Ruangwa, Lindi: Wagombea wote wa vyama vya upinzani wameondolewa

Ruangwa, Lindi: Wagombea wote wa vyama vya upinzani wameondolewa

Huyu Zitto anajua amefikia mwisho wa siasa za kilaghai

Mwacheni abweke mwisho mwish,ampishe mwenye akili kuongoza jimbo
Alianza kwa kutumia password feki kuwa wagombea wote Chato wameondolewa, sasa hivi kaja mwenyewe akisema wagimbea wote wa upinzani Ruangwa wameondolewa.
 
Fisi akitaka kumla fisi mwenzake huanza kumsifia kwanza, utasikia mshikaji leo unanukia kama mbuni wa kukaanga, baadaye anamrukia mwenzake na kuanza kumlarua, bado kidogo CCM wataanza kuawana wao kwa wao
Hayo sio yakuombea ladba kama umeishiwa vitu vya kumuomba Mungu.
 
Tuliposema hatujiandikishi tuliyajua yajayo!
Tulitishiwa kwa ambao wasingejiandikisha,baadhi ya Halmashauri kulikuwa na maagizo ya wakuu wa maeneo ya kazi kuwasilisha orodha ya watakaoacha kujiandikisha kupiga kura.Halafu leo wanafuta wagombea wote na hivyo hatutapiga kura tena.
Nashauri tupige kura ya ndiyo au hapana tupime kama hawa walioteuliwa kweli ni wawakilishi wa jamii?Wasichukulie wagombea wote wa Chama Tawala ni chaguo la wananchi,wengine wamepita kwa rushwa na wizi wa kura vilevile.
 
Maulid Seleman,
Safi sana , yaani sana.
Ufalme wowote unapofika Mwisho huwa inakuwa hivi.

Kumbuka SAddam Hussein aliondoka hivi.
Gaddafi the same.
Al Bashir the same.

SIMON SIRRO umeokoka na unamjua Yesu, haya mambo ya polisi kuua na kukamata watu umeyona, Yesu wako ana afiki hii dhulma?Roho mtakatifu uliye naye anakubali haya
Kipindi hiki jeshi la polis limepoteza muelekeo hatari, limekuwa ngao kuu ya ccm badala ya kulinda usalama wa RAIA Na Mali zao.
 
Huyu Zitto ni mwongo tu
Sisi Watanzania tumempuuza
Umepuuza wewe japo hukubali ukweli lakini huwezi kuubadili uongo ukawa ukweli na ukashinda.

Ndugu yangu usichekelee hilo kwasababu un apoliccm kikinuka Ndugu yangu msije mlaumu seremala mgomba hauna mbao.

Kwahiyo ndio unashinda kwa kishindo?

Kishindo kipi mnachokijua au kufuta wagombea WA upinzani?

Ukishafuta vyama vya upinzani jee maendeleo yatapatikana kama unavyojiaminisha?

Kama hamtaki vyama vya upinzani na mnajihitaji nyinyi tu kwanini hampeleki hoja bungeni ya kuviondosha ili ibakie hiyo chama yako inayojisabu inakubalika sana na imefanya maendeleo sana kushinda waliotangulia?
 
Guy's hii nchi ishakata break,iko kolongoni soon inazama baharini,kwaio mwenye uwezo wa kurukia nje aruke ajiokoe lasivyo utakufa
Maana wengine sio binadamu ni mawe wakiongozwa na jiwe kuu lenye kichwa kama tenki la bodaboda na mawe mengine yenye kichaa na yasioweza kuona hatari iliyopo.
 
Back
Top Bottom