Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
MPAKA KIELEWEKE.
Fisadi Mtoto anahoja na nadhani hoja yake imekita ktk falsafa ya Primitive society ambayo inaimani kua kila kifo kina mkono wa mtu,Kaka Fisadi ameonyesha uhalisia wa aina ya watu wa jamii hiyo.
Nachota kusema.
Ukweli wa Fisadi mtoto unaonekana ktk mawazo ya watu kama mwafrika wakike ambae ukisoma tangu ameanza kuchangia ktk mjadala huu anataka tuamini kifo cha Mbatia kuna mkono wa mtu,balali amepewa sumu hayo ndo mawazo ya primitive society.
Ingawa sitaki kuamini kua hii ni primitive society but nacho amini kuna watu waliopo sasa ambao ni primitive thinkers kama hao wenye kuamini kua mbatia aliuwawa na watu or mtu.
Hoja ya This Day imeshusha Credibility ya uandishi wa habari jambo ambalo nilitegemea watu kama mwanakijiji wangekua hapa leo kutuambia the professional side of it sio kuja hoja za ajabu ajabu zakina mwafirika wa kike.
Kuna mtu alihoji kua wote ktk kampein team ya ccm walikua na vyeo ndani ya chama sasa RA ametokea wapi,hawa ndo watu hatari wanacomment juu yakitu wasichojua,RA NI MNEC aneawakilisha mkoa wa TBR kama hoja ni cheo but was that a qualification ya kua ktk team ya kampein? nikiuliza kina mwafrika wao kwao chadema kina owenya,mdee,lucy etc hawa mabinti waliokua wanruka na helkopta with mboe walikua na vyeo chadema i hope walipewa chance bcs of either uwezo wao or SPECIAL SERVICE kwa wakubwa,kama inavyosemekana.
Kwhiyo This Day as i said mwanzo wameonyesha UJINGA wa waandishi wetu wengi ambao hawasomi bcs kuna siku mwanakijiji alikiri humu ndani kua yy hua hawezi kusoma haraka mpaka afunge kamba macho nilielewa ana maanisha nini ila anaweza kuandika haraka kauli ilonistua sana.
Jamii hii kama alivo sema Fisadi mto kua Ni Primitive ingawa hapo natofautiana nae ila nacho amini ni kua tuna PRIMITIVE THINKERS ndani ya society yetu na mbaya zaidi ni kua most of Primitive thinkers ni waandishi wetu ambao i belive ndo hawa wanaangalia Personaliyies badala ya issue na bcs kina mwafrika ni wengi basi nao wanamini na kukurupuka na hasa pale kijiwe cha KINONDONI karibu na Kwa MANYANYA.
Kwahiyo FISADI MTOTO alichtuonyesha ni kua JF wengi wenye mawazo -ve kama kina mwafrika uwezo wao ni mdogo wa kuelewa na wanaongozwa na hisia zaidi kuliko uhalisia.Na sisi CCM TUMEPEWA JUKUMU LA KUWAONGOZA WOTE NA KUWASAIDI.
Umepata kazi nyingine au bado unaendeleza kazi zako zile?