Rubani wa Pili wa Ndege-vita ya Marekani F-15 E aokolewa kwa Operation Kabambe huko Iran, IRGC waangamizwa!!!!!!

Rubani wa Pili wa Ndege-vita ya Marekani F-15 E aokolewa kwa Operation Kabambe huko Iran, IRGC waangamizwa!!!!!!

Askari amekaa takribani siku 2 ndani ya nchi yako na jinsi alivyo potential na bado wakamkosa. Mbaya zaidi anakuja mtu na mamia ya wanajeshi na ndege anafanya hiyo operation na kuondoka, huu ni udhaifu haswa.
Sawa wambie waseme wangapi wamekufa kwenye hio operation na wangapi vilema afu mnapigiwa ndege tatu moja C130 na 2 Helicopter afu badaye mnapigiwa ndege ya vita ingine afu mnadai mmetoka salama hio ndege C130 unajua kazi yake ni nini hizo kubeba macommanders na kwa special operations sa mbili zipigwe afu mseme mmetoka salama hahaha ujinga kweli hauna dawa
 
Hiki kipande cha US kumuokoa rubani wake iran kwakua wamekifanya kwa ufanisi mkubwa, lazima mwakani itatoka movi ya kijeshi, sisi tunaisubiri kwa hamu.
Kweli kabisa si unajua kuna jeshi halitaki kutoa aibu zake hata kama wameuliwa na wengine kuwa vilema na kupoteza ndege tatu na Helicopter wao wanatafuta ushindi wa picture tu kusema wamekula hasara wanaficha hizo ndio akili za cowboys


View: https://youtu.be/sUu3q9ntsG0?si=7h2NXko0Z0auRkNL
 
Hamna lolote waongo wacha watuonyeshe kama yuko hai hizo ni Hollywood action wamepigwa hao macommandor wengi wao wameisha kuwa na total disability plus kuna ndege ingine imeangushwa.

Huyo pilot kisha kufa wanajidai wamemuokoa ni waongo tu Anerican anatafuta picture ya ushindi ili awadangante watu kama wewe na kule USA.
Jifariji. Jipe moyo tu .maana hakuna njia nyingine!!

Marubani wote wameokolewa!!!
 
Unafikiri raia wa Iran ni wasengeee sengeee kama wa Tanzania kwa kulinda nchi yao ?
Wachana na wajinga unajua Iran wanasema nini huyu mkuu wa Parliament anadai ikiwa USA anaona huo ni ushindi basi wakapime akili zao vizuri. Vipi mmeshinda wakati mmepoteza ndege na Helicopter na Wao wenyewe USA wamedai kuna askari zao wameumia wacha wafiche walio kufa na pia hakuna dalili mpaa mda huu kama wamemuokoa huyo pilot.

USA lazima ajisifu ili kuficha aibu alio ipata leo hahaha


View: https://youtu.be/R9dDkMw3Anc?si=wgZkIn3N9yAw1qUy
 
Kwani ni kipi kingine unaweza kuandika zaidi ya hivi?Wamarekani huwa hawapigwi,hupiga wao tu.Tunyamaze,ipo siku historia itaongea.
Endelea tu kujiliza-liza Marubani wote wameokolewa!!! Mkubwa ni mkubwa tu!!!!
 
Jifariji. Jipe moyo tu .maana hakuna njia nyingine!!

Marubani wote wameokolewa!!!
Sawa dogo tuonyesheni huyo pilot mlio muokoa sababu mpaa mda huu Iran wanauhakika huyo pilot bado hajaokolewa USA anaficha aibu ya kipigo alicho pewa na hata kama wamemuokoa itakuwa kisha kufa au kawa kilema kama wenzake walio kuja muokoa hahaha
 
Hakuna vikosi vya Iran vilivyoenda eneo hilo, ilikuwa ni kati ya migambo na raia dhidi ya wajeshi wa Kiamerika
Endeleeni tu kubwabwaja!!
Wawe wanamgambo au IRGC au Basij watajua wenyewe mradi tu Marubani wameokolewa salama!!
 
Sawa dogo tuonyesheni huyo pilot mlio muokoa sababu mpaa mda huu Iran wanauhakika huyo pilot bado hajaokolewa USA anaficha aibu ya kipigo alicho pewa na hata kama wamemuokoa itakuwa kisha kufa au kawa kilema kama wenzake walio kuja muokoa hahaha
Endeleeni tu kujipa moyo na kujifariji Marubani wameokolewa kinyume na maturation yenu Mbwa nyie!!
 
Endeleeni tu kujipa moyo na kujifariji Marubani wameokolewa kinyume na maturation yenu Mbwa nyie!!
Sawa msafisha vyoo we na Trump na Shetanyahu akili zenu zimefanana sa tuonyesheni huyo Pilot mlio muokoa mnaficha nini navyo jua mimi na dunia nzima kwa misifa Trump na hao macowboys mngetuonyesha huyo Pilot. Kutomtoa kwa kumuonyesha na dalili wazi mmefailed vibaya sana sa mnatafuta Pilot mwingine mmemvisha bandages afu ndio mdai yeye mimi nakubaliana na Iran huyo Pilot hamkumuokoa bado au na yeye kafa ndio sababu USA hakuonyesha picture yake mpaa mdaa hu


View: https://youtu.be/KDXHEPyE09g?si=edPBVL_BvbNHdJGr

Hebu furahisha macho Iran ni kiboko yenu
 
Mimi nilichowaza ni inawezakuwa irani wameishapata huyo rubani either akiwa hai au amekufa. Ila wameamua tu kukaa kimya ili marekani watume helikopta zaidi na wanajeshi wao kuwatafuta then hizo helikopta wazitungue zaidi😂
 
Ripoti: Marekani Yazindua Misheni ya Uokoaji Yenye Hatari Kubwa nchini Iran Kufuatia Ndege ya Kivita Iliyoangushwa

Katika saa za hivi karibuni, Marekani imeanzisha operesheni ya uokoaji ili kurejesha mabaki ya ndege ya kivita ya F-15E iliyoangushwa nchini Iran siku moja mapema ili kuzuia Reverse—Engineering Misheni hiyo inalenga Milima Nyeusi yenye miamba karibu na Dehdasht, Kohgiluyeh na Mkoa wa Boyer-Ahmad, karibu na jiji la Yasuj.

Kulingana na ripoti zinazoibuka, operesheni hiyo imesababisha makabiliano ya moja kwa moja kati ya vikosi maalum vya Marekani na vitengo vya Basij, kikosi cha kijeshi cha utawala wa kigaidi wa Iran. Mapigano hayo yanaripotiwa kusababisha vifo vingi miongoni mwa magaidi wa Basij.

Maelezo yanabaki kuwa machache huku Operation hiyo ikiendelea.

Vikosi maalum vya Marekani vimefanya dhamira hatarishi ya kumrejesha rubani aliyeangushwa, watakiangamiza kikosi chochote cha uadui kinachowazuia hata kama inamaanisha kuwaangamiza maelfu ya magaidi.

Kadri operesheni inavyoendelea, wafuasi wa ugaidi, wafuasi wa mrengo wa kushoto na vyombo vya habari visivyo na uhakika wataiita mara moja "mauaji" na kudai kwamba kulikuwa na idadi kubwa ya vifo vya raia, wataiita "umwagaji damu" na simulizi hii bandia itasambazwa kwenye mitandao ya kijamii.

Watasema "Wamarekani waliua mamia ili tu kumrudisha rubani 1" na bila shaka watailaumu Israeli yote.

Baadaye picha iliyo wazi zaidi itaibuka, ikionyesha kwamba walioangamizwa walikuwa magaidi wenye silaha badala ya raia.

Hata hivyo, kufikia wakati huo, simulizi bandia za awali kuhusu operesheni ya uokoaji zitakuwa tayari zimeunda mtazamo wa umma, na hakuna mtu atakayeomba msamaha au kuchapisha marekebisho yoyote.

Hongera sana Jeshi la Israel na Jeshi la Marekani kwa kufanikisha kuokoa maisha ya rubani wa Ndege-vita F-15 E na kwa kuwaangamiza maadui waliokuwa wakizuia Operation hiyo isifanikiwe.

Seems like any terrorist who dared to try and find the American pilot in Iran was carpet bombed into oblivion. Their bodies are all over the place.

Webabu mdogoee gallow bird gTurn Mzee wa UHARO Ritz kanusheni na hili!!


View: https://x.com/mossadil/status/2040607942467072431?s=61

View: https://x.com/mossadil/status/2040604910383685739?s=61

View: https://x.com/mossadil/status/2040601205425029552?s=61

Rubani umemuona,au unasimuliwa tu na akaunti ya sosho media ya Trump?
 
Sawa wambie waseme wangapi wamekufa kwenye hio operation na wangapi vilema afu mnapigiwa ndege tatu moja C130 na 2 Helicopter afu badaye mnapigiwa ndege ya vita ingine afu mnadai mmetoka salama hio ndege C130 unajua kazi yake ni nini hizo kubeba macommanders na kwa special operations sa mbili zipigwe afu mseme mmetoka salama hahaha ujinga kweli hauna dawa
C 130 zimepigwa mbili,halafu zile zinahitaji runway kubwa, huko milimani zilitua wapi?..zimedunguliwa angani
 
Ni eneo ambalo lilikuwa na Raia, hapakuwa na wajeda
Vyovyote vile nchi yako
Sawa msafisha vyoo we na Trump na Shetanyahu akili zenu zimefanana sa tuonyesheni huyo Pilot mlio muokoa mnaficha nini navyo jua mimi na dunia nzima kwa misifa Trump na hao macowboys mngetuonyesha huyo Pilot. Kutomtoa kwa kumuonyesha na dalili wazi mmefailed vibaya sana sa mnatafuta Pilot mwingine mmemvisha bandages afu ndio mdai yeye mimi nakubaliana na Iran huyo Pilot hamkumuokoa bado au na yeye kafa ndio sababu USA hakuonyesha picture yake mpaa mdaa hu


View: https://youtu.be/KDXHEPyE09g?si=edPBVL_BvbNHdJGr

Hebu furahisha macho Iran ni kiboko yenu

Endeleeni tu kujipa moyo na kujifariji baada ya operation ya kishujaa kufanikiwa kuwaokoa marubani!!
 
C 130 zimepigwa mbili,halafu zile zinahitaji runway kubwa, huko milimani zilitua wapi?..zimedunguliwa angani
Aliyekuambia zilikuwa C-130 ni nani? Ondoa hisia Mateka wameokolewa salama endelea kuumia tu maana hakuna namna!!!
 
Back
Top Bottom