RPC Muroto atoa onyo kwa BAWACHA, asema wanaotaka kuandamana watakipata wanachokitafuta wakasimulie wenzao huko Geita

Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma amesema ofisi yake haina taarifa rasmi za maandamano ya bawacha hivyo atakayeandamana atakutana na mkino wa dola.

Kamanda Muroto amewataka akina mama hao waliopanga kuandamana waje na computer na madaftari ya kuchukulia notisi ili waandike kile watakachokutana nacho kisha wakawafundishe na wenzao wa huko Geita ili liwe somo la keheshimu sheria na taratibu zake.

Source ITV habari

My take; Kwa kuwa Bawacha hawajaanza Safari ni busara wakahairisha kama Simba na Yanga!
Huyo Muroto naona akili zake ziko mikonini, anafikiri kupiga watu tu
 
Hebu muoneni huyu kamanda!

Anawaonya Bawacha kuhusu maandamano yao huku akiwa flanked na mapolisi wanawake waliovalia mavazi maalumu [ambayo nahisi ni ya kupambana na ghasia] huku wameshikilia mabunduki na wakiwa wamenuna!

What the hell is this?

Muroto Hana akili, anadhani mabavu huleta amani kumbe ndio huvunja amani na kuleta chuki mbaya. Ajifunze kwanini mwendazake alipoenda watu walifurahi Sana?
 
Hebu muoneni huyu kamanda!

Anawaonya Bawacha kuhusu maandamano yao huku akiwa flanked na mapolisi wanawake waliovalia mavazi maalumu [ambayo nahisi ni ya kupambana na ghasia] huku wameshikilia mabunduki na wakiwa wamenuna!

What the hell is this?

Huu ujinga ndio unachafua taswira ya nchi ... ni maigizo ya darasa la saba haya
 
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma amesema ofisi yake haina taarifa rasmi za maandamano ya bawacha hivyo atakayeandamana atakutana na mkino wa dola.

Kamanda Muroto amewataka akina mama hao waliopanga kuandamana waje na computer na madaftari ya kuchukulia notisi ili waandike kile watakachokutana nacho kisha wakawafundishe na wenzao wa huko Geita ili liwe somo la keheshimu sheria na taratibu zake.

Source ITV habari

My take; Kwa kuwa Bawacha hawajaanza Safari ni busara wakahairisha kama Simba na Yanga!
Sijawahi kuona busara zako humu JF
 
Back
Top Bottom