TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Hahah wabongo buana akili hamna, watu wamepatanishwa mbele ya umati na kiongozi wa nchi. Usijiulize kuhusu ya 2017, jiulize kabla ya 2017 waliishi vipi anzia tu toka makonda mkuu wa wilaya ya kinondoni. Vitu vingine mviache kama vilivyo kuhusu kugombana watu wangapi washangombana mpaka sasa??? Idadiless...

Sent using Jamii Forums mobile app
Binadamu ni wepesi wa kusahau!
 
RC Makonda amesema kwa sasa hatasema lolote juu ya rafiki yake kipenzi Ruge Mutahaba.
Makonda amesema Ruge ni mtu muadilifu, mchapakazi na jasiri hivyo anashindwa namna ya kumuelezea na anazidi kumuomba Mungu ampe kibali na kwa kuwa ataenda Bukoba kwenye mazishi basi kwa neema ya Mungu akipata kibali ataweza kumuelezea rafiki yake huyu.

Source Clouds tv!
Sisi inatuhusu nini??????

Huu umatako matako
 
Tusipopata katiba mpya ya kumbana Rais tutaambulia vilio ivi uyo Ruga ninani? Kwanini anaumiza pesa za walipakodi? Isijekuwa alikuwa kinara wa kusambaza madawa ya kulevya au ni Freemason yahani mpaka watu wamefungwa kisa walimkosoa? Mbona alipokuwa hai aligombana na makonda hatukuona nguvu kubwa ikitumika kumlinda?

Mbona kituo chake kilivamiwa na watu wanaojulikana lakini hawakuchukuliwa hatua mpaka leo?

Matumizi ya pesa zetu kihorela ifike maala tuseme inatosha.

Tunahitaji katiba isiyoweka kinga kwa mtawala namimi nawahakikishia Mafunguo tutamfunga kwa matumizi mabaya ya madaraka na Raslimari za nchi atakama atakuwa analingana mama yake tutamburuta tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kagera yote ni km home tu nshafika hadi minziro, murongo/kikagati, bushangalo, rusumo benaco kabanga, nshamba izimbya kamachumu

Kona nyingi nimezigusia hapo

Shida ni visiwani huko palinishinda
Iyo kumbe, ndo huko,
Kuanzia lukulungo kyaya, kashaka, kashasha, kayanga kwenye mlima pale, kitobo musibuka, kyendanzigu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabia ya kwenda kwenye msiba kuchunguza matukio ya huko na kuja kulalama kwenye mitandao ya kijamii sio jambo la kiungwana. It costs nothing to pay your respects and mind your own business. Kuhani misiba ni kama sadaka, let God judge our intentions.
 
Back
Top Bottom