Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kweli mdudu, nchi hii toka uhuru, kuna chama chochote kinachoongoza kwa ufisadi kama CCM? Hakuna awamu hata moja ambayo haikuwa na kashfa ya ufisadi.safi kabsa upinzani ufutwe nchii hii hauna faida zaidi ya kupinga maendeleo ya nchi
Tusubiri uchaguzi mkuu ndiyo tulianzisheKwa mtazamo wangu watendaji wote walioshiriki hujuma hii hawapaswi kuiona kesho au keshokutwa.wapinzani mnahofia nini? Kama kupoteza mshapoteza.
Wapinzani wanatoa wapi mamlaka ya kupinga maendeleo? Wamekwamisha miradi mingapi hadi sasa?safi kabsa upinzani ufutwe nchii hii hauna faida zaidi ya kupinga maendeleo ya nchi
Upinzani unapingaje maendeleo wakati sio unaokusanya kodi?safi kabsa upinzani ufutwe nchii hii hauna faida zaidi ya kupinga maendeleo ya nchi
Usitamani turudi nyuma sema unatamani vijana wa mabaka wafanye yao miezi sita warudishe mchezo baada ya kuvunja vyama vyote vya siasa na tuanza upya huku rasilimali kama majengo ya vyama, viwanja vya michezo na maeneo ya wazi vimerudishwa kwa Halmashauri za wananchi.Natamani sana turudi kwenye chama kimoja, kwa sababu waliopo madarakani hawataki kutoka. Hali hii ya uonevu huwa inaleta chuki miongoni mwetu na kuondoa upendo uliopo katika jamii.
Vijana wa CCM wana funza vichwani, yani mtu mpaka unajuta hata kufanya kazi Seriaklini, hasa judiciaryUpinzani unapingaje maendeleo wakati sio unaokusanya kodi?
Hivi unaweza kutangaza jirani yako ahamishwe kwa vile anakuzuia kulala na mkeo kukupa unyumba? Kama jogoo wako hapandi mtungi usimsingizie jirani
Aliyekunyima akili, hekima na busara hakukosea, ilikuwa halali yako!safi kabsa upinzani ufutwe nchii hii hauna faida zaidi ya kupinga maendeleo ya nchi