Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

1) Yes, Chadema imeguswa lakini haikumbwa na kashfa za EPA

2) Swali lako la pili halieleweki, maslahi gani haya ambayo wabunge walitakiwa kutangaza? Fafanue ili ujibiwe.

Kwa hiyo hata mtu kama DK SLAA wewe huna mawasiliano naye?

Ama hufuatilii michango yake hapa jf?

Tatizo ni badala ya kuja pamoja kila mtu anataka kujiona yeye anajuwa!

USHIRIKIANO NI KITU CHA MUHIMU SANA!

Sasa kumbe hata hujuwi issue nyingi tu!
Duh!

Watu wanageuka geuka sana humu ndani!

Yani kila mtu anajuwa kabisa kuwa nani ni fisadi lakini ni watu hao hao ni ma catalysts...Ama ukipenda maopportunists...Upande mmoja wanasema kweli RA ni fisadi na jk na wengenineo..Lakini ukikamata pabaya unajengewa hoja...NA watu hao hao wanageuka na kudai kuwa mafisadi hawana makosa bali ni sheria walizoziweka!

Naona kuna watu hawachagui upande ili wasije wakapoteza vyote kwani wana imani kuwa mafisadi wanaweza kushinda....WELL...OVER PATRIOTS DEAD BODDIES...NOT ON PATRIOTS WATCH..WENGINE WE WOULD RATHER DIE KULIKO KUSHUHUDIA HAYA!

Na kumwita Kikwete mafia ni kosa na hata kusema RA ni fisadi unapingwa!

Mimi naelewa mpambano huu ni mgumu!

Lakini watanzania walio wengi wanasikiliza na MIMI SITOWAANGUSHA KWA LOLOTE!

ITS A MATTER OF LIFE AND DEATH...ITS A MATTER OF FREEDOM...ITS THE MATTER OF MARTYDOM!

GOD WILLING...WE ARE ON THE RIGHT SIDE AND GOD WILL HELP US..WE WILL BE VICTORIOUS!
 
Nakwambia hapa Mtikila kapatikana. Haya mapambano yanahitaji unyoofu kwelikweli, vinginevyo utaingia mkenge tu!
 
Your questions:

1) Kwa hiyo hata mtu kama DK SLAA wewe huna mawasiliano naye?
Ama hufuatilii michango yake hapa jf?
Tatizo ni badala ya kuja pamoja kila mtu anataka kujiona yeye anajuwa!
USHIRIKIANO NI KITU CHA MUHIMU SANA!

2) Sasa kumbe hata hujuwi issue nyingi tu?

My response:

1) Yes, nawasiliana na Dk Slaa na ninafuatilia michango yake hapa na kule bungeni lakini haina maana kwamba nakubaliana na kila anachokisema. Huo ndio uhuru wenyewe wa fikra. Kama wewe unakubaliana na kila kitu anachokisema Dk Slaa ujue una matatizo!!

2) Yes, mimi sijui vitu vingine vingi tu na silazimiki na tena, kwa ubinadamu wangu huu, haiwezekani kuvijua vyote.

Next question please!
 
Unajua hapa Mtikila hakujipanga lakini ndo hivyo kaharibu kauli alizotoa zinasababisha RA ajipange zaidi kummaliza kabisa Mtikila.Cha kusikitisha alishindwa hata kwenda kukopa BANK?
 
Na Kitila...Si vizuri kufuata MIKUMBO kama ulivyosema!
Sasa mjibu Bibi Ntilie hapo juu...Maana wewe si unamtete FISADI?
Si unadai yeye hana kosa bali ni sheria alizotunga?
Kwahiyo kinyesi kilaumiwe na aliyekunya aachwe?
HII KALI!

Inawezekana hapa tukawa hatuelewani!!! Mushi nimeziona pointi zako tangu kitambo kaka, swala ni kuwa humu JF inabidi tujitofautishe na watu wa vijiweni, tusiishi kwa "wishes" and "talking" kuna mengi ya kufanya.

Tunachosema ni kuwa tutaimba wimbo wa mafisadi mpaka lini.Kama kuna mtu anaushahidi niko tayari kuchangia twende mahakamani.

Mushi unakuwa hauna tofauti na Jamaa aliyechapwa kibao mbele ya mke wake, na akaanza kusema kwa adui yake kuwa utaona!@!!!!, nitakuonyesha!!!! nitakuroga!!!!!!! unanitambua!!!!!,huku hufanyi lolote. TUMESHAPIGWA INABIDI TURUDISHIE KWA HASIRA KUBWA. KAMA MAMLAKA HUSIKA HAZIFANYI KAZI BASI HAPO FISADI SIYO ROSTAM TU NI SYSTEM NZIMA.UTAPIGA KELELE NA KUSEMA YOTE LAKINI HAIONDOI UKWELI KUWA ""WEWE BINAFSI HUNA LA KUMFANYA ROSTAM"" TUKIWA WENGI TUTAFANYA KITU. NA NDIYO TUNAULIZANA NANI MWENYE UTHIBITISHO TWENDE MAHAKAMANI????????

KUULIZA HIVI AU KUSHAURI HIVI HAKUWAFANYI WATU WAONEKANE WANATETEA UFISADI
At least uwe kama huyu

"And they asked me to take a polygraph as to the allegations and reports I'd made. I volunteered and I took the polygraph and passed it without a glitch".
Sibel Edmonds

Hili mafisadi wasiseme kama huyu

"All the charges you enumerate have been made with one purpose in mind-to place our office on the defensive and make us waste valuable time answering allegations that have no basis in fact".
Jim Garrison

Kalenge
 
Sijui na JK, Makamba na vingunge wengine kibao ndani ya CCM wamechukua 'mikopo' kiasi gani toka kwa RA. Sasa hivi hao waliochukua 'mikopo' ndiyo watazidi kumuogopa kumgusa huyu jamaa maana wanaogopa atawaadhiri mbele ya hadhara, labda warudishe 'mikopo' hiyo mapema iwezekanavyo.
 
Wapo wengi tu kwenye payrol ya Fisad RA subiri tu watajulikana tu

Mtikila kawa mhanga wa kwanza na uroho wake na uzabizabina wake
 
My response:

1) Yes, nawasiliana na Dk Slaa na ninafuatilia michango yake hapa na kule bungeni lakini haina maana kwamba nakubaliana na kila anachokisema. Huo ndio uhuru wenyewe wa fikra. Kama wewe unakubaliana na kila kitu anachokisema Dk Slaa ujue una matatizo!!

2) Yes, mimi sijui vitu vingine vingi tu na silazimiki na tena, kwa ubinadamu wangu huu, haiwezekani kuvijua vyote.

Next question please!

Fuatilia kwanza hiyo pointi ya maslahi ya wabunge halafu uje nikupe swali la pili maana hilo la kwanza litakuwa gumu sana kwako na sitaki kukupa free ride.
Kauli zinazosemwa zinapimwa na wachambuzi kama sisi...Na hata kama Slaa akiteleza haina maana hataambiwa hapa jf..Kwa hilo unafahamu fika...
Na hadi sasa kwenye listi yangu binafsi ya Urais....Ni Slaa,Mrema,R.Mengi.
Kwasasa ni hao based on their standings!
Hivyo basi kwasababu yeye ame amuwa kuwasikiliza wananchi...Na sisi tutahakikisha tunakuwa upande wake na wananchi wanasikilizwa!
 
Inawezekana hapa tukawa hatuelewani!!! Mushi nimeziona pointi zako tangu kitambo kaka, swala ni kuwa humu JF inabidi tujitofautishe na watu wa vijiweni, tusiishi kwa "wishes" and "talking" kuna mengi ya kufanya.

Tunachosema ni kuwa tutaimba wimbo wa mafisadi mpaka lini.Kama kuna mtu anaushahidi niko tayari kuchangia twende mahakamani.

Mushi unakuwa hauna tofauti na Jamaa aliyechapwa kibao mbele ya mke wake, na akaanza kusema kwa adui yake kuwa utaona!@!!!!, nitakuonyesha!!!! nitakuroga!!!!!!! unanitambua!!!!!,huku hufanyi lolote. TUMESHAPIGWA INABIDI TURUDISHIE KWA HASIRA KUBWA. KAMA MAMLAKA HUSIKA HAZIFANYI KAZI BASI HAPO FISADI SIYO ROSTAM TU NI SYSTEM NZIMA.UTAPIGA KELELE NA KUSEMA YOTE LAKINI HAIONDOI UKWELI KUWA ""WEWE BINAFSI HUNA LA KUMFANYA ROSTAM"" TUKIWA WENGI TUTAFANYA KITU. NA NDIYO TUNAULIZANA NANI MWENYE UTHIBITISHO TWENDE MAHAKAMANI????????

KUULIZA HIVI AU KUSHAURI HIVI HAKUWAFANYI WATU WAONEKANE WANATETEA UFISADI
At least uwe kama huyu

"And they asked me to take a polygraph as to the allegations and reports I'd made. I volunteered and I took the polygraph and passed it without a glitch".
Sibel Edmonds

Hili mafisadi wasiseme kama huyu

"All the charges you enumerate have been made with one purpose in mind-to place our office on the defensive and make us waste valuable time answering allegations that have no basis in fact".
Jim Garrison

Kalenge

USHIRIKIANO NI JAMBO LA MAANA!

Nyie hamkubali mchango wangu wa kuipinga issue ya Zimbabwe na kutaka Zitto arudi Bungeni?

Na aliporudi bungeni mara baada ya mpango wao kujulikana especially Pinda alipotowa kauli za tofauti bado hamuoni kuna mvutano?

Na pia mara baada ya Zitto mwenyewe kurudi bungeni na issue ya madini kuletwa...Je alikuwa BUNGENI AMA HOSPITALI?

Nyie mnafikiri mambo madogo haya?

Nyie mfanye kazi yenu huko Tanzania na mimi hapa USA nitafanya yangu!

Na nimeshasema kabla hajaja hapa WASHINGTON...AFANYE KAZI ZA WANANCHI!

Tusileteane madaharau kabisa kwani na sisi tunapambana..Hii issue si ya kupambana huko Bongo peke yake!

Mshukuru Mungu mmepata BALOZI!

FANYENI KAZI ACHENI MZAA TUKO PAMOJA NA HAKUNA KUANZA KUNYOOSHEANA VIDOLE KAMA MNAVYOFANYA KWA MTIKILA!

NB:NA KAMA UNTAKA USHAHIDI BASI KASOME RIPOTI ZOTE ZA KAGUZI ZA KINA ERNEST & YOUNG NA KAMA HUNA MUDA NA WEWE UNATAKA KUFUNGUA KESI THEN KAMPE MTIKILA HIZO PESA YEYE NA WAZALENDO WENGINE WALIOFUNGUWA KESI...AMA WEWE UNAJALI DINI?
 
yaani katika hali ya kawaida unaweza mtu kumvulia kofia RA kwa jinsi anavojua kujipanga kwenye ufisadi.
anahakikisha amejikinga left right and center.
 
Watu wamekuwa wakinene siku zote kuwa Mtikila ni mbabaishaji lengo lake ni kudumaza upinzani, watu hatutaki kuamini, ni mara nyingi yeye mwenyewe amekiri kuwa RA ni rafiki yake wa siku nyingi, mimi nadhani huo mkopo kufuatana na Mtikila sio wa kwanza.
Nakumbuka kipindi cha kampeni za uchaguzi ilisemekana RA alimpa kitukidogo Mtikila ili baadhi ya mabomu ya ccm na viongozi asiyaweke hadhari.
Muda umefika kwa Mtikila kuvumilia njaa yake! awe mtu wa Mungu kikwelikweli hatutaki ze commedy.
 
sio mbaya hata kukamatwa hao wadogo....maana rushwa imetawala vibaya tanzania. hii inaweza kuwa fundisho kwa watoa roshwa wengine (wadogo wadogo)
 
``
Alisema biashara anazomiliki zilianza mwaka 1852 huko Tabora na amezirithi toka kwa mababu zake.

Wandugu hawa waarabu walikuwa wakifanya nini miaka hyo?huenda hao wazee wake walikuwa ma-ajenti wa ukoloni.
 
Kaili za Mtikila zina utata mkubwa na zinahitaji ufafanuzi wa ziada.Mchambuzi mzuri atakuambia kuna ubabaishaji mkubwa hapa.Mimi nadhani hata kauli kwamba alimsaidia kwa ajili ya ujenzi wa kanisa ni ya kuchambuliwa maana huyu jamaa anadai ni kibanda ya kweli haya?There is a lot here than what meets the eye.Paragraph ya kwanza inasema kibanda kinahitaji marekebesho halafu baadae anasema kwamba ni mradi.Hiki kibanda na huu mradi mbona zina conflict?
 
Mkuu Kasheshe,

I hope credibility yako inapanda sana kwa kumtetea Rostam, ambaye alipoitwa bungeni na kamati ya Mwakyembe, hakujibu kabisa, lakini alipooonekana alidai kuwa alikuwa safari, sasa baada ya kurudi safari kilichomzuia ni nini kwenda mbele ya kamati?

Mimi sina tatizo na utetezi wako kwa sababu wote hatuwezi kuwa on one side, lakini ukileta maneno ya credibility ambayo so far hakuna aliyeuliza ya kwako kwa kumtetea huyu proven fisadi, then inaleta maswali ya nini hasa nia yako? Kwamba usiulizwe au what?

Unawezaje kumsafisha kiongozi Fisadi aliyemfunga, Rage jela bila sababu ya msingi ili kumsaidia mtandao mwenziwe Kapuya, sasa utamsafishaje huyu? Unapoona mpaka Rais wa Jamhuri ameshindwa kumbeba hata hawara wa rafiki yake mpenzi kwenye uwaziri ujue huyo hasafishiki, ukiona hata rafiki yake mpenzi anamtosa kutoka kwenye uweka hazina wa CCM, ujue huyo ni mchafu period na hasafishiki, ukiona anahangaika majumbani mwa wabunge wanaotaka afikishwe kwenye sheria ujue kuna kitu anakijua kuwa hakiko sawa na tabia zake, kwa sababu asingekuwa mchafu basi angesubiri tu kwenda mahakamani, Rostam ni fisadi ndio maana majuzi amehamisha kampuni zake za Richimonduli na Dowans kwa Manji, ukiona kiongozi wa taifa kama yeye anahangaika mpaka kununua Ze-Comedy ili kuwapunguza makali ya kutoa ufisadi, basi ni huyu ananuka sana uchafu wa ufisadi,

Siku zinaanza kufikia ukingoni ndio maana sasa anahaha kila kona mara kanisani, mara manyumbani kwa wabunge anafikiri kila mbunge ni kama Serukamba? Asubiri tu siku ya siku inakuja tena karibuni sana, kumtetea ni haki yako ndio hasa demokrasia, lakini it has nothing to na credibility yako, unless unataka kusema kuwa kwetu wananchi kudai responsibility kutoka kwa kiongozi wa taifa inahusiana na credibility ya wananchi nafiri hiyo hoja ni foolish na pathetic, ni haki yangu kama mwananchi kutaka kujua iwapo huyu fisadi atachukuliwa hatua za kisheria, kama ni credibility you can have it,

Lakini huwezi kuzuia haki yangu mkuu ya kuuliza maswali genuine kama vile ni kwa nini baada ya kushutumiwa na ufisadi sasa anahamisha kampuni zinashutumiwa kwa Manji, lakini hakuhamisha Vodacom ambayo inajulikana kuwa anamiliki majority share kihalali?

Mkuu Kasheshe, ukijiheshimu utaheshimiwa bro, sitaki kuamini kuwa credibility yako ina anything to do na utetezi wako wa fisadi wa taifa letu namba moja yaani Rostam! Lakini bado ninakuheshimu sana, ila huyu Rostam hasafishiki ndio maana hata Rais wa Jamhuri aliamua amtose kwenye uweka hazina wa CCM, na pia kumtosa hawara yake aliyekuwa waziri.

Lakini ni haki yako kumtetea ndio maana demokrasia, Ahsante Mkuu!
 
Sijui na JK, Makamba na vingunge wengine kibao ndani ya CCM wamechukua 'mikopo' kiasi gani toka kwa RA. Sasa hivi hao waliochukua 'mikopo' ndiyo watazidi kumuogopa kumgusa huyu jamaa maana wanaogopa atawaadhiri mbele ya hadhara, labda warudishe 'mikopo' hiyo mapema iwezekanavyo.

Sijui na Mrema, Mbowe, Zitto,Si ajabu hata Ahmadi
 
Lakini huwezi kuzuia haki yangu mkuu ya kuuliza maswali genuine kama vile ni kwa nini baada ya kushutumiwa na ufisadi sasa anahamisha kampuni zinashutumiwa kwa Manji, lakini hakuhamisha Vodacom ambayo inajulikana kuwa anamiliki majority share kihalali?

Hata Vodacom, amezihamishia Afrika Kusini na tayari ana mgogoro kwa kuvunja sheria

https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=14557
 
Back
Top Bottom