Rostam Azizi to build 200 million LPG Facility in Kenya with Our money may be!

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Rostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na kwa nini asijenge Tanzania ?

Unaweza kukuta kabisa amechukiwa mkopo na aliyedhamini huo mkopo ni sisi nikimaanisha Serikali ya Tanzania maana yake ni kwamba akishindwa kulipa deni mdaiwa ni sisi lkn bado kaenda kujengea Kenya???
 
Chini ya siasa za CCM ni risk sana ku-invest Tz. Hujui kesho ataibuka mwehu gani akakamata madaraka na hakutakuwa na wa kum-control!

Rostam yuko sahihi na amefuata penye security ya uwekezaji. KATIBA! KATIBA! KATIBA!
 
Rostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na kwa nini asijenge Tanzania ?

Unaweza kukuta kabisa amechukiwa mkopo na aliyedhamini huo mkopo ni sisi nikimaanisha Serikali ya Tanzania maana yake ni kwamba akishindwa kulipa deni mdaiwa ni sisi lkn bado kaenda kujengea Kenya???
Tanzania Royal na riba yake!

Ni sahihi mkuu
 
Unanunua bidhaa ya milion 40, kodi ni milion 29. Hapo haujasafirisha mpk bandarini Tanzania. Bado ulipie usafiri huo mzigo mpaka sehemu yako ya kazi.
Ukianza kuuza hiyo bidhaa kwa wateja unaanza kulipia tena kodi hiyo bidhaa.
Unataka kufungua biashara Tanzania, unaenda TRA kuchukua TIN number. Inabidi ulipie kodi kwanza. Hapo haujaanza kufanya biashara. Kodi inatoka kwenye mtaji au faida ya biashara yako?
Tanzania kuna mazingira magumu sana ya kufanya biashara.
Kama kuna mazingira mazuri ya ulipaji kodi na faida ipo hata ningekuwa mimi nawekeza Kenya.
Tanzania wakiona account inatuna TRA wanakimbilia kufunga account kwa maana hiyo Tanzania hautakiwi uwe na hela nyingi ndiyo maana hata wewe unashangaa kwanini jamaa anahela nyingi mpk anawekeza Kenya? Unaanza kujiuliza sijui EPA n.k
 
Tanzania wakiona account ina tuna TRA wanakimbilia kufunga account kwa maana hiyo Tanzania hautakiwi uwe na hela nyingi ndiyo maana hata wewe unashangaa kwanini jamaa anahela nyingi mpk anawekeza Kenya? Unaanza kujiuliza sijui EPA n.k
... tuna watunga sera wenye thinking za kipumbavu sana! Serikali ilishindwa kuendesha makampuni na mashirika yake hadi yakafilisika saa hizi wanakimbilia kufilisi wafanyabiashara! KATIBA!
 
Nimewaza sana hili na kudhani kwa kuwa Rais wa huku tulisikia kapiga hela nyingi sana na kujilimbikizia mali nyingi huko ndio haya matokeo yake

Kuna mengi yalisemwa kwao kuwa jamaa alikuwa akizitutika nae anapitisha tu miradi hewa kwa mabilioni
Inaweza ikawa ndoto ila sijui
Kuna mali ya mtu kaingiza hapo
Biashara nyingi kubwa Kuna wanasiasa nyuma yake
 
Rostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na kwa nini asijenge Tanzania ?

Unaweza kukuta kabisa amechukiwa mkopo na aliyedhamini huo mkopo ni sisi nikimaanisha Serikali ya Tanzania maana yake ni kwamba akishindwa kulipa deni mdaiwa ni sisi lkn bado kaenda kujengea Kenya???
Wabongo mna question Kila kitu
 
Hujui hela Katoa wapi Ila unashutumu tu!!..mwaka 2012 rostam alikua mtanzania wa kwanza kuwa na utajiri wa Dola bilioni moja
 
Hakuna mtu anayetoa 200 million USD mfukoni mwake kujenga Kiwanda hata Billionaie Bill Gates hafanyi hivyo, hivyo haijalishi ana (rostamu) kiasi gani lkn 200 million USD hajatoa mfukoni mwake ni lazima amekopa mahali, na kama amekopa kwa dhamana gani? Nani amedhamini 200 million dollars ? Who takes the risks kama akishindwa kurudisha hiyo fedha? Na kama sisi kama nchi ndiyo tumedhamini kwa nini Kiwanda kikajengwe in foreign country ?
 
Unaongea nini wewe!?..hakuna investment za $200m duniani toka mfukoni mwa investors!?...$200m nayo ni hela!? Hata Kama kakopa,rostam anakosa dhamana za kukopea!?..hela ya dowans alitoa wapi!?
 
Thread na matusi yote Kwa Rostam , Kikwete na Samia based on assumptions??

Yaani tusha assume kachota hela na tunahukumu na kutukana Hadi Rais WA nchi?..

Yaani hakuna haja hata ya facts wala ushahidi ....ni mwendo WA hisia na hukumu na matusi juu??
 
Rostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na kwa nini asijenge Tanzania ?

Unaweza kukuta kabisa amechukiwa mkopo na aliyedhamini huo mkopo ni sisi nikimaanisha Serikali ya Tanzania maana yake ni kwamba akishindwa kulipa deni mdaiwa ni sisi lkn bado kaenda kujengea Kenya???
Uhusiano wa kibiashara umeimarika kati ya Kenya na Tz.
 
Unaongea nini wewe!?..hakuna investment za $200m duniani toka mfukoni mwa investors!?...$200m nayo ni hela!? Hata Kama kakopa,rostam anakosa dhamana za kukopea!?..hela ya dowans alitoa wapi!?

Haujaelewa, hakuna mtu anayetoa 200 million dollars mfukoni mwake kujenga Kiwanda na siyo swala la kuwa na hizo fedha au laa bali ni risk associated with investments, kuna sababu kwa nini Makampuni makubwa ya Migodi kama Barrick au hata Shell oil yanakopa hata kwa uwekezaji wa milioni 50 usd au unafikiri kwa nini Total walienda kukopa Benki fedha za kujengea Bomba la Mafuta Ug-TZ unafikiri Shell wanakosa hiyo hadi wakope?

Na ili ukope ni lazima uaminike, unadharau 200 million Dollars inaeleka hata hauelewi what is money achililia mbali hata what is 1 million dollars to begin with, …
 
Rostam Azizi na Taifa gas yake wanainvest 200 million dollars LPG facility huko Kenya, swali langu ni kwamba and its rhetorical hizo fedha kazitoa wapi? Isijekuwa ni mambo ya EPA yanajirudia, na kwa nini asijenge Tanzania ?

Unaweza kukuta kabisa amechukiwa mkopo na aliyedhamini huo mkopo ni sisi nikimaanisha Serikali ya Tanzania maana yake ni kwamba akishindwa kulipa deni mdaiwa ni sisi lkn bado kaenda kujengea Kenya???
Ukiwa Mtanzania tajiri unaitwa mwizi
1677957905548.png
 
Kuna siku hata hela Bakhresa mtasema ni ya kwenu!

Hivi unaweza kujilinganisha na Rostam Aziz? Huyu bwana na familia nzima, ni watu matajiri. Mdogo wake kuna wakati aliuza assets zake UK zenye thamani zaidi ya pauni milioni 300.

Dola milioni 200 ni pesa nyingi sana kwangu na kwako, siyo kwa watu matajiri.
 
Back
Top Bottom