Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Samia yeye ni nani kwenye dini ya uislamu hadi iwe ukimpinga iwe unauchukia uislamu na waislamu kuonekana sio waislamu kisa Samia?Uislam ni mwema sana, haupo kwa ajili ya kina fulani tu. Ni kwa walimwengu wote na wewe ukiwemo.
Huqezi kuutenganisha Uislqm kwenye maisha yako ya kila siku. Ukijitenga na Uislam umejitenga na maisha mema.
Unafamu maana ya neno "Uislam"?
Kwani nani alikwambia usimpinge Sania?Sasa Samia yeye ni nani kwenye dini ya uislamu hadi iwe ukimpinga iwe unauchukia uislamu na waislamu kuonekana sio waislamu kisa Samia?
Hii imeenda 🤣🤣🤣 hii imeenda1. R- Rushwa (wizi, upigaji, kulamba asali)
2. R- Retailing (kuuza vitu vya nchi)
3. R- Recycling (kurudisha watu wa zamani, kurudisha madudu ya zamani)
4. R- Roaming (kusafirisafiri, kuzururazurura)
Zitto kabwe asingeitwa mdini kama wewe kama issue ni chama cha upinzani tu.Kwani nani alikwambia usimpinge Sania?
Upo Tanzania? Kuna vyama zaidi ya 20 vya upinzani. Upinzani ni nini?
Au tec ni chama cha siasa?
Kanawe ulaleBila Uislam hakuna siasa bora wala maisha bora.
Hizo 4R utadhani kagundua yeye, kumbe kitu kipo kitambo sana.RRRR za falsafa ya mama Samia ina manufaa makubwa sana, tena sana kwa kila Mtanzania na kwa Tanzania kwa ujumla.
R hizi 4 za mama Samia zina fursa kubwa sana ndani yake, kwetu sote. Nawaasa Watanzania tusikurupuke na tusibaki kutawaliwa kimazowea na wala tusiwe na fikra za mama Samia kuwa anatawala kama tulivyozowea.
Mama Samia amekwenda mbali sana, tena ya mazowea na upeo wa kawaida. Katuleta fursa za ajabu kwenye falsafa yake ya RRRR. Natumai wote tutachukuwa muda tuisome na tuielewe, tujielimishe ili tuzitumie fursa zinakuja na hizi RRRR.
Namshauri sana Waziri wa Habari na Wasemaji wote wa Serikali, kila mmoja kwa nafasi yake aielezee na kuifundisha falsafa kimaelezo na kivitendo. Na hili ni kwa mawaziri wake wote na watendaji waliomuelewa, waielezee na waifanyie kazi kwa vitendo ili Watanzania tuzione na kuzijuwa fursa ziliopo.
Nawaasa wale mawaziri na watendaji wakuu wa serikali ambao hawajamuelewa, wakiendelea kmazowea na kutoielewa hii falsafa ni heri wajiondoe wenyewe, la sivyo watashushwa njiani.
Nahisi, Hussein Bashe, kaielewa sana hii falsafa na anafanya kweli Reforms, kisasa. Upande mwingine, naona Kitila nae ameanza kumuelewaa. Sina shaka kabisa na Mchechu kuwa amemuelewa mama vilivyo na analidhihirisha hilo kinaga ubaga.
Watu ambao nawaona bado hawajamuelewa ni pamoja na Kassim Majaliwa na Makamo wa Rais. Nawwaona bado wanataka kuendelea kimazowea.
R ya kwanza ni Reconciliation, unaweza kutafsiri kama kupatanisha au mapatano lakini kiuhakika, falsafa hii ipo ndani ya Qur'an na inakwenda deeeper sana. Nawashauri wote, wapitoe aya zo zinazohusina na "reconciliation" ili waipate vyema.
Wengi wetu, hata mimi mwanzoni nilidhani inaishia juu ya meza na kupeana mikono na chadema. Nikaona mbona ipo "too shallow", lakini nilipoingia na kuanza kuichimba na kuichambuwa dhanna nzima kwa undani, nikaiona yenyewe tu, bila zile R nyingine mtu anaweza kuandika thesisis kumi au zaidi za PhD na zote zikapita with "flying colors".
Kwa kuwa dhanna hii moja ni bdefu sana tena, ntakuwa nikiitowa vipande vipande vyake kidogokidogo wakati uzi unaendelea.
Vijana zitumieni fursa, kuna watu watajaribu kuzibania kimazowea, msikubali, sasa hakuna mazowea. Pia nawashauri vijana ambao hawazioni fursa, waulize tuwaoneshe zilipo.
Ahsante sana mama Samia. You are the best.
Zipo kitambo sana tena sana, hata ukitak ziwe 5 au kumi, haziishi.Hizo 4R utadhani kagundua yeye, kumbe kitu kipo kitambo sana.
Udini wako haufaidishi dini ya uislamu, acha kuchanganya siasa zako za ccm na dini ya uislamu.Bila Uislam hakuna siasa bora wala maisha bora.
Mara kumi yule alikuwa ana misimamo na ilieleweka hata kama hakuwa sahihi ila mnajua mna Rais kuliko huyu ambaye hatuna uhakika kama anafanya yeye maamuzi, ndio maana ananyamaza hata kwenye masuala muhimu.Yule marehemu alikua anajiendea tu kama fuso limekata centre bolt watu hamjui kesho ataamka na lipi hana dira rasmi inayomuongoza . Mama kwa falsafa hii ya 4R hii nchi baada ya miaka mitano tutaandika historia.
Misimamo ya kipumbavu bila kutumia akili inasaidia nini? Leo hii huko kwenye mataifa tunapigwa kesi za ajabu ajabu kulipa fidia mamilioni ya dola kwasababu ya mjinga tu ambae ameshindwa kutumia akili yake vizuri. Pumbavu sanaMara kumi yule alikuwa ana misimamo na ilieleweka hata kama hakuwa sahihi ila mnajua mna Rais kuliko huyu ambaye hatuna uhakika kama anafanya yeye maamuzi, ndio maana ananyamaza hata kwenye masuala muhimu.
Sasa huyu Samia ndio anatumia akili? Kiongozi ambaye wenyewe mnakiri anashauriwa vibaya na yeye anakubali tunaishia kuwalaumu washauri, hatujui kesho atashauriwa nini.Misimamo ya kipumbavu bila kutumia akili inasaidia nini? Leo hii huko kwenye mataifa tunapigwa kesi za ajabu ajabu kulipa fidia mamilioni ya dola kwasababu ya mjinga tu ambae ameshindwa kutumia akili yake vizuri. Pumbavu sana
Wenyewe nani wanakiri? Samia ni Kiongozi bora sana kuwahi kupatikana Tanzania hii.Sasa huyu Samia ndio anatumia akili? Kiongozi ambaye wenyewe mnakiri anashauriwa vibaya na yeye anakubali tunaishia kuwalaumu washauri, hatujui kesho atashauriwa nini.
Si nyie wenyewe ndio mkiona Rais wenu katoa boko mnasema kashauriwa vibaya. Mimi sishangai wewe kumuona Samia kuwa ni kiongozi bora kuwahi kutokea Tanzania maana watu kama nyie lazima mumuone Samia ni bora kwenu.Wenyewe nani wanakiri? Samia ni Kiongozi bora sana kuwahi kupatikana Tanzania hii.
Sawa wewe endelea kumchukia acha sisi tumpende hata hivyo hawezi kupendwa na wote yeye siyo pesa.Si nyie wenyewe ndio mkiona Rais wenu katoa boko mnasema kashauriwa vibaya. Mimi sishangai wewe kumuona Samia kuwa ni kiongozi bora kuwahi kutokea Tanzania maana watu kama nyie lazima mumuone Samia ni bora kwenu.
Simchukii sina jambo binafsi lenye kufanya nimchukie mama wa watu. Halafu kupenda au kuchukia hizo ni hisia ambayo sio point ya msingi hapa maana kuna mwengine anaweza akampenda kisa tu anavyovaa ushungi anapendeza hivyo anampenda basi.Sawa wewe endelea kumchukia acha sisi tumpende hata hivyo hawezi kupendwa na wote yeye siyo pesa.
Kuna watu hata wakienda nchi zenye mwanga mkubwa bado wanabaki katika giza na mawazo yao ya kijima, huyu ni mmojawapo kama kweli alifika na kuishi huko.Wewe bibi kizee nakushangaa sana, Umejawa na Udini Mkubwa sana Ambapo kiasi kwamba Hoja zako ni hazina mashiko, huwa nashangaa Nikisikia Wewe ni Telecom Expert na Umeishi abroad for years, Nashangaa sana Ulifikaje uko wakati kichwa chako umeamua kufugia tu nywele, Very pathetic
🤣 Imeenda kabisaHii imeenda 🤣🤣🤣 hii imeenda