RPC Muroto atoa onyo kwa BAWACHA, asema wanaotaka kuandamana watakipata wanachokitafuta wakasimulie wenzao huko Geita

Huyu ataondoka tuu muda sio mrefu na mdomo mchafu wake,
 
Japo umeuliza kama kwa kejeli mkuu ila hawa wadada wameonesha ukomavu sana wa kulinda na kuipigania katiba ya nchi. Mimi na wewe tunajiicha nyuma ya keyboard tunajiona wajanja kumbe akili zetu pengine ni robo ya Ndugai.

Amini usiamini kama sio wewe hata mjukuu wako atakuja kuona madhara ya mtu mmoja kuisigina katiba apendavyo tena kwa kejeli na vizazi vijavyo vitatusoma kwenye masomo yao kama matahira tulioshindwa hata kuitetea katiba kuacha mtu au kikundi kuichezea watakavyo.
 
Nilisikia kuwa walishafukuzwa ila wamekata rufaa.Je kukata rufaa huwa inatengua maamuzi ya hukumu au mpaka rufaa iamuliwe?
 
Mnajidanganya ujinga tupu. Walisusa ikatoka. Wasubiri 2025
 
Hebu muoneni huyu kamanda!
...
Mimi naamini ni kweli kuna vilaza wengi serikalini naanza kuamini. toka lini confrence na mabunduki tena kaleta wanawake ni kama vile mkija mtambana na hawa damu itamwagika.

Huyu mzee anaingizwa timing na kusudio lako au katumwa kumchafua Mama. waache waandamane wakifanya fujo chukuwa hatua sio vitisho kabla hata ya maandamano. yeye ndio anachochea fujo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…