Rostam Aziz ni powerful kiasi hicho kama anavyopambwa mitandaoni?

Ka
Tafuta Polepole alipo, utaturudishia majibu.

Abdul, GSM, Rostam, Kikwete, Mama, usikatize mbele yao wanapokula. Tutakusahu na hakuna wa kuhoji hata kama una cheo gani.
 
Jamaa ni CIA .. Muulize Mzee Pascal.
 
Hata TAL unakumbuka alipokamatiwa na mkutano wake wa mwisho kabla ya kukamatwa alizungumzia kuhusu kusafirishwa makaa ya mawe kwa mamia ya malori nadhani ilikuwa RUVUMA huko kilichofuata kila mtu anakiona
Ni kweli

Alikuwa amevuka mstari wao

Mbaya zaidi wapo serious kutaka kumpoteza kabisa huko huko alipo
 
Jiulize tu kwanini Kainerugaba Muhoozi alivifungulia vyombo vyake vya habari muda mchache baada ya "The Kingmaker" kutinga ofisini kwake na kuongea nae.
 
Unafahamu nini kuhusu BOYS TO MEN ya mwaka 1995?
 
Mtu mwenye pesa ananguvu sana akiwa ndani ya nchi zinazo penda rushwa
 
Lissu alivyogusa makaa ya mawe akapewa kesi ya uhaini
 
I seee
 

Attachments

  • FB_IMG_1790195736273.jpg
    192.8 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…