Rubani wa Pili wa Ndege-vita ya Marekani F-15 E aokolewa kwa Operation Kabambe huko Iran, IRGC waangamizwa!!!!!!

Rubani wa Pili wa Ndege-vita ya Marekani F-15 E aokolewa kwa Operation Kabambe huko Iran, IRGC waangamizwa!!!!!!

Hapo Marekani wamepambana tu na migambo wa eneo hilo lakini imekuwa complex special operation kwao

Iran wala haijapeleka jeshi ila walitoa zawadi ya donge nono $60,000 kwa watakaompata huyo rubani akiwa hai

Hii itabaki nightmare kwa wanajeshi wa Marekani

Vita bado inaendelea
Iran wazembe tu....
 
Hii aibu haitawatoka Iran na makobaz wote duniani, kwamba nchi ya kigeni ije kujichukulia marubani wake Singida kisha mjitetee eti walikua wanapambana na Wanyaturu tu huko.
Ni aibu jeshi dhaifu la nchi iliyowekewa vikwazo kuipiga ndege vita ya SupaPawa
 
Hapo Marekani wamepambana tu na migambo wa eneo hilo lakini imekuwa complex special operation kwao

Iran wala haijapeleka jeshi ila walitoa zawadi ya donge nono $60,000 kwa watakaompata huyo rubani akiwa hai

Hii itabaki nightmare kwa wanajeshi wa Marekani

Vita bado inaendelea
-Hoja ya msingi ni kwamba kwa Nini Iran wasingepeleka jeshi yale maeneo Ili kumteka yule Mwanajeshi wa US,
 
Kuingia kwa wanajeshi ardhini mwa Iran ni ishara tosha kuwa Iran kazidiwa.

Licha ya kuzima internet. Ila wanajesh wa USA waliweza kuwasiliana na Ruban wao. Wakatambua alipo na wakamfuata kumchukua.
Wana Satphone, simu zinazopitia moja kwa moja kwenye satellite zao za kijeshi na huwezi ukazifanyia udukuzi na ukipiga tu mara moja kwa kutumia Global Coordinates tayari wanakuwa wameshajua ulipo.
 
Kwamba Iran inatangaza $60k Kwa raia wamakamate Rubani akiwa hai. Tena Rubani wa ndege za kijeshi ambapo naye bila shaka ni mwanajeshi.

Hii ni kama kuwatoa kafara wananchi wakamkamate jambazi hatari lenye mafunzo ya kijeshi.
Tunajua maribani hawawi full equipped, kwahiyo hata awe komando, raia 100 wenye full magazine za kutosha, bro rubani lazima apagawe.
 
Kuingia kwa wanajeshi ardhini mwa Iran ni ishara tosha kuwa Iran kazidiwa.

Licha ya kuzima internet. Ila wanajesh wa USA waliweza kuwasiliana na Ruban wao. Wakatambua alipo na wakamfuata kumchukua.
Na Je, ikitokea Mwanajeshi wa Iran kaangukia ndani ya nchi ya US,je Jeshi la Iran linaweza kutuma ndege ya kumuokoa Mwanajeshi wao?
 
Nini kinawashinda Wamerekani kuufungua mlango bahari wa Hormuz?
Kumbuka hizi ni operation mbili tofauti zenye mazingira tofauti, eneo la bahari ambalo halina msitu, milima na mapori sio rahisi kufanikisha mission Kwa wakati...
Hormuz patanguka kama USA wataweza kuondosha utawala wa iran
 
Hayo maneno mengi mnayojaribu kujiliwaza, mwanzo mlisema ni uwongo, haya hivyo kimsingi Makomando wameingia kikomando ndani ya Iran wakajichukulia watu wao, hii hata itabidi itengezewe movie kabisa.
Kwenye movie muweke na maneno na POTUS kwamba jeshi la iran limemalizwa, ila gafla ndege imepigwa. Sasa tujiulize imepiga na nani ikiwa rais wa US alisema kalimaliza jeshi la Iran
 
Vita vinapigwa kwa technology sio vinginevyo America wameonyesha dunia kuwa ni wana nguvu Sana na pia anga LA Iran🇮🇷 haina ulinzi imara mtu anaingia ndani kwako na wewe upo hapo hapo anachukua anachotaka a naondoka na taarifa zinasema kikosi America Delta Force kimewaua wanajeshi wa Iran waliokuwa wanamtafuta huyo m wanajeshi wa America
Ni rambo au
Una ushahidi gani na unajuaje labda wanajeshi wao waliogopa, wewe unafikiri kupambana na Delta Force ni mchezo.
Hajui delta force huyo! Kuna rambo na Chuck Norris
 
Umesoma vizuri? Iran haikupeleka jeshi. Kama migambo na raia wa eneo hilo wamewatoa jasho Wamarekani mpaka imewalazimu kupoteza ndege zao mbili zenye thamani ya millions of dollars, kujeruhiwa kwa wanajeshi wao vipi vikosi vya ardhini vya IRGC vingepelekwa?
Unazungumziaje watu kuingia nchini kwako kufanya operation na kuondoka salama?
 
Ripoti: Marekani Yazindua Misheni ya Uokoaji Yenye Hatari Kubwa nchini Iran Kufuatia Ndege ya Kivita Iliyoangushwa

Katika saa za hivi karibuni, Marekani imeanzisha operesheni ya uokoaji ili kurejesha mabaki ya ndege ya kivita ya F-15E iliyoangushwa nchini Iran siku moja mapema ili kuzuia Reverse—Engineering Misheni hiyo inalenga Milima Nyeusi yenye miamba karibu na Dehdasht, Kohgiluyeh na Mkoa wa Boyer-Ahmad, karibu na jiji la Yasuj.

Kulingana na ripoti zinazoibuka, operesheni hiyo imesababisha makabiliano ya moja kwa moja kati ya vikosi maalum vya Marekani na vitengo vya Basij, kikosi cha kijeshi cha utawala wa kigaidi wa Iran. Mapigano hayo yanaripotiwa kusababisha vifo vingi miongoni mwa magaidi wa Basij.

Maelezo yanabaki kuwa machache huku Operation hiyo ikiendelea.

Vikosi maalum vya Marekani vimefanya dhamira hatarishi ya kumrejesha rubani aliyeangushwa, watakiangamiza kikosi chochote cha uadui kinachowazuia hata kama inamaanisha kuwaangamiza maelfu ya magaidi.

Kadri operesheni inavyoendelea, wafuasi wa ugaidi, wafuasi wa mrengo wa kushoto na vyombo vya habari visivyo na uhakika wataiita mara moja "mauaji" na kudai kwamba kulikuwa na idadi kubwa ya vifo vya raia, wataiita "umwagaji damu" na simulizi hii bandia itasambazwa kwenye mitandao ya kijamii.

Watasema "Wamarekani waliua mamia ili tu kumrudisha rubani 1" na bila shaka watailaumu Israeli yote.

Baadaye picha iliyo wazi zaidi itaibuka, ikionyesha kwamba walioangamizwa walikuwa magaidi wenye silaha badala ya raia.

Hata hivyo, kufikia wakati huo, simulizi bandia za awali kuhusu operesheni ya uokoaji zitakuwa tayari zimeunda mtazamo wa umma, na hakuna mtu atakayeomba msamaha au kuchapisha marekebisho yoyote.

Hongera sana Jeshi la Israel na Jeshi la Marekani kwa kufanikisha kuokoa maisha ya rubani wa Ndege-vita F-15 E na kwa kuwaangamiza maadui waliokuwa wakizuia Operation hiyo isifanikiwe.

Seems like any terrorist who dared to try and find the American pilot in Iran was carpet bombed into oblivion. Their bodies are all over the place.

Webabu mdogoee gallow bird gTurn Mzee wa UHARO Ritz kanusheni na hili!!


View: https://x.com/mossadil/status/2040607942467072431?s=61

View: https://x.com/mossadil/status/2040604910383685739?s=61

View: https://x.com/mossadil/status/2040601205425029552?s=61

Hamna lolote waongo wacha watuonyeshe kama yuko hai hizo ni Hollywood action wamepigwa hao macommandor wengi wao wameisha kuwa na total disability plus kuna ndege ingine imeangushwa.

Huyo pilot kisha kufa wanajidai wamemuokoa ni waongo tu Anerican anatafuta picture ya ushindi ili awadangante watu kama wewe na kule USA.
 
Kama USA wameweza kuwaokoa wanajeshi wao wawili Kwa wakati tofauti nahisi itakuwa kazi rahisi Sana kutoka kisiwa cha kharg ....Kazi ya kukiteka hili kisiwa imerahisishwa Sana baada ya kupata uzoefu kwenye uokoaji huu, bado Iran imeonesha udhaifu mkubwa Kwanza Kabisa jeshi Lao halina chemistry ya kufanya operations.

Vikosi vya IRGC makao mkuu Tehran na miji mingine hawana muunganiko wa mawasiliano na logistics za kivita pia hata mipamgo ya kivita imeshindikana Hadi kutumiwa wananchi wa kawaida waingie site kumtafutata.
Iran inarudi kwenye stone age
Kama vile US ilivyotumia raia watoe taarifa ya walipo viongozi waandamizi wa jeshi la Iran, wakiahidiwa pesa. Utofauti ni kwamba US walitaka taarifa ila Iran walitaka rubani akamatwe
 
Ushahidi uko wapi, au unamsikiliza Liar Trump?
Hamna lolote wamefailed vibaya mno ndege zimepigwa na ma commander wao wengi wameisha kuwa vilema.

Wameonyesha wanavyo piga maboom washindqe kutuonyesha walie muokoa hahaha hizo Hollywood film.
 
Kama USA wameweza kuwaokoa wanajeshi wao wawili Kwa wakati tofauti nahisi itakuwa kazi rahisi Sana kutoka kisiwa cha kharg ....Kazi ya kukiteka hili kisiwa imerahisishwa Sana baada ya kupata uzoefu kwenye uokoaji huu, bado Iran imeonesha udhaifu mkubwa Kwanza Kabisa jeshi Lao halina chemistry ya kufanya operations.

Vikosi vya IRGC makao mkuu Tehran na miji mingine hawana muunganiko wa mawasiliano na logistics za kivita pia hata mipamgo ya kivita imeshindikana Hadi kutumiwa wananchi wa kawaida waingie site kumtafutata.
Iran inarudi kwenye stone age
Askari amekaa takribani siku 2 ndani ya nchi yako na jinsi alivyo potential na bado wakamkosa. Mbaya zaidi anakuja mtu na mamia ya wanajeshi na ndege anafanya hiyo operation na kuondoka, huu ni udhaifu haswa.
 
Unazungumziaje watu kuingia nchini kwako kufanya operation na kuondoka salama?
We kweli kenge kwenda kumuokoa Pilot mnapoteza wengine wamekufa na wengine vilema wameisha kuwa na ulemavi wa total disability afu mnapoteza ndege 3 na badaye mnapigiwa tena ndege ya vita mnadai mmeshinda hahaha kweli ujinga hauna dawa

Trump anatafuta ushindi wa picture haya muambieni atuonyeshe huyo pilot wakio muokoa.
 
Back
Top Bottom