Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukupitia uzi vizuri utakuta post zinaelezea kidogo kidogo katika kujibu maswali.Mbona hujamalizia!?
Mkuu naomba nikiri kwamba sijayasoma hayo mambo ya RRRR; naomba msaada ili nipate kujadili. kwa ufupi nauliza, nitayapata wapi? Au unataka nijadili hili la Reconcilliation bila kujua hayo mengine?Zawadini yako huku Yale mambo yetu.
R mojawapo hapa yapatikana kwenye aya kadha wa kadha kwenye msahahafu.
Karibu tuendelee na kunoa bongo na kuchangamkia fursa za mama ...
Mkuu naomba nikiri kwamba sijayasoma hayo mambo ya RRRR; naomba msaada ili nipate kujadili. kwa ufupi nauliza, nitayapata wapi? Au unataka nijadili hili la Reconcilliation bila kujua hayo mengine?
Naomba ushauri na majibu.
Bado Niko najipanga kubadili dini nilikuambia natak kusilimu ingawa swal liligonga mwambaSilimu nikupe toto la Kiislam, hakuna Muislam aliyekuwa poyoyo. Believe you me.
Kwani wewe ndo uliemtungia izo 4 R?? Mbona unajipa kazi ambayo watu wake wa karibu hawaelewi??RRRR za falsafa ya mama Samia ina manufaa makubwa sana, tena sana kwa kila Mtanzania na kwa Tanzania kwa ujumla.
R hizi 4 za mama Samia zina fursa kubwa sana ndani yake, kwetu sote. Nawaasa Watanzania tusikurupuke na tusibaki kutawaliwa kimazowea na wala tusiwe na fikra za mama Samia kuwa anatawala kama tulivyozowea.
Mama Samia amekwenda mbali sana, tena ya mazowea na upeo wa kawaida. Katuleta fursa za ajabu kwenye falsafa yake ya RRRR. Natumai wote tutachukuwa muda tuisome na tuielewe, tujielimishe ili tuzitumie fursa zinakuja na hizi RRRR.
Namshauri sana Waziri wa Habari na Wasemaji wote wa Serikali, kila mmoja kwa nafasi yake aielezee na kuifundisha falsafa kimaelezo na kivitendo. Na hili ni kwa mawaziri wake wote na watendaji waliomuelewa, waielezee na waifanyie kazi kwa vitendo ili Watanzania tuzione na kuzijuwa fursa ziliopo.
Nawaasa wale mawaziri na watendaji wakuu wa serikali ambao hawajamuelewa, wakiendelea kmazowea na kutoielewa hii falsafa ni heri wajiondoe wenyewe, la sivyo watashushwa njiani.
Nahisi, Hussein Bashe, kaielewa sana hii falsafa na anafanya kweli Reforms, kisasa. Upande mwingine, naona Kitila nae ameanza kumuelewaa. Sina shaka kabisa na Mchechu kuwa amemuelewa mama vilivyo na analidhihirisha hilo kinaga ubaga.
Watu ambao nawaona bado hawajamuelewa ni pamoja na Kassim Majaliwa na Makamo wa Rais. Nawwaona bado wanataka kuendelea kimazowea.
R ya kwanza ni Reconciliation, unaweza kutafsiri kama kupatanisha au mapatano lakini kiuhakika, falsafa hii ipo ndani ya Qur'an na inakwenda deeeper sana. Nawashauri wote, wapitoe aya zo zinazohusina na "reconciliation" ili waipate vyema.
Wengi wetu, hata mimi mwanzoni nilidhani inaishia juu ya meza na kupeana mikono na chadema. Nikaona mbona ipo "too shallow", lakini nilipoingia na kuanza kuichimba na kuichambuwa dhanna nzima kwa undani, nikaiona yenyewe tu, bila zile R nyingine mtu anaweza kuandika thesisis kumi au zaidi za PhD na zote zikapita with "flying colors".
Kwa kuwa dhanna hii moja ni bdefu sana tena, ntakuwa nikiitowa vipande vipande vyake kidogokidogo wakati uzi unaendelea.
Vijana zitumieni fursa, kuna watu watajaribu kuzibania kimazowea, msikubali, sasa hakuna mazowea. Pia nawashauri vijana ambao hawazioni fursa, waulize tuwaoneshe zilipo.
Ahsante sana mama Samia. You are the best.
Mtu ukiona hatari kuubwa ukaisapoti sababu ya udini wewe ni kafiri tuuNamkubali Mama kwenye maeneo mengi sana,isipokuwa kwenye vipengele vya mkataba wa DPW.
Pia kuna watu wake wa karibu awaangalie kwa jicho la tatu.
Wewe FaizaFoxy ukitoa (udini)ni hazina kubwa sana kwa kizazi hiki.
Blah blah, kwisha kabisa. Uislamu ni HAKI na KWELI. Mengine yooote ni BAHASHA zinaongea. Mkataba mbovu ufutwe. Kama Samia nia yake njema na raslimali za Tanganyika. AFUTE LIMKATABA LIBOVU. Bahari hazikauki na ni urithi pia wa vizazi vijavyo. Vizazi vya Kiislam na Kikristo. Vinginevyo :RRRR za falsafa ya mama Samia ina manufaa makubwa sana, tena sana kwa kila Mtanzania na kwa Tanzania kwa ujumla.
R hizi 4 za mama Samia zina fursa kubwa sana ndani yake, kwetu sote. Nawaasa Watanzania tusikurupuke na tusibaki kutawaliwa kimazowea na wala tusiwe na fikra za mama Samia kuwa anatawala kama tulivyozowea.
Mama Samia amekwenda mbali sana, tena ya mazowea na upeo wa kawaida. Katuleta fursa za ajabu kwenye falsafa yake ya RRRR. Natumai wote tutachukuwa muda tuisome na tuielewe, tujielimishe ili tuzitumie fursa zinakuja na hizi RRRR.
Namshauri sana Waziri wa Habari na Wasemaji wote wa Serikali, kila mmoja kwa nafasi yake aielezee na kuifundisha falsafa kimaelezo na kivitendo. Na hili ni kwa mawaziri wake wote na watendaji waliomuelewa, waielezee na waifanyie kazi kwa vitendo ili Watanzania tuzione na kuzijuwa fursa ziliopo.
Nawaasa wale mawaziri na watendaji wakuu wa serikali ambao hawajamuelewa, wakiendelea kmazowea na kutoielewa hii falsafa ni heri wajiondoe wenyewe, la sivyo watashushwa njiani.
Nahisi, Hussein Bashe, kaielewa sana hii falsafa na anafanya kweli Reforms, kisasa. Upande mwingine, naona Kitila nae ameanza kumuelewaa. Sina shaka kabisa na Mchechu kuwa amemuelewa mama vilivyo na analidhihirisha hilo kinaga ubaga.
Watu ambao nawaona bado hawajamuelewa ni pamoja na Kassim Majaliwa na Makamo wa Rais. Nawwaona bado wanataka kuendelea kimazowea.
R ya kwanza ni Reconciliation, unaweza kutafsiri kama kupatanisha au mapatano lakini kiuhakika, falsafa hii ipo ndani ya Qur'an na inakwenda deeeper sana. Nawashauri wote, wapitoe aya zo zinazohusina na "reconciliation" ili waipate vyema.
Wengi wetu, hata mimi mwanzoni nilidhani inaishia juu ya meza na kupeana mikono na chadema. Nikaona mbona ipo "too shallow", lakini nilipoingia na kuanza kuichimba na kuichambuwa dhanna nzima kwa undani, nikaiona yenyewe tu, bila zile R nyingine mtu anaweza kuandika thesisis kumi au zaidi za PhD na zote zikapita with "flying colors".
Kwa kuwa dhanna hii moja ni bdefu sana tena, ntakuwa nikiitowa vipande vipande vyake kidogokidogo wakati uzi unaendelea.
Vijana zitumieni fursa, kuna watu watajaribu kuzibania kimazowea, msikubali, sasa hakuna mazowea. Pia nawashauri vijana ambao hawazioni fursa, waulize tuwaoneshe zilipo.
Ahsante sana mama Samia. You are the best.
Umepungwa na pepoKila mwanamke kwangu ni mama. Wewe muite upendavyo ndiyo "reconciliation" hiyo.
Inabidi u "reform" una kifaa mkononi halafu unalalamika lugha, dunia ya leo siyo ya kulalamikia lugha.
Mama juzi kwaambia airtel wahakikishe wanamkopesha Mtanzania yeyote smartphone, kwa mambo ya watu kama wewe mnaoishi kimazowea. Badilika.
Wewe nikikuita mama ni sa sawa tu, "scientifically you are simply a mammalian".
Hayo manyonyo yako ndiyo mama hizo kama ulikuwa huelewi.
Punguani wahed.
Usingoje kuambiwa na mtu, isome Qur'an.Bado Niko najipanga kubadili dini nilikuambia natak kusilimu ingawa swal liligonga mwamba
Anauza loliondo kimya ,hata bandary alifanya kimya kimya ndo akawasha moto huuUmemsikia mama akiongea porojo?
Kimyaaa, tuli kama maji ya mtungini. Anafanya yake tu. Utachekwa.
Unaijuwa BBT?
Kuna uislamu na waislamu, huo udini wako hauna manufaa yeyote kwenye uislamu na ubaya wake ndio huo kuona waislamu wenzio wanauchukia uislamu kisa utofauti wa mitazamo yetu kuhusu Samia na serikali yake.Kwanini ukerwe na Uislam ambao ni mwema sana?
Au ndiyo unachukia kuupenda (Hate to love)?
Uislam ni mwema sana, haupo kwa ajili ya kina fulani tu. Ni kwa walimwengu wote na wewe ukiwemo.Kuna uislamu na waislamu, huo udini wako hauna manufaa yeyote kwenye uislamu na ubaya wake ndio huo kuona waislamu wenzio wanauchukia uislamu kisa utofauti wa mitazamo yetu kuhusu Samia na serikali yake.