Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Leo tunaenda kufanya kitu ambacho jamhuri ya kidemokrasia ya mpira itashangaa
Nakubali mkuuNguvu moja, siri ni moja tu; kwanza kukaba kwa nguvu zote kwa discipline, then kutumia nafasi chache watakazopata kufunga magoli.
Nguvu mojaMnyama mkali Simba sc tafuna hao RS Berkane.
SIMBA NGUVU MOJA
SIMBA BINGWA CAFCC 2021/2022
Kaangalie bahasha zenu zinavyofanya kazi kule kwa Mkapa, utopolo mnanunua ubingwaLeo mpaka saa sita niko macho kudadek! Lazima niwaangalie Thimba guvu moya.
Nasimama na GENTAMYCINE kuiombea Simba kichapo kikali ili ajifunze kuwa mpoleLeo majira ya saa 4:00 Usiku, RS Berkane watakuwa wanawakaribisha Simba Sc katika mchezo wa tatu wa CAF Confederation Cup katika dimba la Stade Municipal de Berkane, nchini Morocco.
Katika mchezo huu, Simba itawakosa Jonas Mkude, Mugalu na Israel Mwenda kutokana na sababu mbalimbali.
Ikumbukwe, Simba wataingia katika mchezo huo wakiwa na alama 4 huku Berkane wakiwa na alama 3 katika Kundi D.
Mchezo utakuwa mubashara kupitia AzamTv pamoja na Dstv.
Updates zote utazipata hapa, Simba...Nguvu Moja
Mpaka kesho msimamo wa kundi utakuwa umeshabadilika.Leo majira ya saa 4:00 Usiku, RS Berkane watakuwa wanawakaribisha Simba Sc katika mchezo wa tatu wa CAF Confederation Cup katika dimba la Stade Municipal de Berkane, nchini Morocco.