RRRR ya Rais Samia Watanzania wengi wanaoishi kimazoea hawatoielewa haraka

Mkuu; naomba nikiri kwamba sijasoma hayo mambo. Naomba msaada.
 
RRRR za falsafa ya mama Samia ina manufaa makubwa sana, tena sana kwa kila Mtanzania na kwa Tanzania kwa ujumla.

R hizi 4 za mama Samia zina fursa kubwa sana ndani yake, kwetu sote. Nawaasa Watanzania tusikurupuke na tusibaki kutawaliwa kimazowea na wala tusiwe na fikra za mama Samia kuwa anatawala kama tulivyozowea.

Mama Samia amekwenda mbali sana, tena ya mazowea na upeo wa kawaida. Katuleta fursa za ajabu kwenye falsafa yake ya RRRR. Natumai wote tutachukuwa muda tuisome na tuielewe, tujielimishe ili tuzitumie fursa zinakuja na hizi RRRR.

Namshauri sana Waziri wa Habari na Wasemaji wote wa Serikali, kila mmoja kwa nafasi yake aielezee na kuifundisha falsafa kimaelezo na kivitendo. Na hili ni kwa mawaziri wake wote na watendaji waliomuelewa, waielezee na waifanyie kazi kwa vitendo ili Watanzania tuzione na kuzijuwa fursa ziliopo.

Nawaasa wale mawaziri na watendaji wakuu wa serikali ambao hawajamuelewa, wakiendelea kmazowea na kutoielewa hii falsafa ni heri wajiondoe wenyewe, la sivyo watashushwa njiani.

Nahisi, Hussein Bashe, kaielewa sana hii falsafa na anafanya kweli Reforms, kisasa. Upande mwingine, naona Kitila nae ameanza kumuelewaa. Sina shaka kabisa na Mchechu kuwa amemuelewa mama vilivyo na analidhihirisha hilo kinaga ubaga.

Watu ambao nawaona bado hawajamuelewa ni pamoja na Kassim Majaliwa na Makamo wa Rais. Nawwaona bado wanataka kuendelea kimazowea.

R ya kwanza ni Reconciliation, unaweza kutafsiri kama kupatanisha au mapatano lakini kiuhakika, falsafa hii ipo ndani ya Qur'an na inakwenda deeeper sana. Nawashauri wote, wapitoe aya zo zinazohusina na "reconciliation" ili waipate vyema.

Wengi wetu, hata mimi mwanzoni nilidhani inaishia juu ya meza na kupeana mikono na chadema. Nikaona mbona ipo "too shallow", lakini nilipoingia na kuanza kuichimba na kuichambuwa dhanna nzima kwa undani, nikaiona yenyewe tu, bila zile R nyingine mtu anaweza kuandika thesisis kumi au zaidi za PhD na zote zikapita with "flying colors".

Kwa kuwa dhanna hii moja ni bdefu sana tena, ntakuwa nikiitowa vipande vipande vyake kidogokidogo wakati uzi unaendelea.

Vijana zitumieni fursa, kuna watu watajaribu kuzibania kimazowea, msikubali, sasa hakuna mazowea. Pia nawashauri vijana ambao hawazioni fursa, waulize tuwaoneshe zilipo.

Ahsante sana mama Samia. You are the best.
Umeandika maneno mengi lakini unazunguka hapo hapo. Rudi darasani tena
 
A
Umeuliza maswali .matatu kwa mkupuo. Kwenye nyanja za elimu huo unaitwa ujinga. Ndivyo mwalimu wako alivyokufundisha? Au Sunday school?

Yachambuwe uulize moja moja, nikujibu, ndiyo kuelimika.
Ahahahahaha! Acha kutumia fallacical argument. Ningekuheshimu sana kama ungeweza kujibu nilichouliza. Kwa majibu yako, nimekudharau na sitahangaika na wewe maana sisumbukagi na wajinga! Kumbuka msemo wangu kwako; "...Usiwe kama mshumaa ambao unawaka huku ukiteketea..."! (Rais Mwinyi 1985 - 2005) Ahahahahaha!!!
 
Boss andika kiswahili tu, naona unakipenda kiingereza, lakini kiingereza hakikutaki kabisa.
Andika wewe hicho Kingereza chako. Andika hivi, Mimi Tindo Lissu na Chama changu sitokuja kushika nyadhifa yeyote ile ya Kuchaguliwa Tanzania hii, Kamwe.

Na usishahau, vilevile, Uzi huu sio uzi wa kupimana Kiingereza. Punguza hasira na Visasi wewe.
 
RRRR za falsafa ya mama Samia ina manufaa makubwa sana, tena sana kwa kila Mtanzania na kwa Tanzania kwa ujumla.

R hizi 4 za mama Samia zina fursa kubwa sana ndani yake, kwetu sote. Nawaasa Watanzania tusikurupuke na tusibaki kutawaliwa kimazowea na wala tusiwe na fikra za mama Samia kuwa anatawala kama tulivyozowea.

Mama Samia amekwenda mbali sana, tena ya mazowea na upeo wa kawaida. Katuleta fursa za ajabu kwenye falsafa yake ya RRRR. Natumai wote tutachukuwa muda tuisome na tuielewe, tujielimishe ili tuzitumie fursa zinakuja na hizi RRRR.

Namshauri sana Waziri wa Habari na Wasemaji wote wa Serikali, kila mmoja kwa nafasi yake aielezee na kuifundisha falsafa kimaelezo na kivitendo. Na hili ni kwa mawaziri wake wote na watendaji waliomuelewa, waielezee na waifanyie kazi kwa vitendo ili Watanzania tuzione na kuzijuwa fursa ziliopo.

Nawaasa wale mawaziri na watendaji wakuu wa serikali ambao hawajamuelewa, wakiendelea kmazowea na kutoielewa hii falsafa ni heri wajiondoe wenyewe, la sivyo watashushwa njiani.

Nahisi, Hussein Bashe, kaielewa sana hii falsafa na anafanya kweli Reforms, kisasa. Upande mwingine, naona Kitila nae ameanza kumuelewaa. Sina shaka kabisa na Mchechu kuwa amemuelewa mama vilivyo na analidhihirisha hilo kinaga ubaga.

Watu ambao nawaona bado hawajamuelewa ni pamoja na Kassim Majaliwa na Makamo wa Rais. Nawwaona bado wanataka kuendelea kimazowea.

R ya kwanza ni Reconciliation, unaweza kutafsiri kama kupatanisha au mapatano lakini kiuhakika, falsafa hii ipo ndani ya Qur'an na inakwenda deeeper sana. Nawashauri wote, wapitoe aya zo zinazohusina na "reconciliation" ili waipate vyema.

Wengi wetu, hata mimi mwanzoni nilidhani inaishia juu ya meza na kupeana mikono na chadema. Nikaona mbona ipo "too shallow", lakini nilipoingia na kuanza kuichimba na kuichambuwa dhanna nzima kwa undani, nikaiona yenyewe tu, bila zile R nyingine mtu anaweza kuandika thesisis kumi au zaidi za PhD na zote zikapita with "flying colors".

Kwa kuwa dhanna hii moja ni bdefu sana tena, ntakuwa nikiitowa vipande vipande vyake kidogokidogo wakati uzi unaendelea.

Vijana zitumieni fursa, kuna watu watajaribu kuzibania kimazowea, msikubali, sasa hakuna mazowea. Pia nawashauri vijana ambao hawazioni fursa, waulize tuwaoneshe zilipo.

Ahsante sana mama Samia. You are the best.

[emoji706][emoji706]
 
Hilo laviongozi usijali, wewe fanya uarafiki nao. Geuza Tatizo kuwa fursa. Resilience.

Wacha kujitia kitanza kuhusu kilimo. Unaujuwa mpango wake? kama hutaki wewe kulima, nenda ukawe fundi? Kama hutaki nenda ukawe dereva, kama hutaki nenda kaowe au kaolewa na wanaotaka kulima, zote ni fursa.

Wacha ujinga kijana. Shirika lipi la umma unataka kazi mimi nifanyie mpango. naahidi hapahapa mbele ya watu wote wanaotusoma hapa.
TRA.
 
Andika wewe hicho Kingereza chako. Andika hivi, Mimi Tindo Lissu na Chama changu sitokuja kushika nyadhifa yeyote ile ya Kuchaguliwa Tanzania hii, Kamwe.

Na usishahau, vilevile, Uzi huu sio uzi wa kupimana Kiingereza. Punguza hasira na Visasi wewe.
Your English is not good, and your Swahili is not even better.
 
Kila mwanamke kwangu ni mama. Wewe muite upendabyo ndiyo "reconciliation" hiyo.

Inabidi u "reform" una kifaa mkononi halafu unalalamika lugha, dunia ya leo siyo ya kulalamikia lugha.

Mama juzi kwaambia airtel wahakikishe wanamkopesha Mtanzania yeyote smartphone, kwa mambo ya watu kama wewe mnaoishi kimazowea. Badilika.

Wewe nikikuita mama ni sa sawa tu, "scientifically you are simply a mammalian".

Hayo manyonyo yako ndiyo mama hizo kama ulikuwa huelewi.

Punguani wahed.
Khahhh
 
Sijasomea chochote ila ni mjasiriamali ninayejitambua.
Hakuna asiyekuwa na akili za kuzaliwa.

Mbona umeweka maneno yako kwenye post yangu? Itumie akili yako vizuri, karekebishe ulipoharibu (Reform).
 
Mtahangaika sana, lakini hamfiki popote. Yeye mwenyewe hajui ni kitu gani. Ulishasikia akiifafanua kwa wananchi kwa lugha rahisi waielewe?

Wewe hapo mwenyewe upo hapa unajifunza ili kupoteza lengo kwa yale yaliyoshindikana kuhusu Bandari.

Hao unaosema wameielewa, unasahau kuwataja watu muhimu, kama akina Kitenge, Msukuma na wengine wa aina hiyo.

Msitupotezee wakati. Fungeni vilago mwondoke zenu.
Tanzania Haiuzwi.
Hakuna mwenye misuli wala ubavu wa kuiuza nchi hii. = Mama Samia.
 
Kiongozi kudhaniwa tu ni mla Rushwa kunashusha heshima yake mbele ya jamii katika maisha yake yote.

Inabaki kujikaza tu na kukaa kimya.

"Watu wakikuangalia machoni waone kabisa hakuna dalili ya Rushwa"
Mwalimu J.K.Nyerere.
 
Hilo linatokana na tatizo la Watanzania la miaka mingi. Ujinga.

Dhanna ni haramu.
 
Kila mwanamke kwangu ni mama. Wewe muite upendavyo ndiyo "reconciliation" hiyo.

Inabidi u "reform" una kifaa mkononi halafu unalalamika lugha, dunia ya leo siyo ya kulalamikia lugha.

Mama juzi kwaambia airtel wahakikishe wanamkopesha Mtanzania yeyote smartphone, kwa mambo ya watu kama wewe mnaoishi kimazowea. Badilika.

Wewe nikikuita mama ni sa sawa tu, "scientifically you are simply a mammalian".

Hayo manyonyo yako ndiyo mama hizo kama ulikuwa huelewi.

Punguani wahed.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu mkikutana lazima akugonge na baiskeli yake!
 
R- Rushwa
R- Retailing
R- Recycling
R- Roaming
Hilo lako ni tatizo kubwa sana la Watanzania na Waafrika kwa ujumla, nilishawahi kuandika kuhusu hayo, jisome:

RRRR za falsafa ya mama Samia ina manufaa makubwa sana, tena sana kwa kila Mtanzania na kwa Tanzania kwa ujumla.

R hizi 4 za mama Samia zina fursa kubwa sana ndani yake, kwetu sote. Nawaasa Watanzania tusikurupuke na tusibaki kutawaliwa kimazowea na wala tusiwe na fikra za mama Samia kuwa anatawala kama tulivyozowea.

Mama Samia amekwenda mbali sana, tena ya mazowea na upeo wa kawaida. Katuleta fursa za ajabu kwenye falsafa yake ya RRRR. Natumai wote tutachukuwa muda tuisome na tuielewe, tujielimishe ili tuzitumie fursa zinakuja na hizi RRRR.

Namshauri sana Waziri wa Habari na Wasemaji wote wa Serikali, kila mmoja kwa nafasi yake aielezee na kuifundisha falsafa kimaelezo na kivitendo. Na hili ni kwa mawaziri wake wote na watendaji waliomuelewa, waielezee na waifanyie kazi kwa vitendo ili Watanzania tuzione na kuzijuwa fursa ziliopo.

Nawaasa wale mawaziri na watendaji wakuu wa serikali ambao hawajamuelewa, wakiendelea kmazowea na kutoielewa hii falsafa ni heri wajiondoe wenyewe, la sivyo watashushwa njiani.

Nahisi, Hussein Bashe, kaielewa sana hii falsafa na anafanya kweli Reforms, kisasa. Upande mwingine, naona Kitila nae ameanza kumuelewaa. Sina shaka kabisa na Mchechu kuwa amemuelewa mama vilivyo na analidhihirisha hilo kinaga ubaga.

Watu ambao nawaona bado hawajamuelewa ni pamoja na Kassim Majaliwa na Makamo wa Rais. Nawwaona bado wanataka kuendelea kimazowea.

R ya kwanza ni Reconciliation, unaweza kutafsiri kama kupatanisha au mapatano lakini kiuhakika, falsafa hii ipo ndani ya Qur'an na inakwenda deeeper sana. Nawashauri wote, wapitoe aya zo zinazohusina na "reconciliation" ili waipate vyema.

Wengi wetu, hata mimi mwanzoni nilidhani inaishia juu ya meza na kupeana mikono na chadema. Nikaona mbona ipo "too shallow", lakini nilipoingia na kuanza kuichimba na kuichambuwa dhanna nzima kwa undani, nikaiona yenyewe tu, bila zile R nyingine mtu anaweza kuandika thesisis kumi au zaidi za PhD na zote zikapita with "flying colors".

Kwa kuwa dhanna hii moja ni bdefu sana tena, ntakuwa nikiitowa vipande vipande vyake kidogokidogo wakati uzi unaendelea.

Vijana zitumieni fursa, kuna watu watajaribu kuzibania kimazowea, msikubali, sasa hakuna mazowea. Pia nawashauri vijana ambao hawazioni fursa, waulize tuwaoneshe zilipo.

Ahsante sana mama Samia. You are the best.
Mbona hujamalizia!?
 
Back
Top Bottom