Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,760
- 3,733
mhhhh haaha
mhhhh haaha
Usimkatishe tamaa,atazira.Sawa STEVE NYERERE tumekusikia
AtajijuaUsimkatishe tamaa,atazira.
Sawa sawa nimekusikia shiloleeAtajijua
Boss wao alikuwa Ruge acha kutetea ubabe wa Makonda hata kama Ruge asingekuwepo hapo makonda hakuwa na haki ya kuvamia clouds na mabunduki ndiyo maana baada ya lile Tukio baya la ubabe wa kijinga akaporwa Ulinzi woteHawafanyii nyumbani kwa Ruge bali CMG Ltd!
Nadhani wewe ni tahira, kwa mujibu wa wadau mafala kama wewe wanaoni_attack wamenieleza kinagaubaga kuwa hiyo document ya mange ya kuonyesha nani ana own nini na nani ha_own nini imetoka TCRA na kadri nilivyokuwa nikibisha wakanieleza niingie katika tovuti ya TCRA kujilidhisha ili niache kubisha.Using'ang'anie vitu usivyovijua wenye maamlaka na wanaotunza nyaraka za kampuni ni BRELA, kila Mwaka wamiliki wa kampuni huwa wanafile BRELA document inayoitwa annual return ambayo inaonesha wamiliki wa kampuni na share wanazomiliki. Kutaka document itoke TCRA tayari inaonesha hauna ufahamu wa hayo mambo, wamiliki wa share kuwajua ni rahisi tu maana BRELA wanatoa access kwa mtu yoyote anayetaka kujua habari za kampuni husika kwa kulipa kisha utaingia ktk Company Official search kupata maelezo uliyokua unayahitaji.
cha startimes dearhivi wanaonyesha kin'gamuzi gan
ohoo bas mtatupaga updates..wenye dstv hakuna kitucha startimes dear
Honestly sijajihusisha kabisa na huu msiba. Nilichofanya mimi baada ya kusikia habari ya kifo tena kupitia hapa jf niliandika R.I.P.Viongozi wengi wa serikali hasa wa CCM inaonekana Ruge ndo alikuwa director wao angalia wana lia lia wote ni waio pitia kwenye mikono ya mwana mdogo sasa tu subir 2020 kuna watu watalia sana na msiba utaanza upya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushenzi wa promo Kama hizi hatutaki ujirudie,msiba wa kawaida tu lakini Cloud's na wenzao wanataka wote tuomboleze,shenzi Sana wale.Amani kwako.
Katika hali ambayo wale great thinker wanaweza kuona kwa njia yoyote unaweza kuangalia kilichofanyika na kinachoendelea kufanyika katika msiba wa ndugu na Mtanzania mwenzetu Ruge.
Baadhi ya watu hawakuweza kumfaham na wengine wanauliza kitaifa alikuwa ni nani huyu hata kulifanya taifa kuzizima na kumfuatilia kwa kiasi hiki.
Media coverage imefanya kazi yake na hii ndiyo nguvu ya chombo cha habari.
😂😂nakuvulia kofia aise khaa hahajajajahha....wapi bibie zamaWananzengo bado mpo? Mwenzenu niko hoi jana nimekanyagana na akina Hamissa msibani naumwaaaa.
Ila nilifaidi haki, sidhani kama kuna event nyingine unayoweza kuwaona mastar wote kama ile! Jana nimekutana na wambea wengine huko basi msiba ulikuwa motoooo.
Unalia ukimaliza unapiga umbea.
Sent from my iPhone using JamiiForums