TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Mimi sitaki kuongelea mazishi ila nilikuwa naangalia upande wapili wa tukio. Nimegundua watu wengi wako mjini hawana kazi za kufanya kweli mtu na kazi zako utakaa masaa barabarani kusubiri mwili? watu wanaweza kuacha kazi na kwenda kuzika lakini sio kusimama barabarani ukichukulia ilikuwa siku ya kazi.
 



Mkuu please usiku ulikula kweli?

I mean ulipata dinner vizuri? Kwasababu nilikiona hapa ulichoandika ni either njaa na kama huna njaa usijali Mungu yupo ile kodi unayodiwa utailipa tu

Mimi sijamlingalisha marehemu bosi na mtu yeyote wewe umeitoa wap
 
Kufa wewe tujaribu kukuoverated then tuone idadi ya watakao jitokeza kwenye msiba wako.

Wabongo tunapenda sana kubezana likija jambo la mafanikio.

Ikumbukwe hakuna mtu aliyelipwa kufika msiba, watu wenyewe na nauli zao,ingawaje vitu vimekaza lkn walifika hata kwa miguu.

Marehemu apewe heshima yake.

Vijana tupunguze uchawi jamani, lasivyo hatutotoboa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa huu unaoendelea hapa ni uchawi tu,watz tupunguze wivu
 
Ukosefu wa elimu ni janga kwa wasanii wengi yule mama ni shangingi lisilo na akili
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruge alikuwa binadamu na sio malaika. Kitendo cha baadhi ya watu kutaka asemwe kwa mazuri tu eti kisa marehemu ni upuuzi. Kwa wanaodai ameacha legacy na vijana wajifunze kutoka kwake wasisahau kuwaambia hao vijana wasijufunze tabia yake ya mahusiano. Kwa umri ule, watoto watano halafu hujawahi kuoa hata mama wa mtoto moja kati ya hao ni uhuni. Kama mashabiki wake wanavyomsifia wavumikie pia kusikia upande wa pili ambao labda hautawafurahisha. Huo ndo uhuru wa mawazo unaohubiriwa na JF.
 
Povu
 
Huyo jamaa ni mastermind Mkubwa wa ccm na baadhi ya campaign nyingi za ccm na serikali project ya campaign ya 2005 hadi 2015 kamaliza yeye

mpuuzi mpuuzi tu
Unaongeleaje walichokisema Zito na Lissu kuhusu mchango wa Ruge!?..
 
Kama watu hao hao waliweza kuacha kazi zao na kwenda kuhudhulia matamasha ya fiesta, kwanini iwe vigumu kumpokea mwanzilishi wa tamasha hilo akiwa amelala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewaambia vizuri

Hahaha tuandamane sie tulie sie waumie wao

Hizo kazi wanazifanya saa ngapi ilhali muda wote wapo kwenye kideo na mitandaoni kufatilia waombolezaji wanaomboleza vipi??

Wivu tu



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuki na wivu wa kike,Kuna mtu tunalazimishwa tuamini Ni mgonjwa wa taifa mbona hilo hamlisemi? Kama anakuzwa Sana nyie mpunguzeni basi
 
Ukijaribu kuchunguza sana huu uhusiano wa Ruge akiwa marehemu na serikali kuna jambo

Mimi mwenyewe sijaelewa ni jambo gani ila muda utaongea

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna siri, Ruge alikuwa kada mzuri wa CCM na kashiriki kwa kutumia chombo cha habari kufanya kampeni kubwa sana na kuratibu vikundi vingi kwa ajili ya CCM na Serikali. alikuwa smart tu katika kubalance yote haya bila kuonekana kama yuko upande mmoja zaidi. alitumia fursa vizuri kisiasa na kufanya biashara aliweza kumix vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…