TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Kwangu mimi bila unafki huyo jamaa hajanisaidia kwa lolote kwahio namtakia safari njema huko aendako tu. I also find msiba umekuwa too freaking much. Hakuna ambae hajafiwa ila maombolezo kufanywa kama ni Catastrophic issue inanipa ukakasi flani.

Utaambiwa una wivu mkuu
 
Kumbeee nayaona mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usijali bro, kwenye msiba wako wana jf wote tunakuja kwako hapo na mabango "RIP MKAPA" Tutamfunika hata huyu ruge wala usiumize kichwa

Write your reply...
 
Kweli kabisa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Hampaswi kushangaa sana kwa sababu kazi ya media haipo kwaajili ya kuwa habarisha watu habari chanya tu pekee

Kazi nyingine ya media ni Kurithisha Uongo " propaganda na Ujinga Katika jamii Husika .... haya yote yanaweza kupata nafasi ya kuenea kwa kasi kubwa Sana katika jamii endapo kama sehemu kubwa ya watu wa jamii hiyo watakuwa Ni wajinga ....

So nakuomba ufanye tathimini dhidi ya watu waliopo katika taifa lako na mitazamo ya fikira waliyo nayo --- kisha utapata jibu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulilazimishwa kuomboleza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Kuna mdada tupo nae kazini leo kaomba ruhusa ajisikii vizuri anaumwa kisa kifo cha ruge. Ajawai hata kuonana nae Sema ni ile kusikia historia ya ruge alivyowasahidia watu.... Yaani anaona msaada wa ruge ni bora.. Haya maisha ndio Maana Mungu aliweka kifo alafu yeye amejificha anatupiga chabo tu, kwa sababu Kuna watu wanajisahau Sana hapa Dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!nimekuelewa vizuri kabisa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli, nianze kwa kutoa pole kwa vijana,wamama,na wazee wa Tanzania kwa kupatwa na msiba mzito sanaa hakika Ruge ameacha pengo la kubwa sana kwetu!

Pengo la kubwa ili hakika january Makamba ameliezea vyema tena kwa lugha iliyojaa Fasihi ambyo mara nyingi niliwai kukili kupia hapa jukwaani kuwa Makamba ni miongoni mwa Wanafasihi ambao nchi yetu tumejaaliwa


Sina lengo la kuelezea uzuri na ubaya wa Ruge,ila nataka nitumie fursa hii kuwakumbusha watu kama ALEX MSAMA mmiliki wa MSAMA PRODUCTION kujitokeza kuungana na watanzania kuomboleza msiba wa Ruge.

Nasema hivyo kwa sababu mchango wa Ruge kwa Alex Msama uko wazi,Alex msingi wake mkubwa wa Alex Msama tumjuaje leo hii kwa kila kitu anachofanya kilitokea clouds mikononi mwa Ruge.

Hakuna hasiye jua kuwa Alex Msama ni miongoni mwa vijana wa Tanzania ambao hawakubahatika kupata elimu ya juu,ila mtu huyu alipewa fursa ya kuwa miongoni mwa watamzania wachache walio pata fursa ya kutangaza kipindi cha nyimbo za injili hapo clouds,kipindi hiki ndicho kilichompatia msingi wa wazo la Tamasha la pasaka,tamasha ambalo leo hii limemfanya kutambulika Africa mashariki.

Leo hii anamiliki Television pamoja na Redio,nmesitikika skuona hata akijitokeza hadharani kuusema ukweli huu kipindi hiki cha msiba wake.

Nimwache huyo Msama,niende kwa dada yetu SAIDA KAROLI.

ndgu zangu watanzania,msio elewa SAIDA karoli kabla hajaja DSM alikuwa ni msani mdgo sanaa na alikuwa akipiga miziki kwenye MABAR mbalimblai mkoani kagera.

Ruge alikuwa mtu wa kwanza kukutana nae Bar,kama haitoshi hata nauli ya kumleta mjini Dsm alipewa na marehemu Ruge,kilichotokea baada ya karoli kufika jijini DSM, KWA kweli Ruge hakujali kama ataonekana mtu anaependelea ndgu zake alimkabidhi midomoni mwa watangazaji wa clouds walau wamzungumzie pamoja n kipawa chake,
Saida karoli alivuma sanaa na kukipatia fedha ambayo hakuwai kuishika kutoka kwa wasikilizaji wake wa Bar huko mkoani kagera,ni pesa hizo zilizomfanya mpka leo hii Saida Karoli kuwa miongoni mwa wamiliki wa Nymba jijini Dsm maeneo ya mbezi.

Cha kusikitisha,leo hii SAIDA karoli yupo kimnya anaungana na AKINA REDJEIDII NA DUDUBAYA,Kumwombea mabaya kijana wetu hakika niwaombe mjitokeze na kuusema ukweli kbla ruge hajaoza kaburini kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanapost rest in peace na kushea post za msiba Facebook,na michango yao kwenye radio zetu mbili za hapa wilayani ni za kuguswa na msiba

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah waache wapost, kujishughulisha na msiba kwa week nzima bila kujali nawewe upambane maana mda wako unaenda bure ni uzwazwa wa kiwango flani. Tumekubali jamaa ametutoka apumzishwe ishu zingine ziendelee.
 
Hivi idd amin, adolf hitler hawa bado sio marehemu
 

Nafikiri hayo ya "baba" Clouds wangempelekea Mwakyembe akapime DNA zao na marehemu kwani sie hayatuhusu kujua baba yao halisi ni nani
 

Msanii gani huyo kanyonywa?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…