Alianza kwa kutumia password feki kuwa wagombea wote Chato wameondolewa, sasa hivi kaja mwenyewe akisema wagimbea wote wa upinzani Ruangwa wameondolewa.Huyu Zitto anajua amefikia mwisho wa siasa za kilaghai
Mwacheni abweke mwisho mwish,ampishe mwenye akili kuongoza jimbo
Zitto siku hizi kageuka kuwa mlalamishi tu. wanaondolewa kwa utaratibu gani? wanaondolewa au wamejiondoa?Pia taarifa kutoka Liwale Mkoa huo huo wa Lindi viongozi wote wa upinzani wanatafutwa na vyombo wa dola
View attachment 1254506
Huyu Jamaa mchochezi sana, hafai kabisa kwa uongo Zito anaongozaPia taarifa kutoka Liwale Mkoa huo huo wa Lindi viongozi wote wa upinzani wanatafutwa na vyombo wa dola
View attachment 1254506
kweli ww kichani uko mtupu kabisa,
Huyu Zitto anajua amefikia mwisho wa siasa za kilaghai
Mwacheni abweke mwisho mwish,ampishe mwenye akili kuongoza jimbo
Hayo sio yakuombea ladba kama umeishiwa vitu vya kumuomba Mungu.Fisi akitaka kumla fisi mwenzake huanza kumsifia kwanza, utasikia mshikaji leo unanukia kama mbuni wa kukaanga, baadaye anamrukia mwenzake na kuanza kumlarua, bado kidogo CCM wataanza kuawana wao kwa wao
Zitto ni muongo Sana Sasa watafutwe na vyombo vya dola kwa kosa lipi mbona NI muongo na mnafikiPia taarifa kutoka Liwale Mkoa huo huo wa Lindi viongozi wote wa upinzani wanatafutwa na vyombo wa dola
View attachment 1254506
usisahau kua mkimalizana na wapinzani mtaanza kushikana mashart ninyi kwa ninyi
Wapinzani wanatoa wapi mamlaka ya kupinga maendeleo? Wamekwamisha miradi mingapi hadi sasa?
Tulitishiwa kwa ambao wasingejiandikisha,baadhi ya Halmashauri kulikuwa na maagizo ya wakuu wa maeneo ya kazi kuwasilisha orodha ya watakaoacha kujiandikisha kupiga kura.Halafu leo wanafuta wagombea wote na hivyo hatutapiga kura tena.Tuliposema hatujiandikishi tuliyajua yajayo!
Wewe utakua una mtindio wa ubongo si bure.safi kabsa upinzani ufutwe nchii hii hauna faida zaidi ya kupinga maendeleo ya nchi
Umempuuza wewe mlamba miguu ya kichaa.Huyu Zitto ni mwongo tu
Sisi Watanzania tumempuuza
Kipindi hiki jeshi la polis limepoteza muelekeo hatari, limekuwa ngao kuu ya ccm badala ya kulinda usalama wa RAIA Na Mali zao.Maulid Seleman,
Safi sana , yaani sana.
Ufalme wowote unapofika Mwisho huwa inakuwa hivi.
Kumbuka SAddam Hussein aliondoka hivi.
Gaddafi the same.
Al Bashir the same.
SIMON SIRRO umeokoka na unamjua Yesu, haya mambo ya polisi kuua na kukamata watu umeyona, Yesu wako ana afiki hii dhulma?Roho mtakatifu uliye naye anakubali haya
No mbaliTusubiri uchaguzi mkuu ndiyo tulianzishe
Umepuuza wewe japo hukubali ukweli lakini huwezi kuubadili uongo ukawa ukweli na ukashinda.Huyu Zitto ni mwongo tu
Sisi Watanzania tumempuuza
Inzi wa kijani mkiongozwa na kichaa wenu hovyo sana na bure kabisa, shenzi sana.Zitto siku hizi kageuka kuwa mlalamishi tu. wanaondolewa kwa utaratibu gani? wanaondolewa au wamejiondoa?