Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Mi nadhani tungesubiri matokeo mkuu
Jana kuna watu wamesikika wakimbangaizia kura MwenyekitiHakuna matokeo mengine zaidi ya hayo MKUU.
Mbowe aliambiwa kwa heshima ajiondoe ili asipatwe na aibu lakini kashupaza shingo. Ulitaka watu wafanyaje. Aibu ya kujitakia hiyo.
Asimlaumu yeyote
Jana kuna watu wamesikika wakimbangaizia kura Mwenyekiti
Mkuu hilo ni agano kati yake na Samia, ila ukweli anaujua kabisa nyakati zimemtupa mkono.Hakuna matokeo mengine zaidi ya hayo MKUU.
Mbowe aliambiwa kwa heshima ajiondoe ili asipatwe na aibu lakini kashupaza shingo. Ulitaka watu wafanyaje. Aibu ya kujitakia hiyo.
Asimlaumu yeyote
Na wote wamekutana na kitu kigumu chenye ncha kali.Jana kuna watu wamesikika wakimbangaizia kura Mwenyekiti
Mkuu hilo ni agano kati yake na Samia, ila ukweli anaujua kabisa nyakati zimemtupa mkono.
Kwa kweli ni Ncha kali na bado hawataki kuamini kwamba ni ncha kali hadi watobolewe ndio waaminiNa wote wamekutana na kitu kigumu chenye ncha kali.
Siasa siyo unajimu, siasa ni namba na mikakati.Mpo salama!
Watu wengi wanaamini pesa inanguvu kila sehemu na kila wakati.
Lakini Sisi wengine tunajua kuna wakati na sehemu pesa hushindwa na huwa kama makaratasi mengine.
Round hii, Lisu ambaye ni mbangaizaji anaenda kumbwaga Mbowe pedeshee.
Wale wanaoiabudu pesa na kuiona mungu wao hawataamini mungu wao akishindwa.
Tupo
Tunatazama
Rushwa ni adui wa haki..Mpo salama!
Watu wengi wanaamini pesa inanguvu kila sehemu na kila wakati.
Lakini Sisi wengine tunajua kuna wakati na sehemu pesa hushindwa na huwa kama makaratasi mengine.
Round hii, Lisu ambaye ni mbangaizaji anaenda kumbwaga Mbowe pedeshee.
Wale wanaoiabudu pesa na kuiona mungu wao hawataamini mungu wao akishindwa.
Tupo
Tunatazama
Endeleeni kukomaaMpo salama!

Siyo wachaga wote wanamkubali Sultan, hata wamachame wenzake wengine wana mpinga wewe tu una agenda yako chafu kama kawaida yako.Wekeni akiba ya maneno Wajumbe Wengi ni Wachagga Kutoka Mikoa mbalimbali akina Devota wa Morogoro 😄
Ni muhimu kuandaliwa kisaikorojia msije mkazimiaMi nadhani tungesubiri matokeo mkuu