TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Hawafanyii nyumbani kwa Ruge bali CMG Ltd!
Boss wao alikuwa Ruge acha kutetea ubabe wa Makonda hata kama Ruge asingekuwepo hapo makonda hakuwa na haki ya kuvamia clouds na mabunduki ndiyo maana baada ya lile Tukio baya la ubabe wa kijinga akaporwa Ulinzi wote
 
Reporter wetu nenda bk kesho uwe live kesho.
Naskia kule bk barabara hazipitiki shughuri zote zimesimama mpaka hapo j4😁

Rip kaka ruge.
 
Using'ang'anie vitu usivyovijua wenye maamlaka na wanaotunza nyaraka za kampuni ni BRELA, kila Mwaka wamiliki wa kampuni huwa wanafile BRELA document inayoitwa annual return ambayo inaonesha wamiliki wa kampuni na share wanazomiliki. Kutaka document itoke TCRA tayari inaonesha hauna ufahamu wa hayo mambo, wamiliki wa share kuwajua ni rahisi tu maana BRELA wanatoa access kwa mtu yoyote anayetaka kujua habari za kampuni husika kwa kulipa kisha utaingia ktk Company Official search kupata maelezo uliyokua unayahitaji.
Nadhani wewe ni tahira, kwa mujibu wa wadau mafala kama wewe wanaoni_attack wamenieleza kinagaubaga kuwa hiyo document ya mange ya kuonyesha nani ana own nini na nani ha_own nini imetoka TCRA na kadri nilivyokuwa nikibisha wakanieleza niingie katika tovuti ya TCRA kujilidhisha ili niache kubisha.
.
Sasa naomba unijuze brela wanasajili majina ya kampuni au wanatoa license za media? Maana form ya mange siyo ya brela ni ya TCRA tena ya maombi ya kupatiwa license
 
Viongozi wengi wa serikali hasa wa CCM inaonekana Ruge ndo alikuwa director wao angalia wana lia lia wote ni waio pitia kwenye mikono ya mwana mdogo sasa tu subir 2020 kuna watu watalia sana na msiba utaanza upya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Honestly sijajihusisha kabisa na huu msiba. Nilichofanya mimi baada ya kusikia habari ya kifo tena kupitia hapa jf niliandika R.I.P.

Sijui hata nini kinachoendelae....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wananzengo bado mpo? Mwenzenu niko hoi jana nimekanyagana na akina Hamissa msibani naumwaaaa.

Ila nilifaidi haki, sidhani kama kuna event nyingine unayoweza kuwaona mastar wote kama ile! Jana nimekutana na wambea wengine huko basi msiba ulikuwa motoooo.
Unalia ukimaliza unapiga umbea.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Amani kwako.

Katika hali ambayo wale great thinker wanaweza kuona kwa njia yoyote unaweza kuangalia kilichofanyika na kinachoendelea kufanyika katika msiba wa ndugu na Mtanzania mwenzetu Ruge.

Baadhi ya watu hawakuweza kumfaham na wengine wanauliza kitaifa alikuwa ni nani huyu hata kulifanya taifa kuzizima na kumfuatilia kwa kiasi hiki.

Media coverage imefanya kazi yake na hii ndiyo nguvu ya chombo cha habari.
Ushenzi wa promo Kama hizi hatutaki ujirudie,msiba wa kawaida tu lakini Cloud's na wenzao wanataka wote tuomboleze,shenzi Sana wale.

The Future is in Our Brain's Tongue's and Hand's.
 
Wananzengo bado mpo? Mwenzenu niko hoi jana nimekanyagana na akina Hamissa msibani naumwaaaa.

Ila nilifaidi haki, sidhani kama kuna event nyingine unayoweza kuwaona mastar wote kama ile! Jana nimekutana na wambea wengine huko basi msiba ulikuwa motoooo.
Unalia ukimaliza unapiga umbea.

Sent from my iPhone using JamiiForums
😂😂nakuvulia kofia aise khaa hahajajajahha....wapi bibie zama
 
Binafsi Ruge namfahamu kama mkurugenzi wa vipindi vya clouds,sifa yake kubwa labda ni kuanzisha fiesta na kuisimamia pamoja na hayo tumesikia vimaneno kutoka kwa sugu,jay dee na baadae diamond,sijajua alikua na wadhifa gani maana nimeona mazishi yake yamehudhuriwa na maraisi wote wawili,mawaziri wakiongozwa na waziri mkuu,mkuu wa mkoa wa dar es salaam,viongozi wa dini na kila aina ya public figure,kwa kumfahamu kwangu kudogo naona kama kawa overated,kwa wanaomfahamu vizuri naomba wanifumbue macho what am i missing about this guy.RIP RUGE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom