KakindoMaster
JF-Expert Member
- Dec 5, 2006
- 1,356
- 88
Maneno mazuri kuyasoma mtikila hakujiandaa vizuri hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1) Yes, Chadema imeguswa lakini haikumbwa na kashfa za EPA
2) Swali lako la pili halieleweki, maslahi gani haya ambayo wabunge walitakiwa kutangaza? Fafanue ili ujibiwe.
Your questions:
1) Kwa hiyo hata mtu kama DK SLAA wewe huna mawasiliano naye?
Ama hufuatilii michango yake hapa jf?
Tatizo ni badala ya kuja pamoja kila mtu anataka kujiona yeye anajuwa!
USHIRIKIANO NI KITU CHA MUHIMU SANA!
2) Sasa kumbe hata hujuwi issue nyingi tu?
Na Kitila...Si vizuri kufuata MIKUMBO kama ulivyosema!
Sasa mjibu Bibi Ntilie hapo juu...Maana wewe si unamtete FISADI?
Si unadai yeye hana kosa bali ni sheria alizotunga?
Kwahiyo kinyesi kilaumiwe na aliyekunya aachwe?
HII KALI!
My response:
1) Yes, nawasiliana na Dk Slaa na ninafuatilia michango yake hapa na kule bungeni lakini haina maana kwamba nakubaliana na kila anachokisema. Huo ndio uhuru wenyewe wa fikra. Kama wewe unakubaliana na kila kitu anachokisema Dk Slaa ujue una matatizo!!
2) Yes, mimi sijui vitu vingine vingi tu na silazimiki na tena, kwa ubinadamu wangu huu, haiwezekani kuvijua vyote.
Next question please!
Inawezekana hapa tukawa hatuelewani!!! Mushi nimeziona pointi zako tangu kitambo kaka, swala ni kuwa humu JF inabidi tujitofautishe na watu wa vijiweni, tusiishi kwa "wishes" and "talking" kuna mengi ya kufanya.
Tunachosema ni kuwa tutaimba wimbo wa mafisadi mpaka lini.Kama kuna mtu anaushahidi niko tayari kuchangia twende mahakamani.
Mushi unakuwa hauna tofauti na Jamaa aliyechapwa kibao mbele ya mke wake, na akaanza kusema kwa adui yake kuwa utaona!@!!!!, nitakuonyesha!!!! nitakuroga!!!!!!! unanitambua!!!!!,huku hufanyi lolote. TUMESHAPIGWA INABIDI TURUDISHIE KWA HASIRA KUBWA. KAMA MAMLAKA HUSIKA HAZIFANYI KAZI BASI HAPO FISADI SIYO ROSTAM TU NI SYSTEM NZIMA.UTAPIGA KELELE NA KUSEMA YOTE LAKINI HAIONDOI UKWELI KUWA ""WEWE BINAFSI HUNA LA KUMFANYA ROSTAM"" TUKIWA WENGI TUTAFANYA KITU. NA NDIYO TUNAULIZANA NANI MWENYE UTHIBITISHO TWENDE MAHAKAMANI????????
KUULIZA HIVI AU KUSHAURI HIVI HAKUWAFANYI WATU WAONEKANE WANATETEA UFISADI
At least uwe kama huyu
"And they asked me to take a polygraph as to the allegations and reports I'd made. I volunteered and I took the polygraph and passed it without a glitch".
Sibel Edmonds
Hili mafisadi wasiseme kama huyu
"All the charges you enumerate have been made with one purpose in mind-to place our office on the defensive and make us waste valuable time answering allegations that have no basis in fact".
Jim Garrison
Kalenge
Alisema biashara anazomiliki zilianza mwaka 1852 huko Tabora na amezirithi toka kwa mababu zake.
ashakwisa kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Sijui na JK, Makamba na vingunge wengine kibao ndani ya CCM wamechukua 'mikopo' kiasi gani toka kwa RA. Sasa hivi hao waliochukua 'mikopo' ndiyo watazidi kumuogopa kumgusa huyu jamaa maana wanaogopa atawaadhiri mbele ya hadhara, labda warudishe 'mikopo' hiyo mapema iwezekanavyo.
Lakini huwezi kuzuia haki yangu mkuu ya kuuliza maswali genuine kama vile ni kwa nini baada ya kushutumiwa na ufisadi sasa anahamisha kampuni zinashutumiwa kwa Manji, lakini hakuhamisha Vodacom ambayo inajulikana kuwa anamiliki majority share kihalali?