Rufaa ya kina Mdee mbele ya Baraza Kuu dhidi ya Kamati Kuu CHADEMA: Kicheko kwa G19, Kilio kwa kina Mbowe

Kama wanaenda kila mwezi washike adabu zao ..wameshafukuzwa waende mahakamani kama Zito waendelee na ubunge wao wa mahakama
 

Hii nimeona kwa mwana Twitter Hilda Newton. Naipachika hapa kama ilivyo...

Una maoni yoyote kuhusu mtazamo wa huyu mama mwenzio Mama Amon?
 
Swali hili ni irrelevant kwenye mada ya sasa.
Hata kama ilikuwa neither free nor fare, it doesn't follows that, kusiwepo na wabunge wa viti maalum kutoka Chadema.
Hivi unajua ni kwanini Ccm na Cdm walipata viti maalumu ?! . Ni kwa sababu walistahili na ndiyo maana vingine havikupata .

Kwa maana hiyo kila chama kati ya hivi viwili, kinastahili kufanya mambo yake bila kuingiliwa au kuwekewa mitego. Ccm na viongozi wake wafanye yao na si kuingilia majukumu ya Cdm na kamati zake. Vivyo hivyo Chadema.

Halima na team yake hawastahili kwa sababu za kughushi na kuingia bungeni, na baadaye kukaidi wito wa kamati kuu ya chama chao ya angalau kusikilizwa. Hawastahili kurudishiwa huo uanachama
 
Wewe hata shetani atakukana siku ya mwisho, kwahiyo sasa hivi unamgeuka kiongozi wenu wa waasi Halima Mdee?

Hii ni Albadiri tayari inafanyakazi.
 
Sabab za mikwaruzano zinafanana,na je impact ya hyo mikwaruzano inafanana.ccm wako madarakani zaidi ya miaka 40.
 
Ninaamini baraza kuu la Chadema haliwezi kufanya makosa, na ikitokea wakawarudisha hawa malaya wa kisiasa basi ndio mwisho wa Chadema, wasahau sapoti kutoka kwa Watanzania wazalendo
 
Wabunge wa majimbo wanaposhinda uchaguzi ukabidhiwa certificate ya ushindi na Nec, na hiyo ndio inakuwa utambulisho wao bungeni kwenye kujisajiri.
Nafikiri hata kwa kwa viti maalumu iwe hivyo, ila wasipewe na NEC bali na vyama vyao na uwe ndio utambulisho wao kwa mamlaka ya bunge na wasindikizwe na kiongozi wa chama na mwakilishi wa Kamati kuu ya Chama husika.
 
Nafikiri hata kwa kwa viti maalumu iwe hivyo, ila wasipewe na NEC bali na vyama vyao na uwe ndio utambulisho wao kwa mamlaka ya bunge na wasindikizwe na kiongozi wa chama na mwakilishi wa Kamati kuu ya Chama husika.
Kwa ccm hakuna linaloshindika, yule Boniface Jacob wa ubunge alikuwa na barua ya kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la ubunge, kufika kwa mkurugenzi anaambiwa mgombea wa Chadema ameshachukuwa fomu.

Yani Tanzania inabidi tupate kiongozi wa kijeshi aanzishe consetration camps kama zile za Hitler humo wajazwe maccm wateketezwe kwa gesi, hawa si binadamu wa kawaida, hawastahili kuishi kwenye dunia iliyostaarabika.
 
Na jinsi alivyonyang'anywa umeya?

Amandla...
 
Zamani tukiwa wadogo kuna wakati wavulana walikuwa wanapanga kupigana lakini wanawekeana masharti tupigane lakini hakuna kushikana korodani. Kuna ugomvi wa aina hiyo siku hizi? Hoja za kisheria ni ugomvi kama ugomvi mwingine.
[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dah majibu mengine yanaumiza sana.


Nafatilia huu mnyukano wenu kwa comments .

Sent using ubishi.com
 
Mkuu hakika wewe ni koboko na umeutendea haki huu uzi.

Nilishasema toka awali
Mdee na wenzake 18 tayari ni washindi wa hili sakata. Kwa majibu hayo tu tayari walishashinda. Na wakiwaonea hapo wataenda mahakamani na ndio imetoka hiyo watashinda asubuhi tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…