Round hii Pesa itashindwa na wabangaizaji. Lissu ameshamshinda MBOWE

Round hii Pesa itashindwa na wabangaizaji. Lissu ameshamshinda MBOWE

Mpo salama!

Watu wengi wanaamini pesa inanguvu kila sehemu na kila wakati.
Lakini Sisi wengine tunajua kuna wakati na sehemu pesa hushindwa na huwa kama makaratasi mengine.

Round hii, Lisu ambaye ni mbangaizaji anaenda kumbwaga Mbowe pedeshee.

Wale wanaoiabudu pesa na kuiona mungu wao hawataamini mungu wao akishindwa.

Tupo
Tunatazama
Kwa haki Lisu atashinda kwa rushwa ilivyotembea siyo rahisi kushinda
 
Siasa siyo unajimu, siasa ni namba na mikakati.

Mnaomuunga mkono Lisu wengi si wapiga kura.

Lisu hawezi kushinda kwa porojo za Maria Sarungi, Chahali na mbaya zaidi Jebra Kambole hata kadi ya Chadema hana.

Wajumbe wengi zaidi ya 70% watampa Lisu.

Ulitaka tuwekeane pesa haga Laki tano tano.
 
Polls zinasema ukweli lakini wajumbe wakilamba asali watamgeuka Lisu
Kama itabainika ni RUSHWA ndio imemuweka Mbowe Madarakani mimi nitaacha kabisa kuwasema CCM kuwa ni wala RUSHWA.nitakuwa na uhalali gani?

Nitakuwa nasema Tanzania tunabahati mbaya ya kuongozwa na vyama vya wala RUSHWA.
 
Kama itabainika ni RUSHWA ndio imemuweka Mbowe Madarakani mimi nitaacha kabisa kuwasema CCM kuwa ni wala RUSHWA.
Kama anaweza kuchagia 250M kwenye uchaguzi wa chama atashindwa nini kutoa rushwa? umewahi kusikia Mbowe amechangia hata mgonjwa fedha za matibabu? akina Sanga wametoka gerezani baada ya miaka 5 alitoa hata mia? huwa anatoa sehemu ambayo anajua inamlipa
 
Back
Top Bottom