RPC Muroto atoa onyo kwa BAWACHA, asema wanaotaka kuandamana watakipata wanachokitafuta wakasimulie wenzao huko Geita

Kwani RPC anakuwa na walinzi binafsi wangapi, au ameona kuwa flanked na makamanda wa kike inampa sana credit....
 
Huyu Kamanda, mbona kauli zake huwa zimekaa kiuropokaji ropokaji? Wanaomfahamu, huyu bwana yupo sawasawa?
 
Ushauri tu mama zangu na dada zangu acheni kuandamana mnafamilia nyumbani..Msiwajaribu polisi tumieni viongozi wenu kuwakilisha hoja zenu..Ukipata ulemavu ni wewe na familia yako...
 
Haka ka utaratibu ka mabodigadi wa kike kana maana gani?
 
Mwambie aaache kujipendekeza wala hatapewa kuwa IGP, sura kama samaki aliyeungua jikoni

 
Kwa hiyo kamanda anawatisha wanaodai haki zao badala ya kushughulikia waliozipora? Je anajisifia alivyofanya mauaji kwa kushirikiana na chama kile hata kumuua Mawazo RIP na hakuna aliyewajibishwa au anamaanisha lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…