RPC Muroto atoa onyo kwa BAWACHA, asema wanaotaka kuandamana watakipata wanachokitafuta wakasimulie wenzao huko Geita

Sorro aliwahi muonya huyu Muroto na hasa matumizi ya Jango kwenye press conference badala ya staff dressing
 
Maisha yanaenda kasi yaani Halima leo analindwa na polisi wakati alikua kamanda wa kupambana nao!!
 
Kamanda yupo tayari kuwapa Bawacha chanjo ya korona 🤣🤣🤣

This dude is a trip!o
Kamanda yupo tayari kuwapa Bawacha chanjo ya korona 🤣🤣🤣

This dude is a trip!
Cha kujiuluza, hivi hata hiyo chanjo hao mapolisi wameisha pewa? Au wao ndio watakuwa chanzo cha usambazaji? Watavaa barakoa pia au wateenda midomo pua wazi peku peku?
 
Andha kanoon
Law is blind

It can cheat you anywhere

It can punish anyone

It doesn't stand on the side of the weak

It's the companion of the robbers

It belongs to words and arguments

It's a game of lawyers

It doesn't give justice

It doesn't forgive anyone

It can commit any number of murders

Law is blind

If people were scared of it

Then criminals wouldn't commit crime

The robbers have stolen the money

They gave a bribe and were released

Purity has been stolen, bullets have been fired

He didn't even open his eyes

Illegal business kept on happening

But he was sleeping on the chair

Of the building of the world

It's a weak foundation

Law is blind

His hands are long

Strength is with him

But he's not able to see

He writes without even looking

So many people are rotting in jail

The innocent are getting hanged

So many people are rotting in jail

The innocent are getting hanged

Even I've been troubled by him

I'm mad, I'm a vagabond

Friends, I've lost my senses

There's passion in my head​
 
Gilles Muroto amesema "Asiyefunzwa na mama yake atafunzwa na kamanda wa polisi dodoma"

Huyu mzee eti kuna watu wanampigia chapuo awe IGP!!

Kuna sehemu tumekosea sana sisi kama nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…