Tanzania Royal na riba yake!Rostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na kwa nini asijenge Tanzania ?
Unaweza kukuta kabisa amechukiwa mkopo na aliyedhamini huo mkopo ni sisi nikimaanisha Serikali ya Tanzania maana yake ni kwamba akishindwa kulipa deni mdaiwa ni sisi lkn bado kaenda kujengea Kenya???
Unanunua bidhaa ya milion 40, kodi ni milion 29. Hapo haujasafirisha mpk bandarini Tanzania. Bado ulipie usafiri huo mzigo mpaka sehemu yako ya kazi.Rostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na kwa nini asijenge Tanzania ?
Unaweza kukuta kabisa amechukiwa mkopo na aliyedhamini huo mkopo ni sisi nikimaanisha Serikali ya Tanzania maana yake ni kwamba akishindwa kulipa deni mdaiwa ni sisi lkn bado kaenda kujengea Kenya???
... tuna watunga sera wenye thinking za kipumbavu sana! Serikali ilishindwa kuendesha makampuni na mashirika yake hadi yakafilisika saa hizi wanakimbilia kufilisi wafanyabiashara! KATIBA!Tanzania wakiona account ina tuna TRA wanakimbilia kufunga account kwa maana hiyo Tanzania hautakiwi uwe na hela nyingi ndiyo maana hata wewe unashangaa kwanini jamaa anahela nyingi mpk anawekeza Kenya? Unaanza kujiuliza sijui EPA n.k
Wabongo mna question Kila kituRostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na kwa nini asijenge Tanzania ?
Unaweza kukuta kabisa amechukiwa mkopo na aliyedhamini huo mkopo ni sisi nikimaanisha Serikali ya Tanzania maana yake ni kwamba akishindwa kulipa deni mdaiwa ni sisi lkn bado kaenda kujengea Kenya???
Hujui hela Katoa wapi Ila unashutumu tu!!..mwaka 2012 rostam alikua mtanzania wa kwanza kuwa na utajiri wa Dola bilioni mojaRostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na kwa nini asijenge Tanzania ?
Unaweza kukuta kabisa amechukiwa mkopo na aliyedhamini huo mkopo ni sisi nikimaanisha Serikali ya Tanzania maana yake ni kwamba akishindwa kulipa deni mdaiwa ni sisi lkn bado kaenda kujengea Kenya???
Hujui hela Katoa wapi Ila unashutumu tu!!..mwaka 2012 rostam alikua mtanzania wa kwanza kuwa na utajiri wa Dola bilioni moja
Unaongea nini wewe!?..hakuna investment za $200m duniani toka mfukoni mwa investors!?...$200m nayo ni hela!? Hata Kama kakopa,rostam anakosa dhamana za kukopea!?..hela ya dowans alitoa wapi!?Hakuna mtu anayetoa 200 million USD mfukoni mwake kujenga Kiwanda hata Billionaie Bill Gates hafanyi hivyo, hivyo haijalishi ana (rostamu) kiasi gani lkn 200 million USD hajatoa mfukoni mwake ni lazima amekopa mahali, na kama amekopa kwa dhamana gani? Nani amedhamini 200 million dollars ? Who takes the risks kama akishindwa kurudisha hiyo fedha? Na kama sisi kama nchi ndiyo tumedhamini kwa nini Kiwanda kikajengwe in foreign country ?
Uhusiano wa kibiashara umeimarika kati ya Kenya na Tz.Rostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na kwa nini asijenge Tanzania ?
Unaweza kukuta kabisa amechukiwa mkopo na aliyedhamini huo mkopo ni sisi nikimaanisha Serikali ya Tanzania maana yake ni kwamba akishindwa kulipa deni mdaiwa ni sisi lkn bado kaenda kujengea Kenya???
Unaongea nini wewe!?..hakuna investment za $200m duniani toka mfukoni mwa investors!?...$200m nayo ni hela!? Hata Kama kakopa,rostam anakosa dhamana za kukopea!?..hela ya dowans alitoa wapi!?
Ukiwa Mtanzania tajiri unaitwa mwiziRostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na kwa nini asijenge Tanzania ?
Unaweza kukuta kabisa amechukiwa mkopo na aliyedhamini huo mkopo ni sisi nikimaanisha Serikali ya Tanzania maana yake ni kwamba akishindwa kulipa deni mdaiwa ni sisi lkn bado kaenda kujengea Kenya???
Ukiwa Mtanzania tajiri unaitwa mwiziView attachment 2537382