Ruangwa, Lindi: Wagombea wote wa vyama vya upinzani wameondolewa

Ruangwa, Lindi: Wagombea wote wa vyama vya upinzani wameondolewa

Zitto ni muongo Sana Sasa watafutwe na vyombo vya dola kwa kosa lipi mbona NI muongo na mnafiki
Mpumbavu wewe nilikuwa Tunduma Kuna kata ya Tunduma kati mtaa wa Ihanda viongozi waandamizi wamekamatwa na kupewa kesi za ajabu ajabu.
 
Tunaelekea Kwenye Utawala Wa:-
● Chifu
● Akida
● Sultan
■ Shida Kubwa
 
Mpumbavu wewe nilikuwa Tunduma Kuna kata ya Tunduma kati mtaa wa Ihanda viongozi waandamizi wamekamatwa na kupewa kesi za ajabu ajabu.
Acha jaziba mkuu tunaongelea lindi siyo tunduma! Au tayari umeshapiga cha arusha
 
Kipindi hiki jeshi la polis limepoteza muelekeo hatari, limekuwa ngao kuu ya ccm badala ya kulinda usalama wa RAIA Na Mali zao.
ILA SIRRO nanmwamini sana, tatizo sasa hivi maelekezo yanatoka JUU.
Kila mtu anajiamulia mwenyewe.
JUU ndio inashikilia bajeti ya nchii.
HALIMA mdee aliomba fedha ujenzi wa barabara ya makongo -goba hakupewa na bunge, BASHITE a.k. a "Mwenza" akaomba kwa "JIwe" bilioni 5 zikatoka hapo hapo, bila hata kutolewa kwa amri ya bunge.
 
Pia taarifa kutoka Liwale Mkoa huo huo wa Lindi viongozi wote wa upinzani wanatafutwa na vyombo wa dola


View attachment 1254506
Kwanza kujiridhisha kwamba wewe ni mzandiki kwanza tutajie Ruangwa ina kata ngapi, vijiji vingapi na orodha ya wagombea ibandike hapa, Shwaini mkubwa we!! Acha kutumika na Zitto aliyefilisika mwili na akili
 
Hii ni trailer tu,na mnavyolialia nyuma ya keyboards pekee tutegemee makubwa zaidi 2020.

Kwa hiyo hapo ndio mmedhibitisha yale mliyokuwa mnasema kuwa ccm inakubalika na wananchi ama?
 
Tulitishiwa kwa ambao wasingejiandikisha,baadhi ya Halmashauri kulikuwa na maagizo ya wakuu wa maeneo ya kazi kuwasilisha orodha ya watakaoacha kujiandikisha kupiga kura.Halafu leo wanafuta wagombea wote na hivyo hatutapiga kura tena.
Nashauri tupige kura ya ndiyo au hapana tupime kama hawa walioteuliwa kweli ni wawakilishi wa jamii?Wasichukulie wagombea wote wa Chama Tawala ni chaguo la wananchi,wengine wamepita kwa rushwa na wizi wa kura vilevile.
.Mkuu hata zikipigwa kura za ndio au hapana bado watachakachua tu na kusema kuwa wamechaguliwa kwa asilimia 100 kwa maana kwamba wapiga kura wote wamepiga kura ya ndiyo!!
 
Mkuu
Huyu Zitto anajua amefikia mwisho wa siasa za kilaghai

Mwacheni abweke mwisho mwish,ampishe mwenye akili kuongoza jimbo
Mkuu na wewe uko kwenye payroll ya Lumumba ya buku7.Au wewe iko juu kidogo?Naona ajira yako imeanza march mwaka huu!
 
Pia taarifa kutoka Liwale Mkoa huo huo wa Lindi viongozi wote wa upinzani wanatafutwa na vyombo wa dola


View attachment 1254506
This is rubbish. Yaani bora tuseme Serikali hii inacho kifanya ni sawa au zaidi ya uhujumu uchumi.. Huwezi kutumia kodi za wananchi kuandaa daftari, kulipa matangazo, kulipa waandishi, wasimamizi no takataka kibao halafu mna kimbia ofisi na kutangaza ushindi wa kipumbavu. Nasema tena haya ni mavi. Wizi na uhujumu uchumi.. Shame!!!?
 
Naskia Kinondoni wamekatwa pia

Ova
 
Back
Top Bottom