[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]dahBarnaba kachafua taswira, anashindwa kuvaa kulingana na mazingira?? Ningekuwa mgambo ningemnyanyua juu juu na kumtupa nje akajifunze adabu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sijamuacha wii ila tabia zake zimenishinda[emoji852]
Get a life ladyUongo na unafiki ni kanuni za CCM sishangai
Binadamu ni wepesi wa kusahau!Hahah wabongo buana akili hamna, watu wamepatanishwa mbele ya umati na kiongozi wa nchi. Usijiulize kuhusu ya 2017, jiulize kabla ya 2017 waliishi vipi anzia tu toka makonda mkuu wa wilaya ya kinondoni. Vitu vingine mviache kama vilivyo kuhusu kugombana watu wangapi washangombana mpaka sasa??? Idadiless...
Sent using Jamii Forums mobile app
Roho ya marehemu huwa inapewa nafasi mara moja kufika eneo la ibada ya mwisho/ mazishi kujionea kwa mda mfupi na kuondoka. Naamini atajionea. R I P RugeKama roho inaona,,basi ruge anajionea mambo
msibuka kule panaitwa buyango, bugandika lukulungo, dah umenikumbusha maeneo hayo, mke wangu ni wa musibuka
Ni mawazo yako au ni maandiko kabisa? Nijulishe plzRoho ya marehemu huwa inapewa nafasi mara moja kufika eneo la ibada ya mwisho/ mazishi kujionea kwa mda mfupi na kuondoka. Naamini atajionea. R I P Ruge
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi inatuhusu nini??????RC Makonda amesema kwa sasa hatasema lolote juu ya rafiki yake kipenzi Ruge Mutahaba.
Makonda amesema Ruge ni mtu muadilifu, mchapakazi na jasiri hivyo anashindwa namna ya kumuelezea na anazidi kumuomba Mungu ampe kibali na kwa kuwa ataenda Bukoba kwenye mazishi basi kwa neema ya Mungu akipata kibali ataweza kumuelezea rafiki yake huyu.
Source Clouds tv!
msibuka kule panaitwa buyango, bugandika lukulungo, dah umenikumbusha maeneo hayo, mke wangu ni wa musibuka
Iyo kumbe, ndo huko,Vijiji navijua vizuri sana.....mbugano, luganjo, bikonge mpaka kikono .....mmenikumbusha mbali sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo kumbe, ndo huko,Vijiji navijua vizuri sana.....mbugano, luganjo, bikonge mpaka kikono .....mmenikumbusha mbali sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo kumbe, ndo huko,
Kuanzia lukulungo kyaya, kashaka, kashasha, kayanga kwenye mlima pale, kitobo musibuka, kyendanzigu,
😁😁😁😁😁unanichekesha kwenye.majonziNasikia jamaa atapokelewa zaid ya Mwalimu Nyerere, msiba wake umetikisa nchi, wakiangalia vibaya nchi itayumba