RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Leo majira ya saa 4:00 Usiku, RS Berkane watakuwa wanawakaribisha Simba Sc katika mchezo wa tatu wa CAF Confederation Cup katika dimba la Stade Municipal de Berkane, nchini Morocco.

Katika mchezo huu, Simba itawakosa Jonas Mkude, Mugalu na Israel Mwenda kutokana na sababu mbalimbali.

Ikumbukwe, Simba wataingia katika mchezo huo wakiwa na alama 4 huku Berkane wakiwa na alama 3 katika Kundi D.

Mchezo utakuwa mubashara kupitia AzamTv pamoja na Dstv.

Updates zote utazipata hapa, Simba...Nguvu Moja
 
Naona utopolo wamevamia uzi wameshamaliza kumhonga kipa wa Kagera
 
Leo majira ya saa 4:00 Usiku, RS Berkane watakuwa wanawakaribisha Simba Sc katika mchezo wa tatu wa CAF Confederation Cup katika dimba la Stade Municipal de Berkane, nchini Morocco.

Katika mchezo huu, Simba itawakosa Jonas Mkude, Mugalu na Israel Mwenda kutokana na sababu mbalimbali.

Ikumbukwe, Simba wataingia katika mchezo huo wakiwa na alama 4 huku Berkane wakiwa na alama 3 katika Kundi D.

Mchezo utakuwa mubashara kupitia AzamTv pamoja na Dstv.

Updates zote utazipata hapa, Simba...Nguvu Moja
Nasimama na GENTAMYCINE kuiombea Simba kichapo kikali ili ajifunze kuwa mpole
 
Leo majira ya saa 4:00 Usiku, RS Berkane watakuwa wanawakaribisha Simba Sc katika mchezo wa tatu wa CAF Confederation Cup katika dimba la Stade Municipal de Berkane, nchini Morocco.

Katika mchezo huu, Simba itawakosa Jonas Mkude, Mugalu na Israel Mwenda kutokana na sababu mbalimbali.

Ikumbukwe, Simba wataingia katika mchezo huo wakiwa na alama 4 huku Berkane wakiwa na alama 3 katika Kundi D.

Mchezo utakuwa mubashara kupitia AzamTv pamoja na Dstv.

Updates zote utazipata hapa, Simba...Nguvu Moja
Mpaka kesho msimamo wa kundi utakuwa umeshabadilika.
 
Back
Top Bottom