RPC Kinondoni aliyemwambia Mbowe hachomoki ndiye alimwambia Lema hashindi Arusha

Polisi tangazeni kushindwa kutekeleza sheria ili akina Mkomavu waingie kati nawao waonje uchungu wa kulaumiwa,kuchukiwa na kudharauliwa na raia.[emoji1][emoji1]
 
Polisi tangazeni kushindwa kutekeleza sheria ili akina Mkomavu waingie kati nawao waonje uchungu wa kulaumiwa,kuchukiwa na kudharauliwa na raia.[emoji1][emoji1]
Shida ni wewe kuwafikishia maoni wahusika mi ni mchangiaji tu wala sihusiki huko[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnalia lia sana hao police hawakai mbinguni wana familia zao na ndugu zao tafuteni namna za kuwapa maumivu na wao
Utajikuta unaua dada ako au mama yako mdogo,hapo ndio utajidharau sasa.

Polisi sio malaika,ni miongoni mwetu,wameona ndugu zetu na wameolewa na ndugu zetu pia.

Umuumize shangazi yako kisa ubunge wa mbowe,unatumia kiatu kufikiri ndugu.
 
Polisi tangazeni kushindwa kutekeleza sheria ili akina Mkomavu waingie kati nawao waonje uchungu wa kulaumiwa,kuchukiwa na kudharauliwa na raia.[emoji1][emoji1]
Hao ndio hakuna kitu kabisa.

Maana hata wakipewa kazi ndogo tu lawama huwa hazilali masaa 24.
 
Mtanzania yeyote timamu na mwenye uelewa mzuri,lazima apiganie katiba mpya kutokana na "utopolo" kama huu.
Ni kupiga marufuku tu....

Kama mtu amefikia cheo cha middle to senior kwenye vyombo vya dola, itakuwa marufuku kupewa uongozi kwenye vyama vya siasa. Mtu achague, service to the country or service to the party. Nyambaf
 
Utajikuta unaua dada ako au mama yako mdogo,hapo ndio utajidharau sasa.

Polisi sio malaika,ni miongoni mwetu,wameona ndugu zetu na wameolewa na ndugu zetu pia.

Umuumize shangazi yako kisa ubunge wa mbowe,unatumia kiatu kufikiri ndugu.
Wewe ndiyo unatumia masaburi kufikiria huyo Mbowe anayeumia hana shangazi, wajomba, kaka, Dada, watoto?? Hivi unajua ndugu wanavyopata maumivu kwa ajili ya hayo anavyofanyiwa ndugu yao?? Na ndiyo maumivu hayo hayo Inatakiwa wapate familia za hao police
 
Polisi tangazeni kushindwa kutekeleza sheria ili akina Mkomavu waingie kati nawao waonje uchungu wa kulaumiwa,kuchukiwa na kudharauliwa na raia.[emoji1][emoji1]
Kwamba shangazi yangu aumie kule Rombo, Dada aumie kule Arusha, mke aumie kule mwanza kisa kuwapigania CCM??
 
Ajira ya mbowe sio siasa.
 
nyimbo nzuri iliyoanza kuimbwa kwa mbwembwe ikiwa na kibwagizo cha "mama anaupiga mwingi"

hata haijafika katikati imeshabadilika

kunani??????
 
Yule kazoea kurembua n kula urojo hawezi kuongoza hata familia yake,tutaona mengi sana awamu hii iliyojaa walewale wauaji,watekaji,mafisadi,wezi...kwa ccm hawana jipya wao ni kutumia policeccm kujilinda
 
Polisi watz sio tatizo hata kidogo, tatizo ni NIRA waliyofungwa shingoni na wachawi mfano kama ngo'mbe wa maskai anavyolimishwa shamba hata kama hataki atalima kwa lazima. Muwaombe lkn sikuambii umwaombe nini au kitu gani au vp?
 
Njia iliyobaki kwa ccm kuwatumia hao alafu mshahara haupandi
 
Msemwa peke hana haki,ref; zako ni John Mrema na Lema ingependeza km ungetafuta na upande wa pili uwaulize walau na wao waelezee upande wao na wew utajitofautisha na wale waandish wa bahasha ya kaki.
 
Ngoja RPC amuambie hauchomoki na kwenye kesi ya ugaidi....inaonekana ana kipaji cha "kutabiri" yajayo
 
Utasikia kawa igp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…