Rubani wa Pili wa Ndege-vita ya Marekani F-15 E aokolewa kwa Operation Kabambe huko Iran, IRGC waangamizwa!!!!!!

Hizo ndege zimepigwa na Marekani wenyewe baada ya matairi ya ndege hizo kuzama mchangani hivyo kushindwa kuruka,

Ilibidi waagize ndege zingine za kuja kuwaokoa na zilipokuja hizi ilibidi waziteketeze kuhofia ndege hizo kuangukia kwenye mikono ya adui au Reverse-Engineering kwa ndege za marekani.

Acha kutuletea hadithi za Abunuwasi hapa, Kama hujui Ki ngereza sema usaidiwe kutafsiri....

Yes, a U.S. F-15E Strike Eagle was shot down over Iran by Iranian forces , marking a significant escalation in the conflict. Both crew members were subsequently rescued by U.S. special operations forces after an extensive, multi-day search, despite Iranian attempts to capture them

HATA KWA AKILI YA MTOTO WA DARASA LA PILI, NDEGE YA KIVITA YA MAREKANI ITUE KABISA KWENYE ARDHII YA IRAN HADI IKWAME KWENYE MCHANGA???? WEWE KWELI NI ZERO BRAIN!
 
Aisay ndege tatu zote zizame punguzeni uwongo wenye akili za kijinga tu ndio watawamini wajinga wenzao
 
Acha kutuletea hadithi za Abunuwasi hapa, Kama hujui Ki ngereza sema usaidiwe kutafsiri....

Yes, a U.S. F-15E Strike Eagle was shot down over Iran by Iranian forces , marking a significant escalation in the conflict. Both crew members were subsequently rescued by U.S. special operations forces after an extensive, multi-day search, despite Iranian attempts to capture them

HATA KWA AKILI YA MTOTO WA DARASA LA PILI, NDEGE YA KIVITA YA MAREKANI ITUE KABISA KWENYE ARDHII YA IRAN HADI IKWAME KWENYE MCHANGA???? WEWE KWELI NI ZERO BRAIN!
Wafuga Midevu na Majini hapo ndipo akili zenu zimeishia huwezi kufikiri zaidi ya hapo!!
 
Ni juu yako wewe kamini au kutokuamini uzuri wale Marubani wameokolewa kwa ustadi wa hali ya juu!!

Ndege zimedunguliwa tena na wanamgambo kwa kutumia drone zilizotengenezwa na vijana ingekuwa hapa kwetu ungesema wa VETA. Drone za bei poa kabisa; Lakini Marekani inafukia hilo la kudunguliwa kwa kufanya propaganda za uokozi; ILI wajinga wasikumbuke kuuliza; kulikoni ndege tatu bora kabisa za kivita zikadunguliwa na Iran kwani Marekanai imekuwa inajisifia kuwa hazidunguliki kirahisi?
 
Wajinga nyie leo hii Post zangu mnazipita tu kama hamzioni kwa aibu mnazisoma kwa masikitiko makubwa baada ya Marubani kuokolewa kishujaa na majeshi ya Marekani!!

Ndiyo maana mnapinga kijinga-jinga tu
 
Hapo Marekani wamepambana tu na migambo wa eneo hilo lakini imekuwa complex special operation kwao

Iran wala haijapeleka jeshi ila walitoa zawadi ya donge nono $60,000 kwa watakaompata huyo rubani akiwa hai

Hii itabaki nightmare kwa wanajeshi wa Marekani

Vita bado inaendelea
Serikali iliweka dau la kichovu wangeweza hata dollar milioni 1.
 
Ukaokoe mtu mmoja uuliwe watu karibu 10 upoteze ndege 9 kwa ajili ya pilot kumbuka tokea jana wamepoteza ndege 6 na leo 3 yote kwa ajili ya kutafuta ushindi wa picture hahaha
Askari I wa Israel ni sawa na miarabu 1,000.

Askari mmoja ana dhamani zaidi ya ndege 10 na ndiyo wametumia gharama yoyote kuokoa maisha ya mtu mmoja na ndege hizo wakaziripua maana wana weza tengeneza zingine!!!
 
Hivi we hujui kama walio enda kumuokoa huyo pilot inasemekana 10 wameuliwa na wengi wao wameisha kuwa wana total disability kweli we kichaa afu wamepoteza ndege 9 tokea waanze msaka huyo pilot.

USA anacho tafuta kuonekana yeye ni Super power hahaha kumbe huo ujinga ndio utakao upoteza ule u Superpower wake
 
Tumewasikia lkn Mlokole wenu ndio ivo anachapika vibaya. Kijeshi kiuchumi 💩✍️
 
Attachments

  • 20260402_160858.jpg
    20260402_160858.jpg
    66.3 KB · Views: 19
Hivi we hujui kama walio enda kumuokoa huyo pilot inasemekana 10 wameuliwa na wengi wao wameisha kuwa wana total disability kweli we kichaa afu wamepoteza ndege 9 tokea waanze msaka huyo pilot.

USA anacho tafuta kuonekana yeye ni Super power hahaha kumbe huo ujinga ndio utakao upoteza ule u Superpower wake
Utake usitake Marekani ni Super Power tu!!
 
Wajinga nyie leo hii Post zangu mnazipita tu kama hamzioni kwa aibu mnazisoma kwa masikitiko makubwa baada ya Marubani kuokolewa kishujaa na majeshi ya Marekani!!

Ndiyo maana mnapinga kijinga-jinga tu

Wamerekani wenyewe wanakiri kuwa ndege zao F15, ZILIDUNGULIWA na drone za Iran;
wewe unatuletea hadithi za ABUNUWASI eti zilikwama kwenye Mchanga
Tangu lini ndege ya kivita ikatua kwenye Nchi inayopigana nayo, INAONEKANA hata mgambo hujahudhuria halafu upo hapa kutusimulia ujinga wako, pengine hata kushika SMG huwezi
" AMRICAN NEWS: Second airman in F-15E that was shot down over Iran rescued safely, U.S. officials say
 
Siri zinanza kutoka huyo Pilot mpaa mda huu hajulikani yuko hai au kafaa plus fox news wamekiri kuwa askari wengi wa America wameumizwa vibaya sana haya endelea sa kuimba nyimbo zako

View: https://youtu.be/05tYbNvDhSM?si=j_6iFBNEaOkDfnQs

Maneno ya mkosaji!! Unatarajia Mwarabu aseme nini juu ya Muyahudi au Marekani? Hata hao Skynews wanawasingizia tu hawajasema uharo huo.

Wote wanaoongea lugha za Majini ni waongo waongo sana maana wao uongo wakisha ubariki na kuuita TAQIYYAH.

Hebu weka hapa link ya Skynews inayosema hivyo tuone kama ni kweli!!!.

Waarabu/waislamu ni watu ambao hawaaminiki hata kama ni usiku wakokuambia sasa hivi ni usiku usiamini toka nje ukashuhudie kama kweli ni usiku

Najua tu mnasema maneno ya kujifariji na kujipa moyo baada ya Marubani hao kuokolewa kibabe na majeshi ya Marekani
 
Wamerekani wenyewe wanakiri kuwa ndege zao F15, ZILIDUNGULIWA na drone za Iran;
wewe unatuletea hadithi za ABUNUWASI eti zilikwama kwenye Mchanga
Tangu lini ndege ya kivita ikatua kwenye Nchi inayopigana nayo kama wewe sio ZERO BRAIN?

Second airman in F-15E that was shot down over Iran rescued safely, U.S. officials say​

Hapo umeandika nini sasa?
 
Hizo ndege zimepigwa na Marekani wenyewe baada ya matairi ya ndege hizo kuzama mchangani hivyo kushindwa kuruka,

Ilibidi waagize ndege zingine za kuja kuwaokoa na zilipokuja hizi ilibidi waziteketeze kuhofia ndege hizo kuangukia kwenye mikono ya adui au Reverse-Engineering kwa ndege za marekani.
Hao Iran wana jeshi la namna gani mbona waoga sana?

Mpaka inatumwa taarifa ndege zinasubiriwa hadi zinafika eneo la tukio na kuchukua watu wenyewe hawaonekani kabisa, itakuwa ni uwoga mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom