TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Bado umetumia muda wako mwingi kuelimisha watu ambao hawatakuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mengi unatakiwa ujifunze, kumbe unafahamu kuwa BRELA ndio wasajili wa kampuni, Sasa sema Licence ya Biashara na Usajiri wa kampuni UPI uwa unaanza!?
Usajili wa jina la biashara ndio unaanza, sasa kwa mujibu wa dokumenti inayotembea na kutumwa humu hovyo ya mange kimavi siyo ya Brela ni ya TCRA tena ya maombi ya license sasa kwa kuwa nimekujibu swali lako kiungwana naomba unijuze inapatikana wapi hiyo?
 
Binadamu ndivyo tulivyo...

Ishi ulaumiwe, kufa usifiwe...

Bora mkuu wetu wa mkoa kahudhuria ila kasema hana cha kusema, na akipata cha kusema basi atasema...



Cc: mahondaw
 
THT imekuza pato la taifa!! [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngojea tuone finishing ya kaburi ndio bei juu kama watakuwa wametengeneza Mable yenye picha yake. Ile Mable ikiwekwa picha na maandishi Yale ya kwenye msalaba dob na dod na mistari ya Bible si chini ya million 1.show ya juu ya kaburi wakisema wajenge kwa Mable badala ya tiles Ina weza kuisha million 3.na million moja unaweka kuchimba na kujengea kaburi kuanzia chini hadi zege la juu..... Kinondoni sasa hiv kuzika pale si chini ya 2.5m kaburi standard hapo bado amjafinishi kwa juuu hiyo ni mmejenga kama baraza tu. Ujenz wa makaburi ukitaka liwe zuri ni gharama ila ukitaka la kawaida aizidi laki 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…