Round hii Pesa itashindwa na wabangaizaji. Lissu ameshamshinda MBOWE

Round hii Pesa itashindwa na wabangaizaji. Lissu ameshamshinda MBOWE

Sidhani kama atashinda kirahisi kiivyo

Mbowe will possibly win this one

Style ya Lissu na watu wake kutweza,kutukana na kutoa siri za chama chao wenyewe as if wao ni outsiders wanakibagaza chama hicho hicho wanachojifanya wanakitetea

Navyoona Mbowe is teaching these kids Politics 101 Class!

Utulivu anauonesha Mbowe na team yake ni class tosha

Anapinga isolation,anamsemea very well opponent wake,anaonesha maturity ya ajabu

Mbowe ni team player,strategic anajua kuseti chess board na execution,Tundu Lissu sio team player,sio strategist kama Mbowe

Utasema oh mbona Lissu ana watu ni team player,kijuujuu unaweza sema ni team player ila sio kweli,team player ni yule anashirikiana na both wazuri na wabaya kupata mafanikio,huwezi shirikiana na wazuri tu maana wanadamu kuna wabaya pia

No wonder hawa wapya wakafeli

Binafsi yeyote atakaeshinda ashinde tu
 
Mbowe ni Real Madrid, Lissu ni Barca, kikawaida washabiki wa Barca huwa na viherehere sana ila mwisho wa msimu Real Madrid huwa ndio bingwa.
 
Wekeni akiba ya maneno Wajumbe Wengi ni Wachagga Kutoka Mikoa mbalimbali akina Devota wa Morogoro 😄
Nani kukuambia wachagga wanapendana na wana akili na mawazo yanayofanana..?

Kwa taarifa yanahasimiana na ku - wiviana vibaya...

Hakuna mchagga anapenda mchagga mwenzake atoboe. Inagekuwa, basi Mbatia, Mrema na Selasini wote wangekuwa CHADEMA kumsapoti Mbowe..!!
 
Siasa siyo unajimu, siasa ni namba na mikakati.

Mnaomuunga mkono Lisu wengi si wapiga kura.

Lisu hawezi kushinda kwa porojo za Maria Sarungi, Chahali na mbaya zaidi Jebra Kambole hata kadi ya Chadema hana.
Mungu alibadilisha jina la Habrahamu akaitwa ibrahimu, Akabadilisha jina la Sarai Akaitwa Sara, Akabadilisha jina la Yakobo akaitwa Israel Ambaye akamzaa Yuda na Yuda Akaitwa simba na Lisu amebadilishwa Jina Anaitwa simba, simba ni mwerevu na Ananguvu aliye toa hilo jina Alikuwa kwenye maono. Simba kazi yake nikurarua, mchana atawinda jioni atatulia kula nyama ,Lisu is Victor, Aliongea Mchungaji Josephat mwingira, na mtu akiitwa mshindi utamshindaje, Mwenda zake alimkejeli na kumuumiza victor yakamkuta yaliyo mkuta no way, the ✌ victor is victor if you like or not
 
Mbowe ni Real Madrid, Lissu ni Barca, kikawaida washabiki wa Barca huwa na viherehere sana ila mwisho wa msimu Real Madrid huwa ndio bingwa.
Jana kwenye Spanish SuperCup Final matokeo yalikuwa [REAL MADRID 2 FC BARCELONA 5]....

Yaani Real Madrid yako (Mbowe) ilikula goli mkono wa ngumi moja na FC Barcelona wakachukua ndoo/kombe la mfalme a.k.a Spanish SuperCup - 2025....

Hiyo ndiyo ni reflection ya kitachoipata Real Madrid yako (Freeman Mbowe) dhidi ya Catalonians (Tundu Lissu). Matokeo haya hayajalishi Mbowe na Samia watakuwa wamemwaga mapesa ya rushwa kiasi gani maana tutayala na kura hapati...!
 
Mshaona hamtoboi mnaanza kusingizia oooh pesa..
 
Mbowe akishinda,chama kimeshinda.
Lissu akishindwa,chama kimeshindwa&kitakufa baada ya muda.
Kwa hulka za Lissu,hawezi fanya kazi na mtu&hawezi kuongoza watu.
Shortly ni dikteta,hana siri &ni mjuaji.
Hii ni dosari kubwa kwa mtu anayetaka kuongoza.
Hatma ya chama ipo mikononi mwa wajumbe.

Mbowe akishindwa kupitia uchaguzi,ni salama sana kwake.
Kwani ataepuka lawama huko mbeleni za kukiua chama kwa kumuachia Lissu.
 
Jana kwenye Spanish SuperCup Final matokeo yalikuwa [REAL MADRID 2 FC BARCELONA 5]....

Yaani Real Madrid yako (Mbowe) ilikula goli mkono wa ngumi moja na FC Barcelona wakachukua ndoo/kombe la mfalme a.k.a Spanish SuperCup - 2025....

Hiyo ndiyo ni reflection ya kitachoipata Real Madrid yako (Freeman Mbowe) dhidi ya Catalonians (Tundu Lissu). Matokeo haya hayajalishi Mbowe na Samia watakuwa wamemwaga mapesa ya rushwa kiasi gani maana tutayala na kura hapati...!

kombe la super cup ni sawa na kura za JF, kura halisi ndio uchaguzi wenyewe
 
Hakuna matokeo mengine zaidi ya hayo MKUU.

Mbowe aliambiwa kwa heshima ajiondoe ili asipatwe na aibu lakini kashupaza shingo. Ulitaka watu wafanyaje. Aibu ya kujitakia hiyo.
Asimlaumu yeyote
Mimi sielewi mkuu, hivi Mbowe akishindwa ndio inakuwa aibu ila Lissu akishindwa ni ushujaa?

Hizi akili ndio zinafanya kuwe na udikteta uchwara. Mbowe mwenyewe anaelewa wazi kuwa wajumbe wanaweza wasimchague.

Sasa hizo aibu za kujitakia zinatokea wapi. Acheni demkrasia imhukumu. Na mtu kuhukumiwa kidemkrasia haijawahi kuwa aibu.
 
Huwezi elewa kama hujawahi kuwa hata Monitor wa Darasa.
Uchaguzi usikie tuu Mkuu

Kuangushwa na mdogo ni fedheha kubwa Sana
 
Huwezi elewa kama hujawahi kuwa hata Monitor wa Darasa.
Uchaguzi usikie tuu Mkuu

Kuangushwa na mdogo ni fedheha kubwa Sana
Kwa muktadha wa demokrasia huwezi kuiweka kama fedheha. Ndiyo maana tunafanya uchaguzi tukiamini yeyote mwenye sera na ushawishi aweze kushinda.

Tatizo letu ni mapokeo na ndiyo yanaleta kadhia za watu kutumia rushwa, ufitini na kupindua matokeo kwa msaada wa dola.

Siku tukiachana na mapokea ya fedheha kushindwa uchaguzi, tutapata mabadiliko ya dhati.
 
SAHIHI Kabisa
 
Back
Top Bottom