ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
DuuhDkk 90, Gendermarie 2 - 0 Asec Mimosas.
Naona Asec wameukubali muziki wa "watoto" wa Niger.
Dkk 90 + 5 USGN 2 - 0 Asec FT.
Kweli kabisaHao wamezoea kununua, wakikutana na timu wasiyowajua viongozi wake lazima wafungwe
Wamezoea kununua hao wanatuharibia mpira wetu Tz.Utopolo walisema USG ni vibonde wa kundi kisa wametoa draw na simba. Hakika utopolo ni utopolo.
Formation gan??
Simba anaenda na 4-1-2-1-2Formation gan??