Round hii Pesa itashindwa na wabangaizaji. Lissu ameshamshinda MBOWE

Sasa ni zamu ya wabangaizaji wote kuungaana na kumpiga vita mkoloni mweusi CCM.
 
Sawa mbangaizaji ila ilikuwa chupu chupu by the way sio pesa ni vile alikuwa amechokwa tuu.

Lakini kazi ya kumchafua ilifanyika Kwa ustadi mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…