Kabila lake pia limemponza. Hii nchi kuna ukabila wa chini chini.Haina kusubiria hii, kapigwa bench, saafi sana
View attachment 3073905
Accumen Mo darcity
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabila lake pia limemponza. Hii nchi kuna ukabila wa chini chini.Haina kusubiria hii, kapigwa bench, saafi sana
View attachment 3073905
Kahamishwa tu au anatakiwa afukuzwe kazi na kupelekwa mahakamani kwa kusema uongo?Mdomo umemponza..
ni heri angesema "bado uchunguzi unaendelea", kama wafanyavyo wengine..
ngoja arudi makao akasome magaazeti sasa.
Ni majitu ya hovyo snNi majambazi wanaovaa uniform
Uwajibikaji umefanyika,alitumia vibaya dhamana ya mamlaka yake,hivyo tumpongeze IGP kwa maamuzi yake haya ya haraka na yenye weledi.Amebadilishwa kazi tu lakini bado ni Polisi!
Ndiyo maana wana ushirika mkubwa na CCM.Ni majitu ya hovyo sn
Huna akili, Malya ni wa-Old Moshi acha kukaririMrombo mwenzio huyo 😀
We ni mtu wa ajabu, kwako kisa ni kabila lako hata akiua asiguswe!? Elimika.
Pia ni washirikinaNdiyo maana wana ushirika mkubwa na CCM.
Huyo kaamka na pombe kichwani hapo bado anaona mawingu mawingu tu kichwaniHuna akili, Malya ni wa-Old Moshi acha kukariri
Ndiyo imeisha hivyo kesho utakuta ni mkuu wa usalama barabaraniKahamishwa tu au anatakiwa afukuzwe kazi na kupelekwa mahakamani kwa kusema uongo?
😂😂😂😂Huna akili, Malya ni wa-Old Moshi acha kukariri
Mdomo umemponza..
ni heri angesema "bado uchunguzi unaendelea", kama wafanyavyo wengine..
ngoja arudi makao akasome magaazeti sasa.
Lakini imemuuma hio.Ameondolewa madaraka tu, lakini rank yake inabaki palepale, zile bahasha za URPC ndio basi tena.
Makao makuu ni kusoma magazeti tu hakuna wa kukuletea rushwa.
Na ukishajijua kuongea sio kipaji chako, ni bora ukakaa kimya tu. Ona sasa mdomo umemponza!!!ukiwa kiongozi Unapaswa uwe mjanja mjanja sana mwenye kujibu maswali
Jinga kweliGood
Tangu Prof Kabudi arejeshwe Barazani Imani yangu Kwa Rais Dr Samia imekuwa ni ya kutukuka 😀😀🌹