Rubani wa Pili wa Ndege-vita ya Marekani F-15 E aokolewa kwa Operation Kabambe huko Iran, IRGC waangamizwa!!!!!!

Rubani wa Pili wa Ndege-vita ya Marekani F-15 E aokolewa kwa Operation Kabambe huko Iran, IRGC waangamizwa!!!!!!

Iran wamezembea hapa.

Hawa marubani wote wawili ilitakiwa wawe mateka kitambo sana

nadhani haya mashambulizi yamedhoofisha mamlaka za Iran.

T14 Armata zitto junior Kichuguu
Irani haina jeshi la anga tangu zamani. Rubani aliyeokolewa alikuwa ameangukia milimani ambako huwezi kufika bila helicopter. Kwa vile irani haina helicopter ilikuwa ni vigumu sana kumteka; bila kuokolewa angekufa kwa maumivu na njaa tu.
 
Kama USA wameweza kuwaokoa wanajeshi wao wawili Kwa wakati tofauti nahisi itakuwa kazi rahisi Sana kutoka kisiwa cha kharg ....Kazi ya kukiteka hili kisiwa imerahisishwa Sana baada ya kupata uzoefu kwenye uokoaji huu, bado Iran imeonesha udhaifu mkubwa Kwanza Kabisa jeshi Lao halina chemistry ya kufanya operations.

Vikosi vya IRGC makao mkuu Tehran na miji mingine hawana muunganiko wa mawasiliano na logistics za kivita pia hata mipamgo ya kivita imeshindikana Hadi kutumiwa wananchi wa kawaida waingie site kumtafutata.
Iran inarudi

Who are you Mpaka unataka kuwapangia wamalize vita? Acha Iran apigwe kwa mwezi huu wa nne upesi akome kabisa!!
Eeee kweli apigwe
 
Maneno ya mkosaji!! Unatarajia Mwarabu aseme nini juu ya Muyahudi au Marekani? Hata hao Skynews wanawasingizia tu hawajasema uharo huo.

Wote wanaoongea lugha za Majini ni waongo waongo sana maana wao uongo wakisha ubariki na kuuita TAQIYYAH.

Hebu weka hapa link ya Skynews inayosema hivyo tuone kama ni kweli!!!.

Waarabu/waislamu ni watu ambao hawaaminiki hata kama ni usiku wakokuambia sasa hivi ni usiku usiamini toka nje ukashuhudie kama kweli ni usiku

Najua tu mnasema maneno ya kujifariji na kujipa moyo baada ya Marubani hao kuokolewa kibabe na majeshi ya Marekani
Kenge hio channel nilio weka ilisema mtangazaji wa fox news anadai hakuna aliye muona pilot na alicho sema kuna askari wengi wameumia

Sa we tuonyeshe Pilot yupo wapi kwa tarifa yako Trump amewabembeleza Oman awasemeshe Iran ili waruhusu meli zipite Hormuz ili amalize vita je Iran atakubali.

Kwa hio Trump si wakuamua vita kwisha wakuamua ni Iran huoni Trump anajidai labda vita vitasimama kesho anategemea Oman iwasaidie na kwa kuwa Iran inamheshimu Oman inawezekana akakubali
 
Hongera sana Jeshi la Israel na Jeshi la Marekani kwa kufanikisha kuokoa maisha ya rubani wa Ndege-vita F-15 E na kwa kuwaangamiza maadui waliokuwa wakizuia Operation hiyo isifanikiwe.
Wanasema Ndege zilishindwa kuruka ndiyo maana wakazilipua hao hao Marekani!! Nini kilisanabisha Ndege zote hizo zishindwe kuruka?
 
Hapo Marekani wamepambana tu na migambo wa eneo hilo lakini imekuwa complex special operation kwao

Iran wala haijapeleka jeshi ila walitoa zawadi ya donge nono $60,000 kwa watakaompata huyo rubani akiwa hai

Hii itabaki nightmare kwa wanajeshi wa Marekani

Vita bado inaendelea
Iran hamna kitu, jeshi linalotamba kuunda kombora la masafa ya km 4000 linashindwa kumkamata rubani aliyeangukia ndani ya nchi yao hadi wanajeshi adui wanakuja kumwokoa! Waache vita wanawatia raia wao hasara tu.
 
Wanasema Ndege zilishindwa kuruka ndiyo maana wakazilipua hao hao Marekani!! Nini kilisanabisha Ndege zote hizo zishindwe kuruka?
Nimeelezea kwa nini zilishindwa kuruka eneo hilo lilikuwa lenye michanga hivyo matairi ya ndege yalikuwa yamezama kwenye mchanga hivyo kuzifanya ndege hizo zisiweze kuruka.

Na baada ya kuona hivyo waliagiza ndege zingine ambazo si C-130 kuja kuwachukua na kuwapeleka Kuwait kabla hawajaondoka waliziteketeza Ndege hizo ili zisiangukie mikononi na adui pia ili kulinda Tecknolojia ya ndege hizo isiibiwe na maadui!!
 
Yote kwa yote kelele kwamba Iran wana jeshi imara zitabakia kuwa ni hadithi za abunuasi. Jeshi imara haliwezi ruhusu viongozi wa nchi na majenerali kuuawa kizembe. Huko ni kuua morale ya jeshi. Waulize watu wa vita watakufundisha.

Jeshi imara: watu wanaingia kwako kufanya misheni na kutoka salama. Huku wewe huwezi fanya hivyo kwao hata kurusha ndege kwenye anga lao au kupeleka meli mipakani mwao.

Je linapaswa kuitwa jina gani?
 
Wafuga Midevu na Majini hawawezi kujibu swali hili kwa sababu Majini yao yamepanda baada tu ya kufanikiwa kwa Operation ya kuwaokoa wa Marubani wawili!!
 
Mzee wa Uharo kwa hiyo huu ndiyo ushindi🤣🤣🤣

Cinema za Trump😂
 
Nimeelezea kwa nini zilishindwa kuruka eneo hilo lilikuwa lenye michanga hivyo matairi ya ndege yalikuwa yamezama kwenye mchanga hivyo kuzifanya ndege hizo zisiweze kuruka.
Kungekuwa na matope hoja yako ingekuwa na mashiko.
 
Hili la uokozi bado halijanikaa vizuri kichwani.

Yaani ndege kadhaa ziliambatana eneo lile kwenda kumuokoa huyo kanali wakampata ila boots on the ground imeshindikana. Enewei wacha niendelee kusubiri
 
Back
Top Bottom