Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Mpo salama!
Watu wengi wanaamini pesa inanguvu kila sehemu na kila wakati.
Lakini Sisi wengine tunajua kuna wakati na sehemu pesa hushindwa na huwa kama makaratasi mengine.
Round hii, Lisu ambaye ni mbangaizaji anaenda kumbwaga Mbowe pedeshee.
Wale wanaoiabudu pesa na kuiona mungu wao hawataamini mungu wao akishindwa.
Tupo
Tunatazama