TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Ndiyo unatutangazia una leseni ya kimataifa?haya tushajua!!!
We si ungewapa elimu hao policcm wenu kuwa leseni za nje zinatumika muda fulani ukatayokuwepo nchini

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weweeeeee! una wasimu. lazima utakuwa nshomire tu wewe. sawa bana. ila mtakufa sana usipofuta ushauri wangu
 
Hapo wanajua waliopewa,angekuwepo mjane halali angeyakamata hayo mahela

Hivi kuna aliyetoa ahadi ya kuwasomesha watoto wa Marehemu?
Kama namuona Zama jicho lilivyomtoka kwenye ile bahasha[emoji16]...

Hiyo ndo imetoka, hakuna wa kusomesha watoto pale, kila mama ajibebe na watoto wake daaah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina hasira na huyu kijana ananifanya nimkufuru mungu kuwa hatendi Hali[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe first ladio; kapukuku ni nani tajiri ni nani, hayo ni mawazo yako tu, kuona huyu tajiri huyu maskini,fikra mgawanyo hizo. Ruge bado maskini sana tu sema tu alijaliwa ngenga. hela yake hiyo ni vijicent vya mawazo vya mbogamboga tu bana au hiyo Radio?.. Kwanza hana hata kajiuwanja ka ndege tu kwao ndege ingeenda moja kwa moja. barabara safi hana.mavumbi tupu. kwao majani meengi sijui wanakula nyasi wale.badala ya kuweka Lunch af.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…