia au nae atakufa maaana naona kma kwamba wanafanya mambo hayo wao ni wa millennium
Kma watakufa basi hakuna jipya chini ya jua vyote ni batili kabsaaa atapita
Wakikusikia unasema hivi watacomment una "poverty mentality" wasijue kwamba utajiri ni multi-dimensional concept 😀
 
Ubalozi maofisa,hawawezi kuwa na jasusi humo sana sana wanakua ma-handler, CIA, MI 6 nk hawawezi kosa majasusi Tanzania hasa ukizingatia jiografia ya Tanzania maziwa makuu
Jasusi wa nchi nje ya nchi hafiki kwenye ubalozi wao,na mara nyingi huwa na moles ndani ya security apparatuses za hiyo nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…