Rubani wa Pili wa Ndege-vita ya Marekani F-15 E aokolewa kwa Operation Kabambe huko Iran, IRGC waangamizwa!!!!!!

Hii aibu haitawatoka Iran na makobaz wote duniani, kwamba nchi ya kigeni ije kujichukulia marubani wake Singida kisha mjitetee eti walikua wanapambana na Wanyaturu tu huko.
Kumbuka Iran kachangiwa, hilo hamlioni?
 
Aliyekuambia zilikuwa C-130 ni nani? Ondoa hisia Mateka wameokolewa salama endelea kuumia tu maana hakuna namna!!!
We kweli kenge dunia nzima inaongelea hizo ndege mbili C130 zilikuwa ndio zimebeba hao ma commanders zimepigwa we upo wapi swali Pilot yuko wapi na kwanini hawataji jina lake 😄
 
Nakwambia kwenye hali kama hiyo watu wanashikwa na unafikiri mchezo. Ingekuwa wanapambana na nchi size yao kama Turkiye au Iraq hao IRGC ndio wangekuwa wa kwanza kufika eneo la tukio wala wasingewatuma hao FFU wa Basij.
Mzee mi cbishani na watu wa takiya.
 
Vita vinapigwa kwa technology sio vinginevyo America wameonyesha dunia kuwa ni wana nguvu Sana na pia anga LA Iran🇮🇷 haina ulinzi imara mtu anaingia ndani kwako na wewe upo hapo hapo anachukua anachotaka a naondoka na taarifa zinasema kikosi America Delta Force kimewaua wanajeshi wa Iran waliokuwa wanamtafuta huyo m wanajeshi wa America
Sasa nini kinawazuia USA kumaliza vita?
Nini kinawashinda USA kufungua mfreji wa Hormus?
 
Subutu hata hi yo pilot ni uwongo mtupu hio ni Hollywood film tu Trump administration wanatafuta ushindi wa Pictures sababu wamekosa ushindi mpaa mda huo. Leo wameamua kuanza vita vya Energy infrastructure hapo ndio ujuwe wameishiwa hawana jipya hahaha wanadhani kupiga Energy infrastructure ndio Iran wata surrender 🤣
 
Ripoti: Marekani Yazindua Misheni ya Uokoaji Yenye Hatari Kubwa nchini Iran Kufuatia Ndege ya Kivita Iliyoangushwa

Katika saa za hivi karibuni, Marekani imeanzisha operesheni ya uokoaji ili kurejesha mabaki ya ndege ya kivita ya F-15E iliyoangushwa nchini Iran siku moja mapema ili kuzuia Reverse—Engineering Misheni hiyo inalenga Milima Nyeusi yenye miamba karibu na Dehdasht, Kohgiluyeh na Mkoa wa Boyer-Ahmad, karibu na jiji la Yasuj.

Kulingana na ripoti zinazoibuka, operesheni hiyo imesababisha makabiliano ya moja kwa moja kati ya vikosi maalum vya Marekani na vitengo vya Basij, kikosi cha kijeshi cha utawala wa kigaidi wa Iran. Mapigano hayo yanaripotiwa kusababisha vifo vingi miongoni mwa magaidi wa Basij.

Maelezo yanabaki kuwa machache huku Operation hiyo ikiendelea.

Vikosi maalum vya Marekani vimefanya dhamira hatarishi ya kumrejesha rubani aliyeangushwa, watakiangamiza kikosi chochote cha uadui kinachowazuia hata kama inamaanisha kuwaangamiza maelfu ya magaidi.

Kadri operesheni inavyoendelea, wafuasi wa ugaidi, wafuasi wa mrengo wa kushoto na vyombo vya habari visivyo na uhakika wataiita mara moja "mauaji" na kudai kwamba kulikuwa na idadi kubwa ya vifo vya raia, wataiita "umwagaji damu" na simulizi hii bandia itasambazwa kwenye mitandao ya kijamii.

Watasema "Wamarekani waliua mamia ili tu kumrudisha rubani 1" na bila shaka watailaumu Israeli yote.

Baadaye picha iliyo wazi zaidi itaibuka, ikionyesha kwamba walioangamizwa walikuwa magaidi wenye silaha badala ya raia.

Hata hivyo, kufikia wakati huo, simulizi bandia za awali kuhusu operesheni ya uokoaji zitakuwa tayari zimeunda mtazamo wa umma, na hakuna mtu atakayeomba msamaha au kuchapisha marekebisho yoyote.

Hongera sana Jeshi la Israel na Jeshi la Marekani kwa kufanikisha kuokoa maisha ya rubani wa Ndege-vita F-15 E na kwa kuwaangamiza maadui waliokuwa wakizuia Operation hiyo isifanikiwe.

Seems like any terrorist who dared to try and find the American pilot in Iran was carpet bombed into oblivion. Their bodies are all over the place.

Webabu mdogoee gallow bird gTurn Mzee wa UHARO Ritz kanusheni na hili!!

View: https://x.com/mossadil/status/2040607942467072431?s=61

View: https://x.com/mossadil/status/2040604910383685739?s=61

View: https://x.com/mossadil/status/2040601205425029552?s=61

Sawa Malkia Zumaridi, mke wa Netanyahu tumekusikia na simulizi zenu za kutunga
 
Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Mike Waltz amewapongeza wanajeshi wa Marekani kwa kufanikisha oparesheni ya kumuokoa mwanajeshi mwenzao aliyekuwa amekwama Iran baada ya ndege yao kudunguliwa.

Rais Trump naye ameitaja oparesheni hiyo kama hatari zaidi kuwahi kutokea katika historia ya Marekani.

#RFIKiswahili #iran #usarmy

Mbona hawajaisifia technologia ya Iran kuweza kudungua ndege inayo aminiwa ni salama sana kwenye medali za kivita au anaona wajinga watajikita kushabikia uokozi bila kuangalia ndege iliyodunguliwa?
Marekani na Israel wameshindwa kabisa kuifungua Hormuz ili bei ya mafuta Ishuke.....naona sasa wanapiga propaganda za kuokoa mtu mmoja ili kutusahaulisha........
 
Lete ushahidi hii tabia ya kutuletea uwongo wa Trump na Netanyahu hatuitaki hapa jf
Endelea tu Kujipa moyo na kujifariji baada ya Marubani wa Marekani kuokolewa kwa ustadi mkubwa na majeshibya Marekani & Israel.
 
Ripoti: Marekani Yazindua Misheni ya Uokoaji Yenye Hatari Kubwa nchini Iran Kufuatia Ndege ya Kivita Iliyoangushwa

Katika saa za hivi karibuni, Marekani imeanzisha operesheni ya uokoaji ili kurejesha mabaki ya ndege ya kivita ya F-15E iliyoangushwa nchini Iran siku moja mapema ili kuzuia Reverse—Engineering Misheni hiyo inalenga Milima Nyeusi yenye miamba karibu na Dehdasht, Kohgiluyeh na Mkoa wa Boyer-Ahmad, karibu na jiji la Yasuj.

Kulingana na ripoti zinazoibuka, operesheni hiyo imesababisha makabiliano ya moja kwa moja kati ya vikosi maalum vya Marekani na vitengo vya Basij, kikosi cha kijeshi cha utawala wa kigaidi wa Iran. Mapigano hayo yanaripotiwa kusababisha vifo vingi miongoni mwa magaidi wa Basij.

Maelezo yanabaki kuwa machache huku Operation hiyo ikiendelea.

Vikosi maalum vya Marekani vimefanya dhamira hatarishi ya kumrejesha rubani aliyeangushwa, watakiangamiza kikosi chochote cha uadui kinachowazuia hata kama inamaanisha kuwaangamiza maelfu ya magaidi.

Kadri operesheni inavyoendelea, wafuasi wa ugaidi, wafuasi wa mrengo wa kushoto na vyombo vya habari visivyo na uhakika wataiita mara moja "mauaji" na kudai kwamba kulikuwa na idadi kubwa ya vifo vya raia, wataiita "umwagaji damu" na simulizi hii bandia itasambazwa kwenye mitandao ya kijamii.

Watasema "Wamarekani waliua mamia ili tu kumrudisha rubani 1" na bila shaka watailaumu Israeli yote.

Baadaye picha iliyo wazi zaidi itaibuka, ikionyesha kwamba walioangamizwa walikuwa magaidi wenye silaha badala ya raia.

Hata hivyo, kufikia wakati huo, simulizi bandia za awali kuhusu operesheni ya uokoaji zitakuwa tayari zimeunda mtazamo wa umma, na hakuna mtu atakayeomba msamaha au kuchapisha marekebisho yoyote.

Hongera sana Jeshi la Israel na Jeshi la Marekani kwa kufanikisha kuokoa maisha ya rubani wa Ndege-vita F-15 E na kwa kuwaangamiza maadui waliokuwa wakizuia Operation hiyo isifanikiwe.

Seems like any terrorist who dared to try and find the American pilot in Iran was carpet bombed into oblivion. Their bodies are all over the place.

Webabu mdogoee gallow bird gTurn Mzee wa UHARO Ritz kanusheni na hili!!

View: https://x.com/mossadil/status/2040607942467072431?s=61

View: https://x.com/mossadil/status/2040604910383685739?s=61

View: https://x.com/mossadil/status/2040601205425029552?s=61

Hongera kwao ILA nilitamani pia watambue umahiri wa wanamgambo wa kaskarini mwa Irani kwa kuweza kulidungua li ndege linao aminiwa kuwa salama sana kwenye uwanja wa kivita
 
We kweli kenge dunia nzima inaongelea hizo ndege mbili C130 zilikuwa ndio zimebeba hao ma commanders zimepigwa we upo wapi swali Pilot yuko wapi na kwanini hawataji jina lake 😄
Hizo ndege zimepigwa na Marekani wenyewe baada ya matairi ya ndege hizo kuzama mchangani hivyo kushindwa kuruka,

Ilibidi waagize ndege zingine za kuja kuwaokoa na zilipokuja hizi ilibidi waziteketeze kuhofia ndege hizo kuangukia kwenye mikono ya adui au Reverse-Engineering kwa ndege za marekani.
 
Lete ushahidi
Kwa hiyo umeamua kujipa moyo kwa kuniomba mimi ushahidi?

Siku Wafuga Midevu na Majini wakiacha ujinga wao na wakaanza kufuga Ng'ombe wa Maziwa na kuku wa mayai akili zenu zitakuwa na Akili!!!!!
 
Back
Top Bottom