RPC Muroto atoa onyo kwa BAWACHA, asema wanaotaka kuandamana watakipata wanachokitafuta wakasimulie wenzao huko Geita

RPC Muroto atoa onyo kwa BAWACHA, asema wanaotaka kuandamana watakipata wanachokitafuta wakasimulie wenzao huko Geita

Huyu ataondoka tuu muda sio mrefu na mdomo mchafu wake,
 
Japo umeuliza kama kwa kejeli mkuu ila hawa wadada wameonesha ukomavu sana wa kulinda na kuipigania katiba ya nchi. Mimi na wewe tunajiicha nyuma ya keyboard tunajiona wajanja kumbe akili zetu pengine ni robo ya Ndugai.

Amini usiamini kama sio wewe hata mjukuu wako atakuja kuona madhara ya mtu mmoja kuisigina katiba apendavyo tena kwa kejeli na vizazi vijavyo vitatusoma kwenye masomo yao kama matahira tulioshindwa hata kuitetea katiba kuacha mtu au kikundi kuichezea watakavyo.
 
Wakifukuzwa na vikao halali hapo sawa.Baraza kuu Chadema bado halijakaa kuamua hatima yao.Watakapokaa na kuamua kuwafukuza uanachama hapo ndipo watakuwa sio wabunge tena

Wamepeleka shauri lao baraza kuu lao kama katiba inavyotaka ya chama chao.Baraza halijakaa kuamua hivyo bado wao ni wabunge halali
Nilisikia kuwa walishafukuzwa ila wamekata rufaa.Je kukata rufaa huwa inatengua maamuzi ya hukumu au mpaka rufaa iamuliwe?
 
Japo umeuliza kama kwa kejeli mkuu ila hawa wadada wameonesha ukomavu sana wa kulinda na kuipigania katiba ya nchi. Mimi na wewe tunajiicha nyuma ya keyboard tunajiona wajanja kumbe akili zetu pengine ni robo ya Ndugai.

Amini usiamini kama sio wewe hata mjukuu wako atakuja kuona madhara ya mtu mmoja kuisigina katiba apendavyo tena kwa kejeli na vizazi vijavyo vitatusoma kwenye masomo yao kama matahira tulioshindwa hata kuitetea katiba kuacha mtu au kikundi kuichezea watakavyo.
Mnajidanganya ujinga tupu. Walisusa ikatoka. Wasubiri 2025
 
Hebu muoneni huyu kamanda!
...
Mimi naamini ni kweli kuna vilaza wengi serikalini naanza kuamini. toka lini confrence na mabunduki tena kaleta wanawake ni kama vile mkija mtambana na hawa damu itamwagika.

Huyu mzee anaingizwa timing na kusudio lako au katumwa kumchafua Mama. waache waandamane wakifanya fujo chukuwa hatua sio vitisho kabla hata ya maandamano. yeye ndio anachochea fujo.
 
Back
Top Bottom