johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Kamanda mbwakachoka!Sijawahi kuona busara zako humu JF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamanda mbwakachoka!Sijawahi kuona busara zako humu JF
Hivi alistaafu au alistaafishwa?Hata comrade Polepole kabla hajastaafu press yake ya mwisho alikuwa amezungukwa na walinzi wa kike!
Hujui unacho ongea weweAkili ndogo nguvu kubwa, labda haya makosa yameanzia kwa wakufunzi wao.
Amitabh Bachchan Hakubaliani na wewe....
Kamanda yupo tayari kuwapa Bawacha chanjo ya korona 🤣🤣🤣
This dude is a trip!o
Cha kujiuluza, hivi hata hiyo chanjo hao mapolisi wameisha pewa? Au wao ndio watakuwa chanzo cha usambazaji? Watavaa barakoa pia au wateenda midomo pua wazi peku peku?Kamanda yupo tayari kuwapa Bawacha chanjo ya korona 🤣🤣🤣
This dude is a trip!
Andha kanoon
Hapana ina maana kama jamaa alivyosema legally ila ki-uhalisia ni kwamba hakuna hakiNadhani Andha kanoon maana yake ni
'Hakuna Haki' Kiswahili