Kilwa94
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 2,676
- 3,046
Polisi tangazeni kushindwa kutekeleza sheria ili akina Mkomavu waingie kati nawao waonje uchungu wa kulaumiwa,kuchukiwa na kudharauliwa na raia.[emoji1][emoji1]Lolote baya likitokea kwa askari wetu tunaanza na mwenykiti wenu halafu tunafata na watu kama nyie mnaoropoka tu bila kufikiria nini mnaongea watu wanatekeleza majukumu yao nyie mnaleta siasa uchwara zenu na kuchumia matumbo ya watu wachache, acheni kuchezea hii amani iliyopo kuna watu waliumia na kupata shida mpaka sasa tunaitwa kisiwa cha amani.