Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Eloi Eloi!! tuokoe na haya mambo..embu wape pigo hawa watu mafisadi waeelewe kuwa wanachofanya ni dhambi kubwa..mana kujipenda mwenyewe kwa gharama ya watu zaidi ya milioni ishirini sidhani kama ni dhambi inayoweza kuvumilika hata machoni pa muumba...nimechoka kutoa machozi kila siku na sasa ikishindikana ni kuingia msituni tu sasa..maaana hizi kelele washazizoea sasa..!!
 
Hivi Budget ya CCM ya Uchaguzi ilikuwa Billion ngapi vile??billion 22 na wakaongeza tena billion 8...so ni kama billion 30.DUh??Moelex kuna ukweli kwa details zako hapo??

ila nachofahamu billion 30 zilichangwa nwa tu wengi sana wenye mapenzi na chama,wabunge wote walitoa kuanzia 1.5m wakati wa mchakato na hata walioshindwa,hivyo

chukua 235*3* 1.5 million unapata ngapi?.ongeza na michang mikubwa ya kina Moh. sabodo ,Mungai, pamoja na pesa ya chama ..usiwahadae watu,CCM inajiendesha

You are joking right??? Now i knw why they keep getting those votes...
Nadhani tuanzishe mjadala utakaosema Je Matatizo Nchi Yetu inayoyaona sasa ni Kosa la CCM au ni kutokana na upeo na uelewo mdogo wa wapiga kura???
 
Ni Utapeli...wa muda mrefu...
wakati serikali Ina fikilia Ufisadi...Itambue Sia Ufisadi...Ulikua ni Utapeli....

Tofautisha Ufisadi Na Utapeli...

Lostam..na wenzake wote ni matapeli wezi..

Swali ambalo serikali inatakiwa ijiulize ni..Who was Master mind..Basi!!
 
NDIO MAANA NILIMWAMBIA INVISIBLE AWE MAKINI SANA NA HAWA MEMBERS NA TUHUMA ZAO WANAOZOTOA HUMU NDANI , WANAHARIBU SANA HII FORUM NA INATOA IMANI KWA WANACHAMA WAPYA KATIKA FORUM KWA UJUMLA

ANGALIA PALE KATIKA HOJA NZITO NITAANDIKA RIPOTI KAMILI KWA RAIDA YA UMA
NASHANGAA SANA MNAMGUNDUA LEO HUYU KIMEO MWAFRIKA WA KIKE.MUULIZE ATA MTOT WA MKULIMA ALISEMA HUYU NI BONGE LA KILAZA.KWANZA ANA IMANI ZA KISHIRIKINA,PILI ANA JAZBA,TATU ANA MAJUNGU,NNE KAIGEUZA JF UKUMBI WA UMBEYA,TANO ANA USHABIKI BILA DATA.IN SHORT NI MAMA UMBEYA
 
Yuhunika = Fisadi mtoto ? hahahah tumegundua janja ya nyani kula hindi bichi post ya 7 teh teh teh JF tunaakili
 
Hivi huyu RA alipochukua hizi pesa zilikuwa na thamani gani kwenye US$? Je, muda wote huu wa miaka kadhaa ni kiasi gani ambacho amekuwa akikitapanya kutaka kufukia kile alichoahidi.

RA ni wa kwenda Keko au Ukonga na Segerea haraka sana …. ….. ….. Viongozi wa chama Tawala damu ya walipa kodi ipo mikonopni mwenu na tunahitaji mfanye hima muwashughulikie wale wote ambao kwa namna moja au nyingine wamekuwa wanatafuna Keki ya taifa kwa ulaghai bila kuvuja jasho . Wakati ni huu wa kuona mbichi na mbivu ni zipi?
 
What is clear is that there is much anger here. But is it productive anger? Will it bring any changes?

We must distinguish between causes and consequences of problems. The massive embezzlement of public funds that we are witnessing is the consequence of a problem, an endemic problem in Tanzania. It’s called bad governance. If we want to change this phenomenon, we must remove CCM from power first. Then, and only then, can we start again, with a system of checks and balances that does not allow cliques of thieves to entrench themselves in power.

It is impossible to change the state of affairs in Tanzania without moving CCM into the opposition camp first.
 
Lakini angalau bado tuna "amani na utulivu" tofauti na jirani zetu.
Amani na Utulivu? Ipi Upi?

Watu wanakwena siku 3 bila mlo mpaka wanatamani msosi wa jela? Amani gani hiyo?

wengi wana kula wengine wanatazama tu hiyo niamani?

Kuwafunga wezi wa kuku na kuaacha Wauaji na wezi wa mabilioni wakitamba vifua mbele ndani ya Mashangangingi hiyo ndo Amani?

Viongozi kusema uongo mchana kweupe hiyo ndo amani?

Siasa hizi za ubabaishaji za Tanzania nayo ni amani?

Hivi kukosekana kwa amani ni pale tu risasi zikianza kuvuma?
Kushinda na njaa
Kukosa ajira
Kudanganywa
Kufanywa wajinga
Kubaguliwa
Kupigwa undava wa kisiasa
Haya yote hayachangii kukosekana kwa amani??

Labda sielewi maana hasa ya AMANI.
 
What is clear is that there is much anger here. But is it productive anger? Will it bring any changes?

We must distinguish between causes and consequences of problems. The massive embezzlement of public funds that we are witnessing is the consequence of a problem, an endemic problem in Tanzania. It’s called bad governance. If we want to change this phenomenon, we must remove CCM from power first. Then, and only then, can we start again, with a system of checks and balances that does not allow cliques of thieves to entrench themselves in power.

It is impossible to change the state of affairs in Tanzania without moving CCM into the opposition camp first.

Mzee! removing CCM sounds as a magic bullet for our existing problem. But I can bet, even with my life, it is not. As long as the status quo remains the same interms of constitution, we will achieve nothing, may be we will even be worse off. At the moment presidency has got too much power with a huge influence on the parliament and judicial system. Just imagine, with all these obvius cases of fraud did it need the president to for the so called "Task Force" as if there are no laws of the land?

mTz.
 
Nauliza ni kweli hatuwezi kuibadili nchi yetu bila kuimaliza CCM?Lahasha!!!uwezo tunatoa,hapa ni kujipanga kinominomi tuuu

Nawashauri wafanyabiashara wa tz muandamane hadi jumba jeupe mkalazimishe wawape mkopo kwaajili ya biashara zenu.Lazima kieleweke,kama wameweza kumpa hizo fedha Mu-Iran,sembuse watz?sidhani,lazima wawape,tena mwende na mwanasheria,na muwaambie zile mlizompa muiran nasi mtupe,au siyo?
 
wazo zuri hata mimi naunga mkono ! tuandamane tuitoe CCM madarakani ! tuanzeni kesho au sasa hivi !
 
Hivi huyu Rostam kwa nini basi hachukuliwi hatua za kisheria?? maana kila kukicha tunasoma Rostam kafanya hiki mara kile ila jamaa yupo na anadunda kama kawa! kama serikali inamwogopa basi chapisheni hapa hiyo mikataba au mikopo inayoonyesha alikwapua mali ya umma na tunaahidi kuwa tutaishikilia bango ndani na nje ya nchi kama serikali inamwogopa!!! tutapeleka evidences hizo kwenye balozi zote na tutawaeleza kuwa serikali inamwogopa kumchukulia hatua za kisheria na kama nao wakimwogopa basi tutachukua hatua sisi wenyewe wazawa ili kuweka mambo sawa.
Kuna wakati tulishasema hapa jamvini kuwa Tanzania inakamtindo kakuwaogopa watu au wafanyabiashara wenye asili ya kiasia pale wanapoiba au kuvunja sheria za nchi? ...tukaitwa wabaguzi weusi!! sasa basi kama kuna ushahidi chapisheni hapa au kwenye magazeti ili huyu mtu achukuliwe hatua kali za kisheria na tufunge mjadala! na siyo kuloloma tu hakutasaidia kuwakomboa wananchi.

-Wembe
 
Kwa taarifa yenu huyo mtendaji mkuu wa Mfuko huo Dr Lorri asijifanye hajui kitu. Mbona yeye mwenyewe inasemekana ana political ambitions na hutumia sana fedha za mfuko huo kujijenga kisiasa huko Karatu ambako ndiko anakotoka. Atueleze kwa nini amekuwa mara nyingi anatafuta ujumbe wa NEC wa CCM kwa gharama kubwa? Atueleze kwa nini kila juma kama siyo mara kwa mara yuko Karatu anahangaika kutengeneza safu ya viongozi kwa kuwalambisha peremende ili apitishwe kwenye kura ya maoni wakati wa kutafuta ubunge wa jimbo hilo? Kwa kweli mfuko huo kuna umuhimu ufanyiwe uchunguzi wa kina ndipo mtakuta kashfa inayofanana na EPA. Yeye mwenyewe alikuwa amefukuzwa kazi kutoka shirika la LISHE mwaka 2004 kwa sababu ya ubadhilifu na ulaji(muulizeni Mama Anna Abdallah aliekuwa Waziri wa Afya) lakini aliekuwa Waziri Mkuu wakati huo ambaye ni swahiba wake mkubwa na mwana wa kaya, akaamua kumuokoa na kumtosa aliekuwa mtendaji pale kwa visingizio vya ajabu ajabu na kumpa huyo Lorri utendaji Mkuu. Hii ndiyo Tanzania.
 
Mhe. RA, swali la 'kizushi'....... Hivi unawapenda sana watu wa Igunga hadi ukupenda kuwawakilisha bungeni (naamini sio marupurupu ya ubunge yaliyokuvutia)? Je nitakua nimekosea nikisema kwamba ulitaka ubunge ile biashara zako ziende sawa? Kwamba ubunge wa sehemu yoyote kwako ni sawa? Iwe Igunga au Ukonga? Kama ni haya ni sawa, wewe ndiye unatumia siasa vibaya!
Maelezo yako hayajengi hoja ata kidogo?unaweza nitajia majina ya wabunge walioenda bungeni kwa ajili ya mapenzi yao kwa wananchi wa tanzania? watanzania wanachagua lini watu wenye mapenzi kwao zaidi ya kupenda rushwa.
 
Hivi huyu Rostam kwa nini basi hachukuliwi hatua za kisheria?? maana kila kukicha tunasoma Rostam kafanya hiki mara kile ila jamaa yupo na anadunda kama kawa! kama serikali inamwogopa basi chapisheni hapa hiyo mikataba au mikopo inayoonyesha alikwapua mali ya umma na tunaahidi kuwa tutaishikilia bango ndani na nje ya nchi kama serikali inamwogopa!!! tutapeleka evidences hizo kwenye balozi zote na tutawaeleza kuwa serikali inamwogopa kumchukulia hatua za kisheria na kama nao wakimwogopa basi tutachukua hatua sisi wenyewe wazawa ili kuweka mambo sawa.
Kuna wakati tulishasema hapa jamvini kuwa Tanzania inakamtindo kakuwaogopa watu au wafanyabiashara wenye asili ya kiasia pale wanapoiba au kuvunja sheria za nchi? ...tukaitwa wabaguzi weusi!! sasa basi kama kuna ushahidi chapisheni hapa au kwenye magazeti ili huyu mtu achukuliwe hatua kali za kisheria na tufunge mjadala! na siyo kuloloma tu hakutasaidia kuwakomboa wananchi.

-Wembe
NANI WA KUTHUBUTU KUMCHUKULIA HATUA BABA, KWANI HUJUI HUWA AKISHACHUKUA HIZI PESA ZINA MGAO WA WENGI? SASA WA KUMCHUKULIA HATUA NI NANI AU HOSEA WA TAKUKURU? LILILOBAKI HIVI SASA NI WANANCHI KUNOA MAPANGA YETU TAYARI KUKABILIANA NA WEZI WETU MAANA SERIKALI HAIPO. NA HILI TUSIWE NA HARAKA NALO, TUSUBIRI WAKATI WA UCHAGUZI UJAO ILA TUWE TAYARI TAYARI
 
Kati ya wabunge ambao inadaiwa wana ushawishi sana kwenye serikali na nje ya serikali ni Mbunge wa Igunga Mhe. Rostam Aziz (CCM) Siyo tu Bungeni lakini pia jina lake limekuwa likitajwa katika mambo mbalimbali na hivyo kumfanya kuwa ni miongoni mwa wabunge wenye "ushawishi" wa aina fulani na wenye nguvu ya aina fulani. Kuna watu wanaomini kuwa yeye ndiyo "King Maker" wa Tanzania. Je ushahidi ukoje. Ufuatao ni wasifu wa Mhe. Aziz ambao licha ya kutojibu maswali, unazua maswali mengi zaidi na kubwa zaidi ambalo binafsi ningependa kusaidiwa majibu yake ni "Mchango mkubwa wa Bw. Rostam kwa taifa letu ni nini"?

Je, ni ajira, kuanzisha vyombo vya habari n.k Je yawezekana kuwa kule Bungeni kwa miaka miwili Bw. Aziz hajawahahi kusema kitu chochote? Na kama amewahi imekuwaje kuwa tovuti ya Bunge haionyeshi mchango wake hata mmoja? Kwanini miaka miwili baadaye hata wasifu wake wameshindwa kuumalizia? Mbunge huyu mwenye utata, kweli anazo nguvu anazodaiwa kuwa nazo au ni uonevu wa wapinzani wake wa kisiasa?. Binafsi sina jibu. wewe unalo?

rostam1.jpg.jpg

rostam2.jpg.jpg

rostam3.jpg.jpg

Mwanakijiji,

Deadline imepita uliyoahidiwa kupewa information za huyu mbunge mwenye uraia wa utata!

Je alizaliwa wapi na lini
Alisomea wapi na lini?

tik tak tik tak tik tak........
 
Je kuna ukweli kuwa Kikwete ni wanahisa wa kampuni ya Caspian inayonilikiwa na Rostam Azizi? ikumbukwe kuwa sasa Caspian imepewa tenda ya kutoa kifusi kwenye migodi ya barrick
 
Je kuna ukweli kuwa Kikwete ni wanahisa wa kampuni ya Caspian inayonilikiwa na Rostam Azizi? ikumbukwe kuwa sasa Caspian imepewa tenda ya kutoa kifusi kwenye migodi ya barrick
Utakuwa umekosea. Taarifa nilizokuwa nazo ni kuwa ni BWM sio JK. Ulizia hicho chanzo chako mkuu
 
...na sishangai caspian kupata kazi hiyo barrick kwa sababu kwa muda mrefu imekuwa ikifanya shughuli migodini kama sub contractor, hasa kule geita
 
Utakuwa umekosea. Taarifa nilizokuwa nazo ni kuwa ni BWM sio JK. Ulizia hicho chanzo chako mkuu

Mwalimu JK alisema "Ikulu kuna biashara gani hata upakimbilie, mtu mwenye akili timamu hakimbilii Ikulu, pale ni matatizo tupu...". Lakini hapa yaonyesha kumbe Ikulu pana biashara, na ni biashara kubwa kubwa, mwee nimechoka. Ebu wana JF leteni zaidi kuhusu hi CASPIAN co ltd...
 
Back
Top Bottom