Kitendo cha watu hawa 19 kurudishwa tena CDM, ni dhahiri chama kitakuwa kimeuawa kwa style ileile ya ACT-wazalendo.So what COVID19? Nyie mlie tu! cha kufanya ni kutubu dhambi zenu za mliyoyafanya kukana rushwa ya maccm mliyopewa ya viti maalum ili mrudishwe kwenye timu. Mkifanya hayo mimi pia I’ll fight for you in public and behind the scenes, otherwise Bye! Bye,
Na nyie kazi kucheza picha pendwa tuKwenda kule.
Huku kwetu sumbawanga CHADEMA tuna mbunge.
Huko kwenu mnaye?
Kazi kucheza bao tu.
Hii ipo waz kabisa, mimi binafsi siungi mkono msamaha kutolewa kwa hao watu.Wakijichanganya kwenye huo uhuni, wasitegemee support yetu tena. Hiyo ruzuku wataila kwa muda mfupi, ila wakija baadae kutaka support yetu watakula jeuri yao.
Mmmmh, kwa hyo Kama alikana kupeleka majina kwa nn kina mdee na genge lake hawakuandika barua za kujiuzulu?Katibu Mkuui hahusiki.
Naye anasikia kwenye media kama walioteuliwa.
Kazi yake ni kupeleka orodha NEC na kurudi ofisini akisubiri tangazo.
CDM ilipaswa iwapuuze hao Covid19 kama wananchi tulivyowapuuza, kwani kuna support kubwa sana wanayoipata kutoka kwenye dola haramu.Nusrat Hanje alitoka Gerezani baada ya dawati la TISS lililoko pale Bungeni kupata taarifa za mchakato wa kuapishwa na kufanya coordination ya kuhakikisha kwamba mambo yanakwenda sawa. Ni kama hamjui nchi zinavyoendeshwa vile!
Haahaa nimeamini ni miongoni mwa covidView attachment 1662911
Bado una mashaka?
Kama KM hakupeleka orodha NEC kumbuka NEC walikiri hadharani kutopokea orodhaKatibu Mkuui hahusiki.
Naye anasikia kwenye media kama walioteuliwa.
Kazi yake ni kupeleka orodha NEC na kurudi ofisini akisubiri tangazo.
Roho ya uasi inakutafunaHabari ndio hiyo!
Kama hutaki kasage chupa unywe pelletes.
Huyu ndo anakwenda kuomba msamaha Baraza kuu,My analysis: it appears to me that, according to SS analysis, comparatively speaking, CHADEMA is a bigger threat to national security than mr. Jiwe is considered.
Mama Amon. Sijajua kuwa unaunga mkono kitu gani kati ya uasi na uadilifu ?!Habari ndio hiyo!
Kama hutaki kasage chupa unywe pelletes.
Huyu kashaanza kuzeeka naona teknolojia inazidi kumpiga teke.Huyo ndiyo maana aliingizwa cha kike na Kigogo juu ya msamaha feki kwa yule chinga aliyeshindwa kusoma kiapo.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
We ni mgeni na hii michezo.huna reference yyte inayokuongoza.wangeenda mahakamani wangebaki kuwa wabunge wa mahakama. Mfano wakina ZITTO na wengine.tatzo hawataki kuondoka chadema.kukata rufaa manake wamekiri kufukuzwa na ni sawa na kujivua huo ubunge tayari.Ukienda mahakamani kabla ya ku-exhaust internal remedial options inapoteza kesi mwanzoni kabisa via PO's.
Hujaripoti bali wewe Ni mmoja wa hao Covid 19,umekuja kupima upepo humu.Haihitaji akili kubwa kuelewa.Ndugu yangu, mie nimeripoti yale niliyoambiwa.
Karibu tuyajadili kulingana na Katiba, Kanuni na Taratibu za Chadema zilizo kwenye karatasi.
Lakini pia, kwa kutumia common sense kama unavyopendekeza.
Unabahatisha.We ni mgeni na hii michezo.huna reference yyte inayokuongoza.wangeenda mahakamani wangebaki kuwa wabunge wa mahakama. Mfano wakina ZITTO na wengine.tatzo hawataki kuondoka chadema.kukata rufaa manake wamekiri kufukuzwa na ni sawa na kujivua huo ubunge tayari.
Na ujue tayari nyie ni maajenti wa CCM na TISS,so mna malengo zaidi ya ubunge kwa sasa.
Nye nye nye.... Jielekeze kwenye hoja.Huyu kashaanza kuzeeka naona teknolojia inazidi kumpiga teke.
Jua yafuatayo:Mama Amon. Sijajua kuwa unaunga mkono kitu gani kati ya uasi na uadilifu ?!
We Ni mbabaishaji tu km wengine.unahangaika sana.kimsingi huna hoja.Unabahatisha.